leo nimepata ngekewa ya kupata dina la mchana na supa staa wa filamu za bongowood steve kanumba na mlimbwende rachel temu ambaye yupo bongo akitokea marekani katika likizo fupi ya msiba baada ya kufiwa na baba yao mzazi huko moshi hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. Pole sana Rachel kwa msiba uliokupata.Tunaamini ni mapenzi ya Mungu.
    Kwako Michuzi,masahihisho ni kwamba chakula cha mchana kinaitwa "lunch" na "dinner" ni kile cha jioni au usiku.Hata hivyo unajitahidi.

    ReplyDelete
  2. ahh we michuzi unataka kuleta tu maongezi alafu uyabanie acha uchochezi

    ReplyDelete
  3. mbona meza tupu jamani!!!mapochopocho,kimpumu,mtindi na kangala ziko wapi??? au ufukara tu!

    ReplyDelete
  4. Rachel, kama sikosei(maana umebadirika kidogo) ulisoma Makongo na akawa hostess kwenye basi linalofanya safari dar-arusha kama sikosei mwanzoni mwa miaka ya 2000.Naandika kukupa pole kwa shida ya kufiwa na baba yako mzazi. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kugumu kwako, wewe na familia yako kwa ujumla. Pole nyingi dear.

    ReplyDelete
  5. Pole, lakini sasa utulie

    ReplyDelete
  6. Huyu Rachel ametulia vibaya vibaya.Damn

    ReplyDelete
  7. NGWASUMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE,NGWASUMA JUUUUUUUUUUUUUU...JUU KABISA,..IDUMU NGWASUMA

    ReplyDelete
  8. POLE SANA RACHEL NA FAMILIA YA MZEE TEMU. BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA.

    ReplyDelete
  9. Mbona hamna chakula mezani?

    ReplyDelete
  10. Mfikishie salamu huyo supa star wa bongowood, tukiingia mgahawani au sehemu yoyote ndani kama siyo nightclub huwa tunalivua kapelo.....

    ReplyDelete
  11. pole rachel kwakufiwa na baba yako kazi ya mungu haina makosa

    ReplyDelete
  12. Mh, Mewata not proportional to ze bodi...au ndiyo kukaa ki-miss ze kifua mbele, kiuno kupinda!!

    ReplyDelete
  13. Kanumba well done!! Keep it up katika kuitangaza bongo. Maigizo yako yananitia hamasa. Safi sana. Hivi siku hizi umeshamwoa Rechal tayari? Niliambiwa taarifa za mipango ya kuoana na binti huyo aliyetulia. Tupeane taarifa mzee
    Mdau

    ReplyDelete
  14. hivi jamani film industry ya tanzania ni lazima iitwe jina linaloishia na wood? Ah! jamani ni lini tutaaacha kuiga iga kila kukicha mbona japan,china,uingereza,italia,france,german,southafrica,canada na nchi zingine nyingi tuu amabazo zimeendelea ktk sinema na industry zao haziitwi something wood.Agh,Tanzania sijuia ni lini tutaacha mambo haya na tuwe creative si kwa majina tuu hata kwa usanii wenyewe wa sinema

    ReplyDelete
  15. pole dada rachel,,,,
    hahahaaaaaa jamani wadau hamna dogo eti "katulia vibaya vibaya" mara "hostess ktk bus" mara "supastaa" wa muvi zipi???
    ILA WEE MICHU NDO POZI GANI ILO KWA MWANA WA MWEZIO????dah mikonozzzzzz mingi brooo dah!!!sijui niiteje tht "style"

    ReplyDelete
  16. Mmh balozi, mkono wa dada wa kushoto.....mmh

    ReplyDelete
  17. jamani huyu ni yule rachel aliyesoma kaloleni primary arusha au nimemfananisha!!!!??? tena kama sikosei alisoma VII C mwaka 1995 na kina monica simbo,hawa khalifa na wengine nimewasahau,msaada darajani wadau.

    ReplyDelete
  18. Yeye si msanii,kwanini avue kapelo,huenda yupo kazini!

    ReplyDelete
  19. anonymous wa kwanza,
    mshamba nn wa blogu acha kujifanya uanjua kidhungu saaaaaaaana.km ww hapa ni mgeni uliza mambo yanavyoenda.sio kujidai tu!ww unadhani michuzi kasoma st.government kama wewe!!!!oohh

    michuzi usiibanie hii comment nina hasira sana!!!

    ReplyDelete
  20. jamani michuzi mbona umebana comment zingine hatuzioni au unaona donge iyo sifa tulomtolea kanumba na icho kitofali hapo juu ya meza

    ReplyDelete
  21. Michuzi naona begazzzzz!

    ReplyDelete
  22. michuzi mbona huyo dada kakuwekea wewe mkono wake na wewe ukamsogezea bega? au ndio maswala ya kuriprizenti maanake wewe mbunge wa zain sikuwezi

    ReplyDelete
  23. NAOMBA KUWA NA MTAZAMO TOFAUTI:
    what is this "bongowood"?
    Tanzanians,let us be creative too.Kwa sababu wenzetu wana Hollywood ,si lazima na sisi tu-coin from that name.We can think of something else.Kwa nini sisi tupende kuiga "wao" na wao wasiige sisi?
    I dont support this mentality among ourselves.Utasikia mtu akiwa Kipa mzuri oh ni "Petr Cech" wa Bongo.
    We need to be creative.
    (mtoto wa Afrika)

    ReplyDelete
  24. MICHUZI NATAKA KUWAELEZEA JUU YA LUNCH NA DINNER KAMA IFUATAVYO. SIKU INA MASAA ISHIRINI NA MANNE (I MEAN 24 HOURS) NA INAANZA MARA TU BAADA YA SAA SIT ZA USIKU YAANI SAA SITA NA DAKIKA MOJA USIKU NA KUMALIZIKA SAA SITA KAMILI USIKU TENA, NA SIKU INA MCHANA NA USIKU, YAANI USIKU MASAA KUMI NA MBILI NA MCHANA MASAA KUMI NA MBILI PIA, NA USIKU MAANA YAKE SI GIZA TU NI MASAA KUMI NA MBILI, NA HALI KADHALIKA MCHANA. SASA USIKU UNAANZA SAA SITA NA DAKIKA MOJA MCHANA HADI SAA SITA KAMILI USIKU. KWA MAANA HIYO BASI KAMA ULIPATA CHAKULA HICHO BAADA YA SAA SITA MCHANA UKO SAHIHI KABISA KUSEMA DINNER NA SIYO LUNCH. HATA MIMI HILO LILINIPA SHIDA NILIPOKUJA HUKU ULAYA MARA YA KWANZA, UKIENDA KAZINI NA BAADA YA SAA SITA MCHANA BOSS ANAKUULIZA WHAT TIME ARE YOU GOING TO FINISH TONITE (USIKU), AU ANAKUULIZA HAVE YOU HAD YOUR DINNER BREAK WAKATI NI SAA SABA MCHANA. NIKAMUULIZA KWA NINI UNANIULIZA KAMA NIMEPATA MAPUMZIKO YA DINNER WAKATI NI SAA SABA MCHANA. NDO AKANIPA MAELEZI HAYO NILIYOTOA HAPO JUU. HIVYO NI MAKOSA KUSEMA LUNCH WAKATI UNAKULA BAADA YA SAA SITA MCHANA HIYO NI DIINER. KWA HILO MICHUZI YOU ARE RIGHT BRO. HII NI BLOG YA JAMII YA KUELIMISHANA, KAZI SAFI MICHUZI

    ReplyDelete
  25. "ze begazzzzz" hahahaaaaaaaa michu juuuuuuu
    sisteri alijua ths picha yatolewa bloguni so akajiandaa kimis-mis
    mtakoma wenyewe

    ReplyDelete
  26. michuzi inakuwaje? nimerudi tena mimi yule hater wa Hasheem Thabeet!! dogo ana mmisifa huyo, but anyways naona mnangojea msosi, mbona huyo kanumba amepozi kiuwoga uwoga au ndio alivyo? alafu duh ndio maana ulaya raha, ukiorder kinywaji unamiminiwa kinaletwa kwenye glasi, hebu cheki hiyo michupa ilivyojazana hapo mezani, silaha hizo, hapo mtu unaweza ukapigwa chupa ukitokea ugomvi, mazaga zaga kibao mezani chakula mtakiweka wapi? duh kweli vitu vingine sio lazima uende shule kuvirealize! ila michuzi tumemchoka thabeet! usimuweke tena humu!

    ReplyDelete
  27. Nimependa lips za rachel.

    ReplyDelete
  28. umependa lips za rachel?????? nyamafu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...