Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo mwake KP message sent and delivered. Jana nimeshindwa kucheka jamani kumbe waziri husika naye haelewi kwanini mafuta hayashuki bei- makubwa haya jamani so nani anajuwa?
ReplyDeleteMkrugenziwa EWURA naye akaona atukumbushe kuwa wao hawadili na mafuta machafu yanoyotajwa soko la dunia. Labda na sisi tumkumbushe kuwa siku zote yanayotajwa kupanda na kushuka ni mafuta machafu na si vinginevyo. Let's be serious ndugu zangu tunawatesa bure watz masikini.
Dunia nzima bei ya mafuta imeshuka mara dufu lakini bongo mambo palepale, kweli bongo tambarare!
ReplyDelete