Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne:
ReplyDeletewatu
ardhi
SIASA SAFI na
UONGOZI BORA
Nakumbuka kabla ya kumwamkia mwalimu ilitupasa kusema hivyo. Sijui leo (ie 47 years za Uhuru) bado twasema the same au?
Ujumbe mzito KP.
Ingemaanisha sana kama mnyororo huo uwepo shingoni mwa mamilioni ya waafrika hususan waTanzania na matatizo yetu ya maslahi ya kila siku...lakini Alhamdulilah tumebaki na tutabaki hapo kwetu mpaka siku ya kiama katika matumaini ya kuirekebisha hali kimali na kimawazo!Uwoga wa kutoroka nchi kamwe mwiko...na walivyosema waliotutangulia yaani ALUTA CONTINUA!!!
ReplyDeleteTANZANIA ya sasa inahitaji DICTATOR wa kuongoza nchi.
ReplyDeleteMIMI najiuliza CHINA na NCHI za kiarab sheria ya HAKI za BINADAMU hawazijui au wamezifumbia macho, maana mtu ukiiba lazima uuliwe na ufungwe maisha huku kwetu tuuu ndio tunajifanya tunatawala utawala wa sheria, HUU ni ujinga wa hali ya juu, Tupate Dictator mmoja hapa m atukimbize mchakamchaka uone habari na watu wauliwe kweli ,kama wanaiba
DM
Mhu mh mhu, DM umeenda mbali, tupate dictator lakini sio kuua. Kumbuka, miongoni mwa mafisadi yupo pia mjombako, shangazi au mtoto wa binamu yako alozaliwa na mama mkwe. Saasa, hapo bwana angalia. Anyway!! punguza jazba.
ReplyDeleteMbxc.