Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kp unagusa mtima wangu unapoonyesha huo mwenge juu mlima kilimanjaro alooo, namkumbuka huyu baba kwenye picha jinsi alivyoupanda mlima huo ingawa nilikuwa sijazaliwa mimi nikiiona ile picha mzee nyirenda yuko juu pale mwili wangu hunisisimka kwa hamasa. na maneno yake alipokuwa aliyokuwa anayajibu akihojiwa wakati yu mgojwa kitandani na kutoa wito kwa VIJANA WAJITOLEE NA WAWE WAVUMILIVU NA WAAMINIFU looo ni maneno mazuri ya hazina kwa vizazi vijavyo.
    Mungu ibariki TANZANIA na viongozi wake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...