Waonyeshaji wa tamaduni na vivutio vya utalii Tanzania ambao pia ni wanafunzi katika chuo cha kimataifa cha ISS hapa The Hague Netherlands, Ndugu Dismas Ngusa na Ndugu William Mwakila, wakionyesha bidhaa mbali mbali katika maonyesho ya bidhaa na tamaduni za nchi mbalimbali duniani yaliyofanyika siku ya Jumamosi.
Katika maonyesho hayo, banda la Tanzania lilikuwa mojawapo ya mabanda yaliyofanya vizuri.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. I see you mwanambate.....lol
    Ralph, Usagara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...