
Katika onesho hilo mwanamuziki huyo atakutana na kizazi kingine kipya kabisa katika muziki wa kikongo Fally Ipupa ambaye anaonekana kukubalika sana kwa sasa katika ulimwengu wa ndombolo.
Aidha katika onesho hilo litakalokuwa la aina yake kiingilio kimepangwa kuwa ni shilingi 25,000/= kwa kichwa.
Duh! Huyu mama hazeeki tu?
ReplyDeleteWhat a brilliant gig gonna be!
ReplyDeleteNg'ombe hazeeki maini!! Anaonekana kijba lakini si unajua tena. Bado wamo!!
ReplyDeleteJamani hicho kiingilio cha 25,000=!!!!!!!!!!! Sijui, anyway watu wanapesa maana nikisema wadau mtasema nimeishiwa.
ReplyDeleteaisee huyu mama hana hata mikunjo usoni mimi nimeanza kumsikia long tym na bado analipa u wud think shes 25 big up mbilia bel hiyo diet sio mchezo unayoitumia
ReplyDeleteDada hachuji huyu! bado yuko fresh ka waridi.
ReplyDeleteAnanikumbusha sana miaka ya 83 mpaka 86 ambapo alikuwa anawika.
Tazama kiuno chake , wala hakina kitambi, walah naweka dau!!!!
Hivi yule mwenzake yani Tabu ley yuko wapi siku hizi?Bado yuko hai?
ReplyDeleteMdau Mchamba wima
Zanzibar
remember this?
ReplyDeletehttp://uk.youtube.com/watch?v=TlmNF5nc54w&feature=channel_page
Tabu Ley alikuwa MAREKANI sijuwi kama bado yuko huko, huyu dada ni moto wa kuotea mbali nendeni mkajione mauno ya nguvu, angalieni katika YOU TUBE muone nyimbo zake safi, just type her name and click you will see all her old songs, hata ukitumia google.com itakupeleka kwa YOU TUBE, ujione mambo
ReplyDeletehii picha ni ya zamani sana,hachuji?kwani yeye nani?
ReplyDeleteNdugu wa saa 3:04, usijiskie vibaya kama ni demu, Mbilia ni MUZURI nawe wajua hivyo.Kama una picha yake recent tafadhali tumia blogu hii tumuone huyu dada , ananizingua saana.
ReplyDeleteJamani eeh huyu Fally Ipupa naye katua au changa la macho? Tunataka kumuona muzee ya bolingo ya ukweli.
ReplyDelete