anko kipukuswa ambaye ni 'super-sub' wa timu ya break point akisuburi mambo yaharibike aingie mwenyewe.
timu ya break point (bluu) na wenyeji wao tanga old stars katika picha ya pamoja viwanja vya gymkhana jijini tanga katika mechi ya kirafiki kusherehekea miaka 47 ya uhuru ambapo break point ilishinda bao 2-0
kikosi cha break point kaabla ya mechi na tanga old stars huko tanga

mwenyekiti wa kamati ya ufundi na meneja wa timu papaa mopao fredito (mwenye pensi la raba mtoni) akitoa ahadi kwa vijana wake ambao nao hawakumuangusha kwani walishinda 2-0




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duh...na kweli bongo tambarare,angalieni hivyo vitambi vya hao wacheza kabumbu na halafu nyie wabeba maboksi mlio nje mnajivuna na dola zenu!!!kweli Tz tunayo mambo fresh!!!

    ReplyDelete
  2. Hagila safi sana naona huna kitambi kama wenzio halafu najua mpira unaujua jua ila mwenzangu madega hapo mweeee!!! sijui bosi wake manji kampa kitambi chake ambebee sijui?hivi huoni aibu mpambe una kitambi kuliko bosi wako

    ReplyDelete
  3. Huyo kipukuswa ndio yule wa Musoma au? siku hazigandi mambo mshikaji?

    ReplyDelete
  4. Those bloated tummies...punguzeni!

    ReplyDelete
  5. ...hivi nyie na hivyo vitambi vyenu hamuoni aibu?na mashavu ya pombe utayajua maana yamelegea legea tuu na yanafanya macho kuingia ndani,halafu hapo najua jasho la pombe halidanganyi ila mwanzo mzuri atleast mmeshtuka mnafanya mazoezi na mnaweza kurudi vizuri kwenye shape zenu zilizowapa wanawake wazuri ila kwa sasa hampati kitu labda muwe loaded ile mbaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...