Makundi kwa ajili ya mtanange wa Chan yameshapangwa jana huko Abidjan, Ivory Coast ama Cote d'Ivore na Taifa Stars imo kwenye kundi la kifo...
Makundi yenyewe ni kama ifuatavyo:
Kundi A:
A1: Cote d'Ivoire
A2: Zambia
A3: Sénégal
A4: Tanzania
Kundi B:
B1: Ghana
B2: Zimbabwe
B3: RD Congo
B4: Libya


Imekula kwetu.
ReplyDeleteBora tubakie nyumbani kwani vipigo tutakavyocharazwa itakuwa ni aibu ya taifa!
ReplyDeleteHapo kweli kazi ipo. Lakini tukijitutumua angalau tukamfunga mmoja, chati litapanda kweli FIFA. Stars tupeni Raha!
ReplyDeleteHapo kweli kazi ipo. Lakini tukijitutumua angalau tukamfunga mmoja, chati litapanda kweli FIFA. Stars tupeni Raha!
ReplyDeletenadhani ukiondoa Zambia,hao Senegal na Ivory Coast(bila Pros wao) hawana kikubwa cha kutisha.binafsi naona Zambia ni wazuri zaidi bila Pros wao kuliko hao wengine.
ReplyDeletekama tutajipanga vizuri basi nafasi ya pili ni yetu but sitashangaa kama tukiwa wa kwanza ktk kundi.
UUUUUUVVVVVVVVIIIIIII!!
ReplyDeleteJamani kuna nchi ngapi zilishiriki katika haya mashindano kabla ya hii draw?
ReplyDeleteWAHESHIMIWA MBONA MNAKATA TAMAA MAPEMA HIVYO!!!
ReplyDeleteIMEFIKIA KIPINDI TUBADILISHE MAWAZO YETU.
SENEGAL INAYOCHEZA SIO ILE YA DIOF WA SUNDERLAND AMBAYO INATAZAMIWA KUSHUKA DARAJA HUKO ENGLAND AU CAMARA WA FULHAM.
NI WACHEZAJI WA KAWAIDA KAMA AKINA TEGETE NA NGASSA TU.
NA COT DE VOIR INAYO CHEZA SIO YA AKINA KEITA, KALOU, TOURE NA DROGBA. NI YA AKINA NSAJIGWA NA WENGINEO.
KILA TIMU HAPA INA UWEZO WA KUCHUKUA KOMBE (PROBABILITY IS 1/8) KWA WALE WANAHESABU.
TAIFA STARS INAWEZA FANYA MAAJABU TU COZ HATA WAO UWEZO UPO TENA MKUBWA TU.
VILEVILE HAWA COTE DE VOIR WANAIGWAYA TAIFA STARS COZ ILIWASUMBUA SENEGAL NA CAMEROON.
Nasema hivyo coz niko hapa na nasikia maoni yao.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Taifa Stars
Hii kweli kiboko..ila tusife moyo watanzania tutashinda,tukishirikiana vyema..Mungu ibariki Taifa Stars,Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake wote...
ReplyDeleteBaba Ubaya umeongea pointi.Haya mashindano hayashirikishi wachezaji mastaa wa Majuu.Timu hatari hapo ni Zambia.Kundi jingine Zimbabwe inaweza kufanya maajabu,We wait and See.Stars watafunga baadhi ya timu hapo.Take my words.
ReplyDeletewatu wanakaza buti tu hapo mpira unadunda acheni kukata tamaa.kila kitu kinawezekana.
ReplyDeleteKundi la Tanzania ni zuri sana. Tutakuwa tunacheza na wachezaji ambao hawana udhoefu kabisa kwani timu zao huwa wakechaji wote 11 ni professionals. Halafu kama tutaweza kuingia nusu fainali basi tunetinga fainali na pengine kuchukua kombe. Sasa nyie mnaokebehi hapa siku tutakapofanya siku ya mapumziko itabidi muende kazini. Naona sasa mnashindwa kusema Maximo hafai mnatafuta sababu nyingine.
ReplyDeleteKundi la Tanzania ni zuri sana. Tutakuwa tunacheza na wachezaji ambao hawana udhoefu kabisa kwani timu zao huwa wakechaji wote 11 ni professionals. Halafu kama tutaweza kuingia nusu fainali basi tunetinga fainali na pengine kuchukua kombe. Sasa nyie mnaokebehi hapa siku tutakapofanya siku ya mapumziko itabidi muende kazini. Naona sasa mnashindwa kusema Maximo hafai mnatafuta sababu nyingine.
ReplyDeleteMtoa maoni uliyeuliza swali, kwamba ni timu ngapi zilishiriki. Jibu ni kuwa, ukienda kwenye tovuti ya CAF utaona lakini kwa haraka nikupe fununu bila kutaja timu zote. Kuna kanda sita:
ReplyDelete1. Kaskazini - imetoka Libya baada ya kupimana na Waarabu wenzao kibao.
2. Magharibi - Zimetoka timu 2 kwa kuwa kuna mataifa mengi. Ghana na Senegal baada ya kupimana na wenzao.
2. Kati mwa Afrika - Imetoka DRC.
Kati na Mashariki - Sisi.
Kusini - Kwa kuwa ni wengi zimetoka 2, Zambia na Zimbabwe.
Pia kuna mwenyeji ambaye ni Cote d'Ivoire.
Hizi kanda zitadumu hivi. Kwetu mathalani, Sudan iliwatoa Rwanda, Sisi tuliwatoa Kenya na Uganda. Somalia na Jibuti na Eritea mpira hauchezeki sasa hivi. Burundi walikuwa wanapigana.
Vipi mpaka hapo ingawa sijatoa orodha ya timu zote. Nenda kwenye tovuti utacheki.
Jambo moja ni kwamba, hizi ni timu B, yaani bila wachezaji wa kulipwa wa ndani ya Afrika na nje pia. Ndiyo maana unaona vitu visikubalika kichwani mwako. Na ni kwa sababu hiyo hiyo tutatamba kwenye michuano hii. Timu kama Senegal si nzuri sana kwa kuwa wachezaji wake hawa wana ubavu wa kwenda Ulaya, upo hapo?
Maximo kama kocha tutamjua hapo.so far mimi namuona ni TEKNISHENI TU SIO KOCHA.
ReplyDeleteJUZI KAMUACHA IVO KWENYE TIMU YA TAIFA ANASEMA HAJUI KIWANGO CHAKE, LAKINI KAMCHUKUA MRWANDA ILI AONE KIWANGO CHAKE. SIMULEWI HUYU JAMAA.
KWANI YEYE KAMA KOCHA PROFESIONAL BASI ANGEKUWA ANAWASILIANA NA KOCHA WA IVO NA KOCHA WA MAKIPA WA TIMU YA IVO WALAU KWA MWEZI MARA MOJA KUJUA KIWANGO CHA IVO NA KUCHUKUA RIPOTI.KAMA HILO HALIJUI ATAUJUA MPIRA?
MWAKA HUU ALIMFUKUZA BOBAN WIKI MOJA NA BAADA YA WIKI BOBAN AKAOMBA MSAHAMA AKASEMA HAWEZI KUMRUDISHA HADI AONE KIWANGO CHAKE. JEE WIKI ILIYOPITA ALIMCHUKUA KWA KIWANGO GANI?
SINA HAKIKA KAMA ANAMJUA KOCHA WA DANNY MRWANDA NA ANAWASILIANA NAE.
YEYE ANAPENDA SANA KUANDAA VYAKULA VYA TIMU YA TAIFA.KWENYE MENU HUMTOI.MIE SIRIDHISHWI NA HUYU KOCHA AJE KUTOKA ULAYA KAMA UFARANSA N.K
TUNAMPA SIFA WAKATI TUMECHEZA NA UGANDA NA KENYA THEN SUDAN WATU AMBAO RAIS WAO YUKO KWENYE MISUKO SUKO YA DARFUR NA WAZUNGU.
MAXIMO ANAKULA PESA YETU BURE.KASEJJA SIJUI ALIMFANYA NINI KOCHA HUYU.KINA GAZA WALIKUWA WATOVU WAKUBWA WA NIDHAMU HAWAKUPATA ADHABU KAMA YA KASEJA.
MARA HATAKI WACHEZAJI WENYE MIAKA 28 KUENDELEA JEE LAMPARD ANA MIAK MINGAPI?NEVILEE ANA 33,DROGBA 32,MBONA TIMU ZAO ZINAWACHUKUA?CAF MBRAZILI ALICHEZA HADI ANA MIAKA 35 TIMU YA BRAZIL MAXIMO HILO HALIJUI. KOCHA MAKINI HUWEZI KUSEMA NIMEKUJA KUJENGA MSINGI. KOCHA YEYOTE HUSEMA NAKUJA KULETA KOMBE.MSINGI SISI TUNAO TOKA 1980 KINA TENGA WALITUJENGEA.AU PAN AFRICA ILITUWEKEA, SIMBA WALIKWENDA BRAZIL PAMOJA NA YANGA. TENA WALIKUWA WAGENI WA SANTOS YA PELE. AACHE KUTULETEA MANENO YA FEDHULI.
MIMI MIMI MDAU WA KISIJU NISIMPENDA MAXIMO.
Ukweli ni kuwa,ingawa kundi linaonekana gumu,lakini hatutakiwi kukata tamaa.Mimi naishi MALI,huku Stars ina sifa kuliko wengi mnavyofiria huko nyumbani.Watu wa huku magharibi hawaichulii Stars yutu kuwa ni mteremko na wao wana ona ni heri wangekua na Zimbabwe kuliko Tanzania.
ReplyDeletePoints zao za kuiogopa Tanzania ni nyingi lakini wanayozungumzia sana ni 1.Kama tuliweza kuwasimamisha Cameroon wakiwa na proffessional wao wote,itakuwaje ikipambana na local players?2.Bado senegal wanaiota Stars.Kumbukeni Senegal walikuwa na proffessionals pia ,ambao hivi sasa hawatakuwepo.
BOLOGENI-MALI.
Baadhi ya wachezaji wa timu yetu ya Taifa hawana nidhamu na ni wazee; mfano wao ni huyu anony (December 27, 2008 10:29 PM). Huyu na wenzake wasio na nidhamu watakaa nyumbani watie akili wakati wenzao wanatafuta masoko ya kucheza soka ya kulipwa. Miaka 28 ni mingi sana kwa mtu kufundishwa soka; hivi huyu anony shule alienda? Tanzania misingi ya soka na michezo mingine ni mibovu sana; tatizo ni kwamba anony yupo Bongo, ana sababu binafsi, au ujawahi kuona wenzetu wa nje wanafanyaje kujijenga ili kufikia huko walipo.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania na watu wake! Asante!
watu kama annon wa dec 27,10:29pm tunawaita hawana upeo na analeta ushabiki wake binafsi kwenye jambo la kitaifa,Mapunda ni kipa namba 2 klabuni kwake je unataka awe kipa namba 1 wa nchi yetu? kuhusu kaseja kocha ana haki ya nani hamchague hata nchi zilizoendelea tumeshuhudia makocha wao wakiwaacha wachezaji ambao tunaamini ni wazuri na washabiki wakaheshimu maamuzi ya kocha mfano Pires(FRANCE) na kuhusu miaka ni kigezo kikubwa sana kwenye kujenga timu ya taifa mfano ni walcot,ronaldo de lima(1994),ronaldinho(2002),ngasa(2007). kuhusu Haruna(boban) una uwakika gani kama maximo hajafuatilia mwenendo wa kiwango chake? fuatilia mambo kabla ya kulalamika. Asante!
ReplyDeleteMdau wa 10.29 usiyempenda Maximo, una haki ya kutoa mawazo yako. Ila kwa mpira wa Tanzania niliokuwa naujua, Maximo amefanya kazi kubwa si kwa wachezaji, bali kwa watazamaji ambao sasa wameamua kwenda kuangalia mechi za Taifa Staz. Hata kama humpendi, angalao tambua msaada wake
ReplyDeleteWATANZANIA TUSIOGOPE MTU HAPO TIMU ZA KUZIOGOPA NI ZAMBIA, GHANA NA CONGO. HIZO TIMU ZINA WACHEZAJI WENGI WAZURI WANAOCHEZA NYUMBANI. SENEGAL NA IVORY COAST WANA PROFESSIONALS WENGI. SO TIMU ZA NYUMBANI SIYO KALI SANA. KIWANGO CHA MPIRA CHA TANZANIA KIMEPANDA MIMI NAJIONA TUTAFIKA NUSU FAINALI NA TUNAWEZA FIKA FAINALI SABABU GHANA TUMEISHACHEZA NAO HAWATUBABAISHI, SENEGAL (DIOF NA CAMARA) TULIWAANGAISHA SANA. NINA IMANI YA KUFIKA FAINALI KAMA VIJANA WA MAXIMO WATATULIA VIZURI. KUMBUKENI VIJANA WETU WALICHUKUA KIKOMBE CHA COCA COLA KWA KUWAFUNGA MAJABALI... JAMANI INAWEZEKANA! GO MAXIMO NA VIJANA WAKO! MUNGU IBARIKI TANZANIA!!
ReplyDeleteNarudi tena kuwawajibu wapenzi wa Maximo(teknisheni).
ReplyDeleteunasema kwa IVO ni kipa namba mbili hivyo hawezi kumchukua.
why alimchukua kwa muda mrefu Ali Mustafa Bartez wa simba kuwa kipa namba moja wa stars kwenye kombe la challenji nk wakati kipa huyo alikuwa namba mbili simba?
huo ni ushahidi kuwa Maximo hajielewi na hana kitu ila tunamsifu bure.
kama Joel bendera alikuwa hana support kama ya Maximo na akatupeleka fainali 1980 timu yetu hata akipewa MBARAKA wa Ashanti tutashinda, kwani ina support ya wananchi, RAIS WETU KIPENZI JK,serengeti na nmb nk.
mie Mdau Kisiju niko ulaya naujua mpira na naelewa vilabu.maximo kama kaja kujenga msingi basi angechukua timu ya watoto. huoni anazidi kujichanganya? kocha wa Chelsea baada ya Jose ni Grant aliipeleka hadi fainali kombe la ulaya, chelsea kwa mara ya kwanza toka 1905 timu ilipoanzishwa na alifungwa mechi moja tu ya barclyas still alifukuzwa kwani soka sio kubahatisha ni kuleta vikombe.
Maximo alimleta mchezaji michael Chuma toka Denmark, mie namjua chuma kuwa si mchezaji professional lakini yeye alimpeleka moja kwa moja Stars bila ya kuwa na taarifa wala kuhoji timu gani anacheza au kupata ripoti au kuona mkataba wa Chuma.sote tulishuhudia kwenye kombe la chalenji tukipata taabu kuwafunga somalia na hatukufika hata robo fainal na sisi ndio tulioandaa kombe la chalenji mwaka jana.
Tumetoka 1-1 na Senegal Maximo alikuwa ana week moja hivyo hakuna alichofanya zaidi ya vijana wetu kumuona JK akiwa jukwaani Kirumba wakapa motisha ya mpira.
kingine ni nguvu za giza ndizo zinazotusaidia otherwise kwangu mimi Maximo ni mbabaishaji.
mara sikuja kuleta vikombe bali kujenga msingi. Tanzania hatuhitaji msingi kama kocha alete makombe.
mdau Kisiju naenda kuangua madafu yangu.
TANZANIA INA KUNDI RAHISI SANA KWANI TIMU HIZO WACHEZAJI WAO WOTE HUTOKAGA ULAYA NA HAWARUHUSIWI KUCHEZA KATIKA MASHINDANO HAYA, HIVI NI KUNDI CHEAP
ReplyDeleteTatizo la wabongo miaka yote ni lile lile!!..ujuaji kupita maelezo..mdau wa kisiju ni mmojawao na ni mfano halisi..mbongo typical utamjua tu mara atakapoanza kuonyesha ujuaji wake.
ReplyDeleteTuache kujidanganya eti sisi kwa sasa tuna wachezaji ambao wanaweza wakafundishwa na kocha yoyote yule mtaalam na ghafla tu eti wakaweza kucheza kombe la dunia au CAN..makocha wetu wataalam wakija hapa bongo wanawaponda wachezaji wetu kuwa vichwa vyao havipokei mafundisho ya kisas...mifano ni mingi..Micho ,Kondic na mfano wa karibini kabisa ni Talib Hilal ambaye amesema wazi kuwa wachezaji wetu wanacheza kwa bidii mazoezini lakini kwenye mechi wanafanya madudu!!..hawa ni makocha watatu tofauti waliozungumza kwa nyakati tofauti.
Maximo amekuja nchini na kuanza kushughulika na kizazi hiki hiki kisichofundishika ndio maana alipofika akaanza moja kwa moja kupunguza wachezaji aliyoona na mzigo..ndio watu wanaooujua mpira kiukweliukweli walimuelewa anataka kufanya nini.
Timu kuwa na udhamini wa mabilioni sio kigezo cha mafanikio ya haraka..kama wachezaji wana misingi mibovu, pesa pekee haziwezi zikawageuza na kuwafanya eti waweze kucheza kama akina Drogba!!
Tuheshimu taaluma tuache kujifanya tunauelewa mpira kuliko Maximo...soka ni taaluma kama taaluma nyingine yoyote ile tujitahidi tuiheshimu kama tunavyotaka taaluma zetu na zenyewe ziheshimiwe.
Hakuna kocha anayeweza akaja hapa bongo na kufanya maajabu eti kwa sababu ya udhamini mkubwa kama msingi wetu ya maandalizi ya vijana ulikuwa mbovu tangu zamani!!.
Maximo anaendelea kufanya mapinduzi makubwa katika soka letu ndio maana tumeweza kuzifunga timu zenye wachezaji waliokaa pamoja zaidi ya miaka mitano kama vile Burkina Faso na Sudan.
Tumheshimu Maximo na tuwalaumu sana kina Ndolanga ambao walikuwa wanaendekeza majivuno bila ya kufanya lolote la maana kwa ajili ya soka letu.
Wajameni, mnaposema kundi la kifo maana yake nini? Guo si ndio mpira bwana? Ninyi mnataka tu vya rahisi rahisi? Na kwa taarifa ni kwamba hizo timu ambazo zinaonekana ni ngumu ndiyo nzuri kuanza nazo. Maana mkishaifunga tu timu mojawapo, wale wa makundi mengine mnakuwa mmeshawatia hofu na siku ya kucheza nao ikifika inakuwa mteremko. Ngoja Taifa stars wajipime kwa kupambana na vigogo in early periods. Hata kama wakifungwa si basi bwana. Ndiyo utamu wa mashindano.
ReplyDeleteMdau
wadau wengine humu ni hamnazo.mtaendelea kuwajibu hadi vidole viumuke.
ReplyDeletemakocha nao ni binadamu vilevile,sometimes can get things wrong na kadhalika.lkn huwezi kujua kama kachemsha hadi pale mambo yanapokwenda kombo.
so far,so GUD sasa sijui huo uchambuzi juu ya kocha una malengo gani.
aniwei,kila m2 na mtazamo wake.
Kisiju narudi tena.
ReplyDeleteMaximo hana kitu mechi na Burkina Fasso aliyefunga goli kule ni Erasto NYONI aliwika sana siku ile. lakini mechi inayoFuata na Msumbiji akamuweka MECKY MAXIME kwa vile tu jina lake linafana na lake na pili anataka kumpa heshima ya kujiuzulu timu ya taifa kwa kumpanga mechi kubwa kama ile.
tena huyu Maxime alikuwa akichechemea. matokeo yake tukafungwa.
swali kama Lampard mechi ya jana na Fulham ameng'ara na kufunga magoli mawili. then mechi inayofuata ambayo ni muhimu kwa Chelsea itokee Scholari alimuweke benchi na kumpanga mchezaji aliyekuwa mgonjwa kwa muda mrefu na kiwango chake kibovu?.nasema tena mbaraka wa ashanti akipewa stars tutachukua hadi kombe la dunia. Maximo kaja wakati wa neema hana kipya.
huwezi kumsifu mtu ambaye ameshindwa kuleta hata kombe la chalenji.toka England wampe Cappelo wamefungwa mechi moja tu na kiwango chao kimekuwa lakini hakuna sifa kubwa anazopewa CAPELLO kama hajaleta kombe KWA WAINGEREZA.
ndio maana Grant wa chelsea alipoteza mechi moja tu ya ligi ya UK mwaka jana ile wiki aliyokabidhiwa timu walicheza na manchester na kupoteza mchezo baada ya hapo hakupoteza tena, na kombe la ulaya alifungwa fainali na Man tena kwa penalty baada ya tano kuwa droo. still alifukuzwa kazi.
kwani kombe ndio ushujaa wa kocha sio porojo za kujenga msingi basi achukue timu ya watoto under 12.
kama angekuwa Maximo katufikisha FAINAL ZA AFRICA na tukatolewa kwa penalty mngesema 'mlitaka na penati akapigie yeye'amejitahidi sana.
KUHUSU hili kombe halina nguvu yeyote ndio maana unaona nchi kama Misri hazikuona umuhimu wa kushiriki kwani hata FIFA hawalitambui.
hata website ya BBC hadi sasa hakuna maelekezo kuwa kuna kombe hilo HADI sasa kuna taarifa za FAINALI YA GHANA GHANA.
Maximo aliwapeleka wachezaji wetu Brazil waende kuogelea wakati sisi tuna beaches nzuri kama bagamoyo au mtwara.alichagua kikosi akakipeleka Brazil aliporudi akafukuza karibu wote.
swali aliwapeleka wakachukue mafunzo kurudi kawafukuza kama kina MwakimBa n.k jee ujuzi waliopata Brazil unanufaisha nini timu ya TAIFA? kwanini asingewaacha toka mwanzo?
namalizia hatuna kocha tuna TEKNISHENI NA MTU WA KUHAMASISHA SIO KOCHA AU MANAGER.
KOMBE LA CHALENJI ATAKUJA NA VISINGIZIO HANA KITU ATAKACHOFANYA.
JOSE MOURINHO ALIKUWA NA MANENO YAKE'FOOTBALL IS ABOUT WINNING THE GAMES'
Mdau wa kisigu ni kweli football is about winning the games but you should be having players talented and capable enough to win the games!!..katika ligi yetu ya Tanzania fowadi mbongo mwenye magoli mengi ni Suleiman Kibuta ambaye amefunga magoli manne katika mechi zaidi ya kumi alizocheza!!..can you imagine?.
ReplyDeleteKabla hajaja Maximo mpira wetu ulikuwa kama umekufa..hata sasa hivi hizi Simba na Yanga ni kama hazina faida yoyote ile..mashindano ya eneo hili kama vile Kagame yanafanyika kwenye ardhi yetu na mabingwa wanakuwa aidha waganda au wakenya..na hii imetokea zaidi ya mara moja..my friend mzee wa kisigu huwezi kujenga timu imara ya taifa kwa kutegemea vilabu dhaifu..it has never happened in this world!!
Haiwezekani vilabu vibovu vinavyoendeshwa kizamani vikatoa mchango wowote ule wa maana katika maendeleo ya soka ya nchi yoyote ile...Maximo alipofika aligundua upungufu huo mkubwa na ndio maana akawa anachomekea vijana kama akina Tegete na Kigi Makasi vijana ambao kwa sasa wanaanza kujijengea heshima taratibu kutokana na mchango wao..mr kisigu kama walivyo wabongo wengi you are so negative..unaishi ukiangalia upande mbaya tu..kufungwa na Msumbiji nyumbani kwetu sio tatizo..mbona hao England walifungwa na Croatia bao 3-2 mbele Prince Charles..mbona Brazil walifungwa na Uruguay kwenye mechi ya fainali ya kombe la dunia bao 1-0 mbele ya rais wao na baraza lote la mawaziri..mbona moro united walifungwa na polisi ya Uganda mabao 2-1 mbele ya Mheshimiwa Rais Kikwete!!.
Mr Kisigu usijidanganye kwamba eti kocha bora akija hapa bongo anaweza kufanya miujiza..si kweli..wachezaji wetu wanashindwa kufanya miujiza wakiwa na vilabu vyao wataweza vipi kufanya miujiza wakiwa timu ya taifa..na bahati mbaya zaidi soka la kisasa halina njia za mikato..ni lazima mtiririko wa kisayansi uheshimiwe..soka sio kama kitendo cha mwanamke kwenda saluni na kusuka nywele ndani ya nusu saa!!..uvumilivu unahitajika hata kama bongo ikileta Ben Schuster aliyekuwa Real Madrid hataweza kuleta miujiza...try to be positive cause you are very negative.
mdau wa kisiju umeishiwa na maelezo yako tu yanajidhihirisha uko bongo kama mdau mmoja hapo juu alivyokushtukia huna ujualo kuhusu soka sitakosea nikikufananisha na mtu kama dalali mwenyekiti wa simba au kaduguda mzee wa kukurupuka.kwanza joel bendera hakuwa head coach wa stars ilipopata ticket ya kwenda lagos mchemsho wako wa kwanza alikuwa ni msaidizi tu,kuhusu coach kumwita mchezaji eti kwa kutizama mkataba wake na club hilo ndio nalisikia kwako,michael chuma alivyoitwa stars alicheza mechi5 na akatufungia goli 3 katika hizo mechi zake tano alizocheza stars vs zambia 1-0,stars vs kenya 2-1,stars vs somalia 1-0.sasa sijui hapo ulitakaje wewe?hesabu maximo tangia atue bongo kapoteza game ngapi na kashinda game ngapi kabla ya kuanza kumkosoa.kuhusu umri swala liko wazi kabisa huwezi kuchukua vikongwe stars dudu wewe.na pia usiufananishe mpira wa england na wabongo ni leel 2 tofauti.asante mdau mambo safi hapa nakwenda kula upepo na vimwana beach karibuuu
ReplyDeleteKisiju on line.
ReplyDeleteMaximo hana alijualo. msingi wa mpira tuliwekewa na kocha Victor na marehemu Tambwe leya. yeye hana uwezo wa kujenga msingi. hawezi kufananisha wachazaji wake na product ya Tambwe leya ya Victor watu kama Adolph Richard, MKWECHE,TENGA, JAAFAR ABDULRAHMAN,DR DAU yuko kwenye kamati ya stars lakini aliwahi kufundishwa na Victor AKIWA YANGA aulizwe kama maximo anaweza kuweka kuweka msingi wa Victor.
hana jipya teknisheni. www.bbcswahili.com kwenye michezo Africa hakuna taarifa ya kombe la maximo.
najua wengi wenu humu hamuujui mpira mmeujua alipokuja maximo 2006 kwa vile JK anapenda mpira nanyi mkawa washabiki kwa msingi huo sawa na kipofu aliyemuona pumba -maximo asijue kuwa kuna tembo-victor,Tambwe leya ambaye ni mkubwa kuliko punda.pole sana.
Kama kuujua mpira zamani ndio ujanja basi simba na yanga zingekuwa bora kama man au arsenal..watu wanaojiita watoto wa mjini kama wewe mzee wa kisiju ndio waliouharibu mpira wa bongo..utoto wa mjini hauna mpango wowote na sio tija ikiwa hauwezi kutumika kwa ajili ya maendeleo ya soka...ukumbe kuwa kwa miaka miwili sasa wafungaji bora kwenye ligi yetu wanatoka Kenya na Uganda..ikiwa wachezaji wetu wanashindwa kutamba kwenye ligi ya kwao wenyewe , wataweza kweli kutamba kwenye makombe makubwa ya afrika..mzee wa kisiju chuki zako dhidi ya Maximo haziwezi kukufikisha kokote zaidi ya kuonyesha ni jinsi ulivyopitwa na wakati katika suala zima la soka
ReplyDeleteumeshaiona taifa stars inavyocheza kwa sasa..usizungumzie tena erasto nyoni , sasa hivi kuna mtoto mdogo anaitwa juma jabu , anacheza vizuri sana..yuko kigi makasi, ana kasi mashuti ana nguvu na kizuri zaidi ana umri mdogo..tafuta mkanda wa mechi zote mbili tulizocheza na sudan uone mabadiliko..timu inacheza pasi zaidi ya kumi na inafunga magoli..wewe bado unaendekeza uswahili kwenye internet!!..unazungumzia historia ya akina Tambwe Leya!!..unamuita Maximo Teknisheni..unaelewa maana ya Teknisheni au umelisoma mahala fulani?..yuko mtaalam mwingine anaitwa tinoko yeye anafundisha timu za vijana..na zina watoto wana uwezo mkubwa tu..tatizo lako Mr Kisiju ni tatizo linalowakabili wadau wengi wa soka hapa bongo..nazungumzia tatizo la kupenda mafanikio kwa kutumia njia za mkato..unayachukulia mambo kirahisirahisi..mlete mtaalam yoyote kutoka nchi yoyote ile na atakwambia lazima tuwe wavumilivu kama tunataka maendeleo ya soka
Wanaostahili lawama ni akina Mungai aliyefuta michezo mashuleni na Ndolanga aliyeshindwa kabisa kuendesha FAT hao wawili hawakujua kwamba madhara ya matendo yao kwa wakati ule yangesababisha mpira wetu ukaribie kufa..Maximo na Kocha yoyote atakayekuja baada yake ni wapita njia tu lakini hawa kina Ndolanga na Mungai ni wabongo wenzetu kwa hiyo lawama zinawaendea wao moja kwa moja. Sio kazi ya Maximo kuwafundisha mambo ya msingi wachezaji wetu..walitakiwa wawe wameshafundishwa tangu mashuleni..je huko shuleni michezo ilikuwepo?.