Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne:
    watu
    ardhi
    SIASA SAFI na
    UONGOZI BORA

    Nakumbuka kabla ya kumwamkia mwalimu ilitupasa kusema hivyo. Sijui leo (ie 47 years za Uhuru) bado twasema the same au?


    Ujumbe mzito KP.

    ReplyDelete
  2. Ingemaanisha sana kama mnyororo huo uwepo shingoni mwa mamilioni ya waafrika hususan waTanzania na matatizo yetu ya maslahi ya kila siku...lakini Alhamdulilah tumebaki na tutabaki hapo kwetu mpaka siku ya kiama katika matumaini ya kuirekebisha hali kimali na kimawazo!Uwoga wa kutoroka nchi kamwe mwiko...na walivyosema waliotutangulia yaani ALUTA CONTINUA!!!

    ReplyDelete
  3. TANZANIA ya sasa inahitaji DICTATOR wa kuongoza nchi.
    MIMI najiuliza CHINA na NCHI za kiarab sheria ya HAKI za BINADAMU hawazijui au wamezifumbia macho, maana mtu ukiiba lazima uuliwe na ufungwe maisha huku kwetu tuuu ndio tunajifanya tunatawala utawala wa sheria, HUU ni ujinga wa hali ya juu, Tupate Dictator mmoja hapa m atukimbize mchakamchaka uone habari na watu wauliwe kweli ,kama wanaiba

    DM

    ReplyDelete
  4. Mhu mh mhu, DM umeenda mbali, tupate dictator lakini sio kuua. Kumbuka, miongoni mwa mafisadi yupo pia mjombako, shangazi au mtoto wa binamu yako alozaliwa na mama mkwe. Saasa, hapo bwana angalia. Anyway!! punguza jazba.

    Mbxc.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...