Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akimchapa nondozzz ya Uzamili ya Afya (Master of public Health) mdau Kamaka Kassim wikiendi ilopita kwenye mahafali ya Chuo Kikuu cha Muhimbili University of Health and Allied sciences. Chini mdau Kamaka akiondoka na nondozzz yake huku akiangaliwa na JK na Mzee Ruksa ambaye ndiye mkuu wa hicho chuo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA NDUGU. KILA LA KHERI KATIKA MAISHA YA TAALUMA NA KAZI.

    KIBUSI

    ReplyDelete
  2. sasa kikwete alikua mgeni rasmi au?
    or presidaa au km baba apo mbele?
    hongera kijana kwa masters hio unalipa sana now ktk kazi za data

    ReplyDelete
  3. Ongera kaka ongera sanaa bado baba Abulsalam ongera from turkey

    ReplyDelete
  4. KAZI KWAKO KUTAFUTA KAZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...