Home
Unlabelled
joe thomas na wenzie wakiongea na waandishi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JOE PLEA MZURI "KAMPAKUA BINTI" UNAAMBIWA "DON'T FIGHT DA FILING"
ReplyDeleteway to Go EMelda.........am a big fan of BANG! magazine and am delighted tht your fab mag is connected with this trip ( somehow );
ReplyDeleteBANG! wanajitahidi sana, they r young trendy and very enterprising...
tupo pamoja leaders leo, hakuna kulala !!
Wewe Emelda, Ritha atakuchapa !! ngoja akusemee kwa baba unabusu wageni. lol
ReplyDeleteImelda napenda sana gazeti lako Keep it up dada, wewe ni mfano wa kuigwa
ReplyDeleteKama kuna watu waliosoma kwa malengo na kurudi nyumbani kufanya vitu vya maana wewe Imelda ni mmoja wapo ..... safi dada
ReplyDeleteJoe anafanana na Kelvin Twisa kwikwikwikwikwikwiiiiiiii!
ReplyDeletejamaniiiiiiiiiiii nini iki???kutuletea najisi nchi hii??watu minywele iko waaaazi afu katundika eti msalaba,,,,pepo
ReplyDeletenyambafu
heeeee jamani i wish i was you imelda mmmmmh jamani nampenda joe natamani hapo ningekuwa mimi, duuu ulijisikiaje jamani iiiiiiii aaahh i'm crying i wish it was me. by the way i like you mag keep it up
ReplyDeletejamani emelda endelea ivyo ivyo, mfano wa kuigwa na vijana wengine.
ReplyDeleteKuna wadada wengi wanatamani hiyo nafasi ambayo Imelda kasimama na Joe ila basi tu roho zinawauma.
ReplyDeleteImelda You rock lady! Kazi yako ktk BANG can not go unnoticed.
mhhh manake dada etu anaisubiria kissss kwa pozi lake anajiuliza he itakuwa kwa lip au kwa shafu hehe mara kwa lip kwanini usitoe ulimi nje umekosea hapo haya basi sie waosha vinywa tu kesi unayo ya kujibu home kwa baba nanihii
ReplyDeleteEmelda.....watu weweeeeeeee....wenye wivu wajinyoge shoga yangu...big up ma dear friend.
ReplyDeleteemelda dear take care and keep up the good work mungu akuzidishie, na take care dear.
ReplyDeletewatanzania tuamke wakati umefika tuhimizane kuchangia ya maana na kuacha ulimbukeni wa mambo ya kigeni yasiyo na msaada katika maendeleo ya nchi binafsi yangu ningempongeza Emelda kama angetumia nguvu na pesa alizowekeza katika tamasha la Joe kwenye uchangiaji wa elimu, tukae chini tujiulize ni watanzania wangapi wanapata bahati ya kufika chuo kikuu na kupata elimu ya chuo kikuu au huko mbali sana sekondari tu. Lakini badala yake tunahimizana kwenda kwenye show ya Joe kiingilio cha chini 20,000 je ni vitabu vingapi?? Ni wangapi kati yetu tunakumbuka japo kutoa zaka tu kama dini zinavyotuelekeza?? Tuache kuhimizana ujinga na kushiriki katika maendeleo sio kila siku kusema serikali haileti maendeleo tu Je wewe umeifanyia nini nchi yako?? Au ndio umemleta Joe na kuwapotosha watanzania wenzako badala ya kuchangia maendeleo wakuchangie mfuko wako binafsi na familia yako
ReplyDelete