TimeLine Media are looking for both male and female actors to play different roles in upcoming Tanzanian Film based in England.
Applicants must be black or mixed race with the ability to speak and understand Swahili. East African Swahili can also be considered.
20-35 playing age.
We have huge demand for NEW talent including extras in a wide variety of roles for this film.
If you would like the opportunity to audition you could either attend auditions on 21st December 2008 at:
Tropicana Club
53 Cheapside
Luton
Bedfordshire
LU1 2HN
Or you could contact Nassir Mohammed on 07971224493 for more information or send your details to
Please don’t hesitate to contact us for more information if you could not attend the date mentioned above.
NOTE: Experience preferred but not needed.
Duh...jamani na kweli sisi ndio wabaguzi wa rangi haswa...yaani mtangazaji hapo anasema 'Applicants must be black or mixed race with the ability to speak and understand Swahili. East African Swahili can also be considered.
ReplyDelete20-35 playing age'.
Nasema mimi sasa...long live wale makaburu wakoloni,wafanya biashara wa kitumwa,mabepari,wanyonyaji n.k.
Sasa kama kuna mzungu,mchina,mwarabu au hata mhindi...je masema nini!!!???
MIMI NINA SIFA MLIZOZITAJA HAPA LAKINI NIPO TANZANIA MUMETANGAZA KWAMBA AHUDHURIE auditions on 21st December 2008 at
ReplyDeleteTropicana Club
53 Cheapside
Luton
Bedfordshire
LU1 2HN
Na hamjazungumza mtatoa ushirikiano gani ili mtu afike hapo kwenye auditions sejui ni kitu gani hata sifahamu
Kwanza hilo tangazo lenyewe halikeleweki vizuri"east african swahili considered" sielewi una maana gani, sababu kiswahili kizuri ni cha east africa ,ndipo lugha ilipozariwa(hasa Tanzania).ukiandika 'considered' una maana unaweza kukikubali, kwa maneno mengine unahitaji kiswahili safi kutoka sehemu nyingine sijui sehemu gani ipo akilini kwako!.Na huyo aliecomment mwanzo, blacks au mixed race needed haina maana jamaa ni wabaguzi, lakini inawezekana cinema yenyewe inahusu watu weusi, sio roles zote za cinema zinahitaji wazungu au wachina.Na huyo anayetaka kujua LUTON atafikaje, hii sehemu ipo England.kwa hiyo huyu jamaa anatafuta watu walio hapa uingereza.
ReplyDeleteWewe anonymous hapo juu unauliza auditions Tropicana Club iko wapi wakati uko DSM unategemea nini!! Hapo ni majuu rafiki yangu. Hata kama una hizo sifa zilizosemwa hapo juu lakini kama uko DSM au kwingeneko mbali na UK sahau????? Wala usijisumbue kwa lolote.
ReplyDeleteMdau
Jamani mbona watu wengine munakuwa na haraka za kukurupuka na kuanza kushambulia hata kama hakuna kosa? Sasa filamu inaweza kuelezea kisa au hadithi fulani na inakuwa na wahusika (characters) kwa mujibu wa hicho kisa. Sasa ikiwa hicho kisa kinaelezea mtu mweusi anayezungumza kiswahili(mfano mbongo mweusi) utatangazia mchina aje kwenye hiyo audition?
ReplyDeletewe mdau wakwanza acha kujifanya unakosoa kila kitu.kila kitu kina vigezo vyake sasa wanatakuigiza movie na watu wanaohitaji ni waiana hio tatizo liko wapi.unafikiri movie zako za mtaani hizo ambazo wanajikusanyia tu mijitu bila mpangilio.wewe unajua haje hio movie je inahusu watu weusi na watu waliokuwa mixed? acha kujifanya mjinga kwenye kila kitu.
ReplyDeleteMdau wa 1:42 nakuunga mkono. Nilidhani kuwa ilipaswa kuwa "East African swahili would be an added advantage" kwa vile Kiswahili ndio chetu na sio "East African swahili will be considered"! Or is there something we are missing??
ReplyDeleteHi Michuzi, naomba nimjibu Anonymous wa 3:16am.
ReplyDeleteKatika matangazo ya 'auditions' wanaruhusiwa kutaja rangi na makabila na umri wa watu wanaotaka. Hii ni kwa sababu mtengeneza sinema anajua anahitaji watu wa aina gani kufanikisha filamu. Kwa mfano, mweusi hawezi kucheza kama mzungu, hivyo watasema 'caucasian'. Wasipotaja rangi wanaweza kusema, 'seeking males, females age 20-35 with ability to speak East African Swahili.
MNAKURUPUKA TU OOH RANGI SIJUI NINI WEWE NDIYE UNAYE TENGENEZA HIYO FILAMU !!
ReplyDeleteNaona baadhi ya waosha vinywa naona wamekurupuka bila kutafakari tangazo linakusudia nini mimi ilivyo elewa wanatafutwa actors wa kitanzania ambao definately watakua wanaongea na kuelewa vizuri kiswahili na Pia ndugu zetu wengine wa East Africa (Uganda,Kenya,Ruanda,Burundi na Republic of Congo)japokua kiswahili chao ni tofauti kidogo lakini pia watakua considered.
ReplyDeleteNaomba niwakilishe
Kuna watu inaelekea hamna kazi kwahiyo kazi yenu ni kuja kukosoa kila kitu muonacho kwa michuzi. Nawaonea huruma maisha yenu. Unless kama ni ushamba, ombeni muelimishwe. Toka lini kuhudhuria auditions utafutiwe njia ya kufika? Are you really sane? Na aliyetoa point kuhusu ubaguzi wa rangi the point is obvious since its in a Tanzanian setting they are most likely going to need black Tanzanians as the market is there. Nendeni shule. Acheni kujiaibisha over and over again.
ReplyDeletejamani kama you qualify requirements hizo na unaweza kufika pahala pa auditions basi nenda maswali yaisyo na kichwa wala miguu ya nini. wabongo bwana tumia muda vizuri badili yakutafuta ugomvi inaeleweka vizuri nani anahitajika sasa kama wewe hufit description au hauko interested au huwezi kufika mahala pa audition comments zisizokua constuctive za nini
ReplyDeletekwa sheria za kazi kwa hii nchi hairuhusiwi kuweka wazi rangi au genda watakubana under discrimination act.watakuweka kwenye chungu kimoja na BNP. haya mambo yako new zealand. uk marufuku toka mwishon wa miaka ya tisini. je nilazima uwe na qulification au ni mtu yeyote?
ReplyDeleteAsante sana Chemi
ReplyDeleteTangazo halina tatizo kubwa kama watu wanavyotaka kukuza. Hili ni tangazo la kazi na wanaojua kazi inawahusu wameelewa.
Utengenezaji filamu ni tasnia inayoheshimika na inayojitegemea. Tatizo kwa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine tasnia hii imejikuza yenyewe haikukuzwa kwa misingi ya kuheshimika.Na hapa ndipo wale waosha vinywa wanapata nafasi. .
If so two wrongs never make one right, aliyeweka tangazo all the best on your initiative and be blessed!
We lini umeomba kazi ukawauliza wakusaidiaje kufika kwenye interview?
ReplyDeleteAnony wa 1.00 pm uko UK yako peke yako ama? Watu kwa kujimezesha makasa hawajambo! Ufahamu wako wa sheria ni wa kiwango cha chini sana, ugua pole. On a light note, sheria unayoizungumzia wewe haiko UK tu hata nchi nyingine wanazo ila kwa tafsiri yako ya darasa la saba umeelewa hivyo. Ina maana hata kama kazi inahitaji mtu asiye na matatizo ya ugonjwa wa moyo hutasema kwa sababu ni ubaguzi? Je kama kazi inahitaji mtunisha misuli hutasema kwa sababu ni ubaguzi?
ReplyDeleteI could feel you poor uanaharakati point!
HONEY TRAP!!!!
ReplyDelete