Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wai! HAta sieewi mie...
ReplyDeleteIna maana JK kaanza kuvua wale samaki wakubwa wakubwa? Na kweli huo ni uvuvi haramu kwa nchi inayosujudu mafisadi!
Yetu macho, isije ikawa ni kuwatoa Lake Tanganyika na kuwahamishia Lake Victoria.
ReplyDeleteBado SANGARA baba laoooooo, hao ni watoto wake tuu.
ReplyDeleteMdau Mrusha Viatu Iraq.
inamaana anatumia nyavu ndogo haachi kitu kila aliyeko katika anga za maji haya (vibaka,wezi,mafisadi) watavuliwa na JK
ReplyDeleteJamani MV JK kuwa tahadhari ...hiyo Boti ya kuendesha peke yako kwenye bahari chafu hivyo na ukaenda kuvua mijipapa minene hivyo iliyoshiba !yetu macho ...........
ReplyDeleteLabda ni effect ya global warming inayosababisha wadakwe samaki wakubwa mmoja mmoja!:-(
ReplyDeleteEast Africa Integration: Why Tanzania is Cautious
ReplyDeleteThere is great concern in Kenya and Rwanda in particular with regards to the stance Tanzania has taken reminiscent to the integration of East African states and free movement. The most recent evidence is an article that surfaced in Kenya’s Daily Nation newspaper accusing Tanzania of being a liability in the integration of the region. The said article accused Tanzania of being parochial with full view of rot and poverty!
What brought all this kafuffles is the fact that Tanzania did not consent to free movement of East Africans. This is seen as curtailing the whole process of unifying the region! Full packed with salvos, dirty and unreasonable language, this, if anything, crossed the line so as to cause some brouhahas and bugaboos from the other side- the target. Let me not go the same evil way. Abusive language and threats won’t bring Tanzania into the fold but rather push her far away.
But why, is Tanzania becoming an obstacle really? If reality is faced, there are strong reasons. The borders we’re taking pride in were demarcated by colonialists in order to weaken and divide us. Our people have always been one and we should strive for this in lieu of double standards and egoism.
Needless to say, Tanzania is wary but not afraid. Many landless East Africans will invade her and grab her land. This will create animosity among Tanzanians, their government and East Africans from other countries. This stance is somewhat reasonable. Why should Kenya allow fertile land to be owned by a few rulers and white settlers without paying a damn to the majority landless? The family of the country's first president, Jomo Kenyatta, owns a chunk of land the size of Nyanza Province. His successor, Daniel arap Moi and Mwai Kibaki own big parcels of land, not to mention former British settlers. In May 2006 Cholmondeley, grandson of Lord Delamere, shot dead an innocent Kenyan for ‘trespassing’ on his Soysambu farm.
If we sincerely mean business, Kenya should harmonize her notorious and nasty land policies whilst Uganda and Rwanda should embrace true democracy. Otherwise egoistic ‘ours is mine but mine is mine’ will never help. No fool at this time can subscribe to this bulimia. Kenyan authorities should be told to their face that without equal and fair re-distribution of land, the whole process will end up a cropper.
Let’s look at another naked reality. Even if one compares the population of Tanzania and other East African countries, he’ll see why Tanzania is hesitating. Look at the reality in numbers: Burundi is 27,830 sq km with a population of 8,691,005 or 315 people concentrated in a square kilometre; Rwanda is 26,338 sq km with a population of 8.3 million that is set to double to 16 million by 2020. Its population density is the highest in Africa and has risen from 183 per sq km in 1981 to 345 per sq km in 2000. Rwanda’s rural population per square kilometre of arable land was around 901 in 1999 -- one of the highest in Africa. Kenya is 582,650 sq km with a population of over 30 million. Density is 2 settlers per sq. km, while in the rich and fertile western region, population density goes up to 120 settlers per sq. km. Uganda is 241,139 sq km with a population of at least 27.7 million and a density of 241 per sq km in 1999. Its population is projected to explode to approximately 66,305,000 by 2050. Tanzania is 945,100 sq km and, according to the United Nations, had an estimated population of 36,977,000 in 2003. The population density was then 39 per sq km.
Demographic realities are not something to ignore. Even the superpower and richest country of the world, the US, is currently erecting a 3,200 kilometre fence on its border with Mexico to curb illegal immigrants. But Mexico like Kenya does not see this.
Another point the detractors put forth is that Tanzania is afraid of Kenya’s vibrant economy. Let us face it. No African country can take pride when its economy run by corrupt officials in conjunction with foreigners. Who owns Kenya’s economy? Does the guy living in Kibera or Mathare associate himself with it? How can this “vibrant” economy become meaningful if the rulers do not even want to pay tax?
The economy that does not serve the majority of the citizenry is as good as nothing. So instead of fearing each other, we need to put our houses in order so as to integrate our people who, in essence, have no obstacle to this integration and they are always ready.
Another oft-ignored fact is that not all East African countries are under democratic rule. In Rwanda and Uganda, there are autocratic regimes- not to mention rebels fighting them and Kenya’s tribal animosity. So shall this be ignored, peaceful countries like Tanzania will nary blindly consent to this suttee. This is a challenge to other countries to cleanse their messes so as to forge ahead.
Anybody doubting Tanzania’s commitment to the integration must go back to history which is a good judge. Shortly before attaining independence in 1961, Tanzania wanted to delay its autonomy until all colonies in East Africa were ready for the same status. What exemplary pan-African love and spirit! Tanzania still remembers the loss suffered from the 1977 debacle of the first East African Community as a result of megalomaniac rule in Kenya and Uganda spearheaded by Kenya’s former AG, Charles Njonjo.
We must face all these realities before complaining or giving in. My belief is strong that East African countries will unite. But this should go tete a tete with putting our houses in order. If our rulers truly mean unification, let them form one country with everything instead of looking at their presidency. Failure to this Tanzania has all reasons to worry and curtail the integration. Shall we fairly and diligently treat ourselves; we’d dwell on our strength in lieu of weakness and egoism.
By Nkwazi Mhango
Mhango is a Tanzanian living in Canada. He is a Journalist, Teacher, Human Rights activist and member of the Writers' Association of New Foundland and Labrador (WANL)
sijaelewa ,anaeyelalamika ni samaki(kaonewa?) ama vipi.wadau msaada tutani
ReplyDeleteJe hao samaki kweli wanafikishwa sokoni kwa wateja, au wanarudishwa majini kabla hawajafa. Isije ikawa tunaoneshwa kwamba haya maji nikweli yana samaki wakubwa lakini hatuwezi kuwavua.
ReplyDeleteAnon Dec 17 4.56 naunga mkono hoja ya huyo jamaa kuhusu East Africa integration. Lakini tatizo la michuzi ni kwamba kila tukiweka hoja kama hizo anazitoa. Sijui ni kiingereza hajui au vipi, hata sielewi. Anyway, tutaangalia tu sasa
ReplyDeleteHakika KP ni mbunifu na anaifikishia jamii ujumbe yakinifu kwa njia hii ya ujumbe katika picha/katoon.
ReplyDeleteKwa mdau aliyehitaji msaada tutani, ni kwamba:
Uvuvi haram,Maana yake ni kutumia nyenzo za nguvu kuliko kiasi mfano BARUTI, NA BOTI KUBWA KAMA HIYO(MV JK)katika kuwavua samaki wadogo ambao wangeweza kuvuliwa kwa ndoano tu, yaani maana yake ni kwamba Samaki wakubwa ama MIPAPA ambayo inastahili kuvuliwa na nyenzo km hizo haivuliwi na badala yake inakuwa ni danga toto tu ya kutumia nyenzo kuubwa lakini wanavuliwa dagaa tu,nadhani wadau tupo pamoja...HEKO NA HONGERA KP......
Mzee wa `vijisenti` Chenge aibuka
ReplyDelete2008-12-17 13:43:56
Na Mwandishi Wetu
Baada ya kimya kirefu, uvumi mwingine kuhusu mwanasiasa na mwanasheria mkongwe, Waziri wa zamani wa Miundombinu, Andrew Chenge, umevumishwa, safari hii akihusishwa na kuzorota kwa afya yake.
Uvumi unaokaribiana na huo pia uliwahi kuvumishwa juu yake kwamba alikuwa amepatwa na jambo baya katikati ya mwaka huu, lakini mwenyewe aliibuka na kuwataka watu waache kumchuria.
Kadhalika, Chenge maarufu kwa jina la Mzee wa Vijisenti, alizushiwa kuonekana katika kamera za Bunge saa za usiku akiwa na ofisa wa taasisi hiyo ya kutunga sheria wakimwaga kitu kama unga, lakini baadaye aliibuka na kukanusha vikali kufika katika jengo hilo saa hizo.
Uvumi ukiwa umetulia kwa muda, juzi na jana, habari zilienea kama moto wa nyika kwamba alikuwa ameugua ghafla na kwamba alikuwa amekimbizwa katika moja ya hospitali za jijini Dar es Salaam ambako alilazwa kwa matibabu.
Chenge mwenyewe jana aliibuka na kusema kuwa yu ni mzima wa afya, licha ya uvumi huo, na kuonya watu wanaomchuria.
Habari hizo zilidai kuwa Chenge alianguka juzi baada ya kuzidiwa na homa na alikimbizwa katika hospitali mojawapo kati ya Aga Khan na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zote za jijini.
Hata hivyo, waandishi wa Nipashe waliokuwa wakifuatilia uhakika wa habari hiyo, walitembelea hospitali hizo na baada ya kuangalia katika vitabu vinavyotumika kuorodhesha majina ya wagonjwa wanaopokelewa hospitalini kwa matibabu na wodi wanazolazwa, jina la Chenge halikuwemo.
Nipashe ilipowasiliana naye kwa njia ya simu yake ya mkononi jana alasiri, Chenge alisema yupo mjini Dodoma akihudhuria kikao. Hata hivyo, hakusema ni kikao gani.
Alipoulizwa kuhusu uvumi wa kuumwa kwake, Chenge alisema huku sauti yake ikisikika kwa ukali: ``Naomba waandishi wa habari tuheshimiane.
Mmeshaanza kuzusha tena mambo ili muuze magazeti yenu...mimi nipo Dodoma mzima wa afya na ninahudhuria kikao, sasa habari za kuumwa mmezipata wapi?``
Aliendelea kuhoji kwa nini aulizwe yeye badala ya kuulizwa watu waliozua habari hizo.
Chenge ambaye ni Mbunge wa Bariadi Mashariki (CCM), alilazimika kujiuzulu wadhifa wake Aprili mwaka huu, kufuatia tuhuma za kukutwa na dola za milioni moja za Marekani, (sawa na Sh. bilioni 1.2) katika akaunti yake iliyopo katika benki moja katika kisiwa cha New Jersey, Uingereza.
Tuhuma hizo zinachunguzwa na taasisi moja ya upelelezi wa makosa makubwa ya jinai (SFO) ya nchini Uingereza.
Chenge amekanusha mara kadhaa kuhusika na kashfa yoyote katika ununuzi wa rada hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere akitokea ziara ya nje alikokuwa amefuatana na Rais Jakaya Kikwete, Chenge alisema habari zilizokuwa zimeandikwa na magazeti ya Tanzania zikinukuu gazeti la The Guardian la Uingereza zikimlengesha kwenye kashfa ya rushwa ya rada si za kweli.
Alisema kwamba suala la kumiliki fedha hizo alizoziita vijisenti, linapaswa kusubiri kwanza uchunguzi ukamilike ili ithibitike kama kweli zilipatikana kwa njia isiyo halali.
Chenge alikataa kujiuzulu, lakini muda mfupi baadaye aliamua kujiuzulu ili kuruhusu uchunguzi huru ufanyike na ukweli ubainike.
Makachero wa SFO wanaendesha uchunguzi wa uuzaji wa rada uliofanywa na Shirika la Uingereza la BAE System linalouza vifaa vya kijeshi, kutokana na kuhisiwa kwamba ulizingiriwa na wingu la rushwa kutokana na bei yake kuwa ya juu sana.
Rada hiyo iliyonuniwa na serikali ya Tanzania mwaka 2002 kwa pauni za Uingereza milioni 28 (karibu Sh bilioni 70) inaelezwa kuwa ghali na kwamba ilizingirwa na wingu la rushwa, wakati huo Chenge alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Tayari dalali wa rada hiyo, Shailesh Vithlani, amekwisha kufunguliwa mashitaka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mashitaka yaliyosomwa bila ya mwenyewe kuwapo. Anasakwa na polisi ili aje kujibu mashitaka yake.