kiota cha maraha maarufu club billicanas ambacho kimefungwa kwa muda kwa ukarabati wa nguvu kikifunguka kitakuwa pina ile mbaya toka nje mpaka ndani kwani huko nje kunatayarishwa kiegesha magari cha nguvu uwanja wote wa club hiyo. redio mbao zinasema huenda club ikafunguliwa mapema mwakani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. aaah bora watengeneze hio parking ilikuwa ovywooo sie watu wa kwanja tukirudi bongo ndo sehemu zetu zakuzuga hizo kwahio lazima zipendeze january tupo pamoja ndani ya bongo bila kukosa ze club mie kwenye hio mijadala EAC mie simo kwangu hapa usibishane na mjinga akizungumza we kaa kimya tu atauona ujinga wake let them talk we do mamboz hahaha

    ReplyDelete
  2. Kwani watacheza sindimba hapo nje??

    ReplyDelete
  3. MICHUZI DO YOU REMEMBER LONG TIME...!
    KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI

    Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
    kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
    watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
    wakataka na kauli, iwafae maishani.

    Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli,
    hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali,
    roho naona yachinjwa, kifo kina nikabili,
    kama mnataka mali, mtayapata shambani.

    Wakazidi kumchimba, baba mwenye homa kali,
    baba yetu watufumba, hatujui fumbo hili,
    akili zetu nyembamba, hazijajua methali,
    kama tunataka mali, tutapataje shambani?

    Kwanza shirikianeni, nawapa hiyo kauli,
    fanyeni kazi shambani, mwisho mtapata mali, haya sasa buriani, kifo kimeniwasili,
    kama mnataka mali mtayapata shambani.

    Alipokwisha kutaja, fumbo hili la akili,
    mauti nayo yakaja, roho ikaacha mwili,
    na watoto kwa umoja, wakakumbuka kauli,
    kama mnataka mali, tutayapata shambani.

    Shamba wakapalilia, bila kupata ajali,
    mavuno yakawajia, wakafaidi ugali,
    wote wakashangilia, usemi wakakubali,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...