


kwa niaba ya wanafunzi wenzangu wa Chuo kikuu cha Tumaini-Makumira, Katika kusherehekea sikukuu ya Idd na Uhuru wa Tanganyika tumetembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani iliyopo Pwani. Huko tumejionea na kujifunza mambo mengi sana.
--
Meshack c.Maganga
Tumaini university
Makumira University college
Faculty of Humanities and social science
+255 713 486 636
ARUSHA
TANZANIA
--
Meshack c.Maganga
Tumaini university
Makumira University college
Faculty of Humanities and social science
+255 713 486 636
ARUSHA
TANZANIA
www.meshackmaganga.t4.com
http://www.makumira.ac.tz
meshackmaganga@gmail.com
Hongereni sana wadau wa Tumaini kampasi ya Arusha makumira kwa kasi yenu ya kutembelea mbuga mbalimbali ,na kumbuka mlitembela pia Ngorongoro,Arusaha Natinal park,na meserani park.haya wadau masomo mema na pia xmas njema
ReplyDeleteSorry Michuzi,
ReplyDeleteMchemeko
BREAKING NEWS!!!!!
Imeonekana kwamba katika majaribio ya pili ya Malaria VACCINE, kwa watoto kuzuia vidudu vya malaria kwa asilia 65, kwa hiyo basi wataalamu hao hao wanasema tutegemee third clinical trial and final stages, ambapo baada ya hapo, MWAKANI, panapo Mungu akipenda wataseek regulatory approvals, all within next year. KWA HIYO MATEGEMEO MAKUBWA YAPO, KUWA READILY AVAILABLE WITHIN 5YEARS.
Soon tutaweza kureduce the effects or eradicate the disease, kama Polio na smallpox. WHAT A BREAK THROUGH!.
Zaidi soma reuters report hapa
US news report soma hapa
Wall Street Journal Report soma hapa
All thanks to BIG MONEYS INJECTION, by Gates Foundation. Tanzania is doing fantastic job on war against AIDS, Malaria still remains a BIG threat!
Fowarded.
By Mchangiaji
Saadani hakuna wakiristu? naona kitimoto nje nje
ReplyDelete