Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kipanya afadhali umetuamsha maana naona wwaTZ usingizi umezidi, hawa watu wanaouza mafuta wameenda kwa mganga gani hadi serikali inashindwa kutoa tamko la kuwalazimisha washushe bei?au wakuu wana hisa??? tuwe wastaarabu na serikali iamke

    ReplyDelete
  2. Waziri ngeleja una vituo vingapi vya mafuta?hivi umeshindwa kusema lolote kuhusu mafuta? au mpaka mtu afufuke kutoka kuzimu aje kukumbusha? EWURA ni kwa maslahi ya nani? bei ya mafuta ni chini ya dola 40 ina maana bei bado iko vilevile?

    ReplyDelete
  3. WATASINGIZIA GHARAMA YA KUYAFIKISHA MAFUTA HAPO KITUONI TOKA CRUDE OIL, KUYASAFISHA, KUYASAFIRISHA HADI KITUONI NA STORAGE NA MISHARA YA WAHUDUMU, KWANI MAJUU UNAJIWEKEA MWENYEWE HAKUNA WAHUDUMU, HIVYO HAWAWEZI KUPUNGUZA BEI, HIYO NI GREEDNESS. MBONA HAPO U.K. MAFUTA YALIFIKA £1.40+ HIVI MIEZI ILYOPITA LAKINI BAADA YA KUSHUKA KWA CRUDE OIL SASA NI CHINI PENCE 85 SEHEMU ZINGINE, HAMNA HATA KTUO KINACHOUZA ZAIDI YA PENCE 90 PIA KUNA JAMBO HILI LA MAFUTA KATI YA DIESEL NA PETROL HAPO UK PETROL NI CHEAP NA DIESEL NI BEI JUU KINYUME NA HUKO BONGO, NILOPULIZA WANASEMA DIESEL HUTUMIKA KIDOGO SANA NDANI YA GARI HIVYO MTU ANAYENUNUA DIESEL HUNUNUA NUSU YA MTU WA PETROL KWA SAFARI ILEILE KWA GARI YA AINA ILEILE,NA PIA WATU WENGI HUPENDA KUWA NA GARI ZA DIESEL SO IT IS A QUESTION OF DMAND AND SUPPLY,DEMAND UP PRICE UP, MAY BE HII NDO INA-APPLY BONGO KWA VILE GARI NYINGI NAHISI NI ZA PETROL SO DEMAND UP PRICE UP. PIA KUPUNGUZA GHARAMA KWA NINI VITUO VYA MAFUTA VYA BONGO WASWEKE HII SYSTEM YA KUJIWEKEA MWENYEWE BADALA YA WAHUDUMU KUPUNGUZA OVERHEADS ILI WAPUNGUZE BEI YA MAFUTA, IT IA MATTER OF COMPUTERISED SYSTEM UNAWEZA KUFANYA MTU AJE ALIPE COUNTER KWANZA THEN SHOP ASSIATANCE AN-UNLOCK KUPITIA COMPUTER HUKOHUKO NDANI NA MTU ANKWENDA KUJIWEKEA MWENYEWE.

    ReplyDelete
  4. EWURA:ENDELEZA UKAMUAJI RAIA. Kweli ni ujinga mkubwa kwa Serikali kushindwa kulinda walaji na walipa kodi, mpaka watu warushe mawe sasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...