Home
Unlabelled
halaiki ya miaka 47 ya uhuru yafana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
naomba kuuliza..Hivi huo uwanja mpya umetengenezwa kwa ajili ya match za timu ya taifa tu??maana sioni sherehe muhimu zaidi ya hii ndani ya uwanja..au ndo ka ile ukiwa na viatu vipya utaki kuvivaa visije vikachafuka??
ReplyDeleteNaona mambo yalifana!Mungu ibariki Tanzania
ReplyDeleteHivi huu uwanja si utaharibika sasa jamani kama ushaanzwa kupigiwa hadi gwaride na mabuti manake hapo najua bado zamu ya wanajeshi nayo,kwa upeo wng mm pitch ya kuchezea football inahitaji uangalifu wa hali ya juu ni viatu vya mpira tu vinavyotakiwa kukanyagia pale sio mabuti,kama kweli tunataka na sie tuwe na kiwanja standard na hata timu nyingine zikija south africa kwenye world cup ziutumie uwanja huo
ReplyDeletenimeona hiyo video, lkn bado tuko nyuma sana inaonyesha iliyotumika hapo ni camcorder ya kawaida kabisa halafu ilikua moja tu ndio maana hata ulikua huwezi kuona kwa upande mwingine, tatizo ni nini?tunashindwa kuwekeza ktk vitendea kazi muhimu namna hii ktk karne hii jamani wakati magari mapya yakitoka tu basi ni rahisi kununua kuliko kuwekeza katika vitendea kazi, tutafika kweli kwa hali hii..
ReplyDeleteSijui hawa wanaimba nini. Enzi zetu ni kuimbia chama na mwalimu.... kweli enzi za chipukizi
ReplyDeleteMiaka 47 ya uhuru, jamani hivi kweli tupo huru? Bei za bidaa ukiuza nje unapangiwa bei, na vitu kama hivyo sitaki kusema mengi, ILA bado nakuna kichwa nikitafakari huu Uhuru wa miaka 47nini hasa kimefanyika. Mtu mzima huyu, kaoa ana hata wajukuu, lakini kila siku kwenda kuomba...
ReplyDeletemmh.
m3