Mwanamuziki mkongwe toka nchini kongo Mbilia Bel anatarajiwa kutua leo jijini dar na skwadi lake zima kwa ajili ya makamuzi makubwa yatakayofanyika wikend hii katika ukumbi wa New World Cinema-Mwenge.

Katika onesho hilo mwanamuziki huyo atakutana na kizazi kingine kipya kabisa katika muziki wa kikongo Fally Ipupa ambaye anaonekana kukubalika sana kwa sasa katika ulimwengu wa ndombolo.

Aidha katika onesho hilo litakalokuwa la aina yake kiingilio kimepangwa kuwa ni shilingi 25,000/= kwa kichwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Duh! Huyu mama hazeeki tu?

    ReplyDelete
  2. What a brilliant gig gonna be!

    ReplyDelete
  3. Ng'ombe hazeeki maini!! Anaonekana kijba lakini si unajua tena. Bado wamo!!

    ReplyDelete
  4. Jamani hicho kiingilio cha 25,000=!!!!!!!!!!! Sijui, anyway watu wanapesa maana nikisema wadau mtasema nimeishiwa.

    ReplyDelete
  5. aisee huyu mama hana hata mikunjo usoni mimi nimeanza kumsikia long tym na bado analipa u wud think shes 25 big up mbilia bel hiyo diet sio mchezo unayoitumia

    ReplyDelete
  6. Dada hachuji huyu! bado yuko fresh ka waridi.
    Ananikumbusha sana miaka ya 83 mpaka 86 ambapo alikuwa anawika.
    Tazama kiuno chake , wala hakina kitambi, walah naweka dau!!!!

    ReplyDelete
  7. Hivi yule mwenzake yani Tabu ley yuko wapi siku hizi?Bado yuko hai?
    Mdau Mchamba wima
    Zanzibar

    ReplyDelete
  8. remember this?
    http://uk.youtube.com/watch?v=TlmNF5nc54w&feature=channel_page

    ReplyDelete
  9. Tabu Ley alikuwa MAREKANI sijuwi kama bado yuko huko, huyu dada ni moto wa kuotea mbali nendeni mkajione mauno ya nguvu, angalieni katika YOU TUBE muone nyimbo zake safi, just type her name and click you will see all her old songs, hata ukitumia google.com itakupeleka kwa YOU TUBE, ujione mambo

    ReplyDelete
  10. hii picha ni ya zamani sana,hachuji?kwani yeye nani?

    ReplyDelete
  11. Ndugu wa saa 3:04, usijiskie vibaya kama ni demu, Mbilia ni MUZURI nawe wajua hivyo.Kama una picha yake recent tafadhali tumia blogu hii tumuone huyu dada , ananizingua saana.

    ReplyDelete
  12. Jamani eeh huyu Fally Ipupa naye katua au changa la macho? Tunataka kumuona muzee ya bolingo ya ukweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...