hili ni halaiki lililofanywa na wanafunzi wapatao 1,000 toka shule mbalimbali za dar katika kusherehekea miaka 47 ya uhuru wa tanzania bara leo pale neshno ya zamani.
unaweza kuangalia video ya halaiki hii kwa kubofya hapa.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. naomba kuuliza..Hivi huo uwanja mpya umetengenezwa kwa ajili ya match za timu ya taifa tu??maana sioni sherehe muhimu zaidi ya hii ndani ya uwanja..au ndo ka ile ukiwa na viatu vipya utaki kuvivaa visije vikachafuka??

    ReplyDelete
  2. Naona mambo yalifana!Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  3. Hivi huu uwanja si utaharibika sasa jamani kama ushaanzwa kupigiwa hadi gwaride na mabuti manake hapo najua bado zamu ya wanajeshi nayo,kwa upeo wng mm pitch ya kuchezea football inahitaji uangalifu wa hali ya juu ni viatu vya mpira tu vinavyotakiwa kukanyagia pale sio mabuti,kama kweli tunataka na sie tuwe na kiwanja standard na hata timu nyingine zikija south africa kwenye world cup ziutumie uwanja huo

    ReplyDelete
  4. nimeona hiyo video, lkn bado tuko nyuma sana inaonyesha iliyotumika hapo ni camcorder ya kawaida kabisa halafu ilikua moja tu ndio maana hata ulikua huwezi kuona kwa upande mwingine, tatizo ni nini?tunashindwa kuwekeza ktk vitendea kazi muhimu namna hii ktk karne hii jamani wakati magari mapya yakitoka tu basi ni rahisi kununua kuliko kuwekeza katika vitendea kazi, tutafika kweli kwa hali hii..

    ReplyDelete
  5. Sijui hawa wanaimba nini. Enzi zetu ni kuimbia chama na mwalimu.... kweli enzi za chipukizi

    ReplyDelete
  6. Miaka 47 ya uhuru, jamani hivi kweli tupo huru? Bei za bidaa ukiuza nje unapangiwa bei, na vitu kama hivyo sitaki kusema mengi, ILA bado nakuna kichwa nikitafakari huu Uhuru wa miaka 47nini hasa kimefanyika. Mtu mzima huyu, kaoa ana hata wajukuu, lakini kila siku kwenda kuomba...
    mmh.
    m3

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...