mbunge wa viti maalumu wa singida mh. martha mlata akila pozi na profesa wake baada ya kula nondozzz huko ukerewe majuzi.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Sasa hii nondoz uzeeni utamsaidia nani?

    ReplyDelete
  2. We anon wa kwanza uko serious kweli?

    Si zitamsaidia yeye mwenyewe katika majukumu yake bungeni na kwenye maisha kwa ujumla.

    Naona umesahau usemi wa "Elimu haina mwisho"

    ReplyDelete
  3. tanzania tuna watu wengi wenye mawazo finyu kama huyo mtowa comments wa mwanzo na ndio maana tanzania ni vigumu kuendelea. huyu na yule aloleta comments za udini ni kundi moja na wako wengi mno, hawa ndio wanaoturudisha nyuma.

    ReplyDelete
  4. CONGRATULATIONS Hon. Martha Mlata. University of Westminster is among the best-you remind me so far I graduated there in 2002 and now I am just enjoying the fruits of that precious education. It is an unregretable qualification which will be in your head for the rest of your life and nobody can take that away from you. In fact this is the difference we Tz'ns wanna see a bunge with knoleadgeable, well educated people-hope the rest will follow suit. Good Luck and happy to see you happy, looking more enlightened. By the way you also have nice legs SHOW THEM OFF! Mrs.S

    ReplyDelete
  5. bunge halitaki wala nondo...linawataka wachapakazi...!!!'mikono inayofanya ni bora kuliko ulimu usio na mfupa'

    ReplyDelete
  6. Anony wa kwanza,Hata hapa unapoisoma blogu hii ya jamii unatumia muda wako kupata jipya hivyo unazidi kuelimika. Umechemsha bongo na ukauliza swali na sie hatuna hiyana kwani 'hakuna swali la kijinga' hiyo tutaendelea kuelimishana.

    Hivyo Anony wa kwanza endelea kujielimisha kwa njia tofauti si lazima uingie chuoni, bali endelea kusoma blogu hii ya jamii ujifunze mapya pia.

    Nadhani utaanza mwaka mpya na dhana mpya kuhusu elimu haina mwisho www.youtube.com/nyerere speech3 na nyerere speech 4.

    ReplyDelete
  7. Mheshimiwa ana mguu jamani mwe!

    ReplyDelete
  8. wadau hapo juu,msimlaumu sana huyo mpumbavu mdau hajui alijualo.ELIMU HAINA MWISHO na pia huyu dada hana uzee wowote bado yupo pina....tatizo bongo life span ni 47 years kwa hio anaonekana kama amepita umri BUT here majuu huyu dada ni KINDA na anahitajika sana kulijenga taifa letu la Queen.
    CONGRATULATION MARTHA.....first of all age is just a number.
    KEEP IT UP.
    cha chandu

    ReplyDelete
  9. Hongera Mhe Martha Mlata...baridi uliyoivumilia imelipa.

    ReplyDelete
  10. Watu wa UK utawajua tu. Wana chuki sijui kwa nini. Afadhali hawajaiona hii Picha ya Mheshimiwa, ingekuwa balaa hapa, labda Michuzi amechuja hizo comments. Wanaosha sana vinywa watu wa UK, punguzeni jamani majungu na chuki si mtaji.

    Michuzi ibanie hii comment maana ndio zako.

    ReplyDelete
  11. Yaani hata mimikaniudhi kichizi!! Halafu kwa bahati mbaya akwa mtu wa kwanza kutoa comment! Ndio uhuru wa maoni huo?!

    ReplyDelete
  12. Mheshimiwa Mama Mlata Hongera sana kwa kugratuate. Sisi tulipata nafasi ya kukufahamu huku Ukerewe tumefurahi sana kuona umepata heti chako ambacho kwa kweli ulikifanyia kazi. na licha ya kuwa na majukumu ya kitabu vilevile ulikuwa karibu sana na watu na tunakumiss ila tunakuombea kila la kheri. Kama serikali yetu ingekuwa na kina mama wengi viongozi kama wewe mtu wa kupenda watu ama kweli tungefika mbali. Hongera Mheshimiwa. Na liendeleze Libeneke ....

    ReplyDelete
  13. SASA MBONA HABARI YENYEWE NI NZURI LAKINI NUSU NUSU! KALA NONDO YA NINI/FANI GANI NA DARAJA/NGAZI GANI. HUO MGUU MWEEEEE UNANIACHA HOI MIE!!!

    ReplyDelete
  14. Mheshimiwa Martha Mlata hongera kwa nondozzz. Lakini huo mguu kweli umetuua wengi. Haya mama tunavitamani lakini ndio hivyo tena. Tutafanyaje. Fimbo ya mbali haiui nyoka.
    Mdau

    ReplyDelete
  15. Ingawa hajasema ni University gani lakini hii picha mbona inaonyesha kama ni University of East London.

    ReplyDelete
  16. Hongera Mrs Mlata kwa kuongeza elimu. I hope kwa kuongeza ujuzi wako itasaidia kuleta mabadiliko hapa nchini.

    Plus you have got nice legs. Nilipata nafasi ya kumuona pindi nilipoenda bungeni mwezi wa sita for official issues(2008). Duh mama umejaaliwa miguu.

    Hongera sana kwa elimu. Be blessed.

    ReplyDelete
  17. Mama nimekukubali unalipa sana,mwenzio,...acha tu.Malaika.................,mali sina.........,.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...