Home
Unlabelled
Miss tz UK 2007 achumbiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera binti mrembo...
ReplyDeleteChineke oooooooo!
ReplyDeleteDada umeamua kwenda west! Lol anyway ni mapenzi hayo. Ninakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa unayotarajia kuyaanza hivi karibuni. But remember you gonna marry a Nigerian you should be smart in your head.
IGWEEEEEEEEEEE!!
Bubbles.
...and smart she must be. Better keep these pages for reference...
ReplyDeleteHongera dada kwa kuchumbiwa.Ombi langu moja tu..tafadhali usimlete shemeji huku nyumbani Tanzania kwa sababu ndio kwanza tunapigana vita na mafisadi..na hao wenzetu wao ndio kama vile..you know what I mean.
ReplyDeleteHongera dada! My advice to you, be smart!!!
ReplyDeletema sista you beta start to learn how to cook jelof rice and egusi and pepe soup and you have to start eating konokono .if your in-law dey come visit in that your haus and you no feed them propa your husband will not take that nonsense oooooooooohhhhhhhhh !!!
ReplyDeletepole sana, yaani nakuonea huruma!!! huo mti unaoutegemea kuuegemea ni mpapai, ANYWAY ndio hivyo!!
ReplyDeleteHongera dada! abt kuja bongo mbona mshikaji alishakuja huku na namkumbuka huyu mshikaji! Hongereni na mmependeza !
ReplyDeletewabongo wabongo chonde chondee chondeni...hivi kumbe samaki mmoja akioza ndo wote.. kwamaana naona wote mnamshabikia awe smart... usmati gani unaotakiwa kitandani.. kama wamepemndana sidhani kama watadhalilishana.. mtakieni safari njema mwalim.
ReplyDeletebida, wacha nimtumie na huu wimbo wa urafiki wa utata usindikize .da nimekukumbuka sisteee tulikuwa wote totnham .. ulipolikwanyua taji....
http://www.eastafricantube.com/media/15636/Urafiki_wa_Utata_-_Exclusive_New_-_by_Bida/
She was miss TZ UK? Damn..No much bt Hognera kila la kheri ktk ndoa yako
ReplyDeletehongera dada ila isiwe umefuata paper kwa huyo jamaa
ReplyDeletepole yako dada
ReplyDeleteHuyo ni mpopo Glady, kwa hiyo nadhani unajua nini unafanya la sivyo hadithi itakuja simuliwa..Hongera lakini
ReplyDeleteDuh! Hao jamaa wa West! Lakini angalia steps zako tu
ReplyDeleteHongera sana Glady. Bora yako wewe umejiamulia kuwa Mnigeria na kutulia kuliko madada wetu wengi tu nawajua hapa UK wao ni kila kinachokuja ni riziki ya muda huo, yaani awe Mnigeria, Mghana, Mkongo ili mradi mkono uende kinywaji.
ReplyDeleteHongera sana kwa kuwa mfano kuwa mapenzi hayana dini, kabila, nchi au rangi.
Ila madada wengi wa Hapa UK wanawapapatikia sana Wanigeria sijui kwa nini.
Glady Katenga umefanya uwamuzi wa mana kupata mwenzio kwani sisi wengine hatuoni tafauti iliyokuwpo baina ya mbongo nyoso na mnaigeria honera dada kuwa na maisha ya furaha
ReplyDeletewanigeria oyeeeeeeeeeeeeeeee...
ReplyDeletei had boyfriend b4...trust me,huko ndiko wote tutakoishia...they are loyal,hardworking..caring....educated..mostimportant wacha mungu ukimkuta mpopoo muislam ujue ni muislam hasaa na ukimkuta mkristo ni mkristo hasa...hongera sana gladys...
ooh nimesahau hawana unafiki!hawapo kati kati...ukimkuta mnigeria decent ni decent hasa na ukimkuta mbaya ni mbaya hasa....atafanya kila aina ya ushenzi kuanzia,drugs credit cards mpk umalaya..
wapopoooo oyeeeeeeeeeeeeee!hongera gladys...
Kukusaidia usije litia taifa aibu kwenye mapishi. Kuna chuzi lao wanapika pilipili ni kali hiyo, ndio nafikiri inawafanya jamaa wanakuwaga na mdomo sana. Samaki harufu ni kali tayarisha refreshener za kutosha. Fungua madirisha inapobidi. Ni lazima uje kutengeneza fufu na pia wanapenda nyama za porini zilizokaushwa kwa chumvi na moshi darini. Kuwa makini kwani mmoja wao aliniambia ati nyama ya sokwe mtu ni tamu sana. Ni hayo tu lakini tunakutakia maisha mema.
ReplyDeleteWasichana wengi wa kitanzania wanapenda sana wanigeria kwa sababu wanigeria ni wajanja, ma-handsome, wana pesa,wamesoma, wanaendesha magari mazuri na maisha yao yako juu ukilinganisha na wanaume wa kitanzania. Siku zote wanaume wa kinigeria huwa wanagombaniwa na kila dada wa kitanzania na hii iko sehemu zote kuanzia USA mpaka UK.
ReplyDeletePOLE SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANA.
ReplyDeletema sista oo,be vere smart,becoz those brodas oo.. hmm.. especial the moda in law..u need to eat fufu now..ooo..igweeeee
ReplyDeleteHongera dada,
ReplyDeleteZamani nilikuwa nafuata hiyo poor stereotype kuhusu wanigeria kuwa ni watu wabaya na waongo. Lakini nimechunguza hawa wanigeria ndio wanaume wa maana wanajua kucare. Maana wanaume wa kitanzania siku hizi kwanza wanata kuwa wanawake interms ya kukuchuna hela na ni wavivu hawana chochote hasa huku abroad. Wanaume wa kitanzania wanauongo wa kimapenzi lakini wanigeria wanauongo kwenye kutafuta hela na wanajua kuwatreat wanawake wao vizuri ile mbaya.
BORA UMEJIPATIA JIKO NINA MARAFIKI ZANGU KIBAO AMBAO WAMEOLEWA NA WANIGERIA NA WANAKULA RAHA KUPITA HAO WALIOLEWA NA WATANZANIA WANASHINDIA KUFICHA MAKUBWA YA MABWANA ZAO KWA KUTEMBEA NA MAHOUSEGIRL NA VISICHANA VIDOGO VIDOGO. UWAAMBIE WAO NDIO WAWE SMART HAPO JUU.
Nampongeza kaka mnigeria kwa kuoa kwetu na pia nampongeza dada yetu kwa kuapata mume.
ReplyDeleteMaisha ni upendo na furaha. As long dada anafurahia maisha mimi naona poa tu.
ANON December 24, 2008 2:44 AMUMETUDHALILISHA WA TZ
eti:
"Wasichana wengi wa kitanzania wanapenda sana wanigeria kwa sababu wanigeria ni wajanja, ma-handsome, wana pesa,wamesoma, wanaendesha magari mazuri na maisha yao yako juu ukilinganisha na wanaume wa kitanzania. Siku zote wanaume wa kinigeria huwa wanagombaniwa na kila dada wa kitanzania na hii iko sehemu zote kuanzia USA mpaka UK."
wewe uliyeandika haya ni GOLD DIGGER, MATERIALISTIC & DESPERATE WOMAN LIKE A HUNGRY DOG
Hivi kuwa na sifa mbaya hapa duniani za uwizi uwizi na utapeli utapeli ndio ujanja? nikuulize swali ni mwanamke gani decent apendaye mume wake kuabishwa kila siku na tabia za ulaghai, na kugushi gushi? nafikirin ungependa mume mwenye heshima na kuheshimiwa katika jamii, sivyoo??
Hivi hapa East Africa wanaume ma-handsome wako wapi, kama sio TZ. Kuanzia Original Black beauty skin mpak light skin wapo hapa hapa Tanzania. Au Tuanzishe website ya Tanzania Male singles, ucheki ma-handsome mpaka ujikojoleee???!!!!
Kuhusu shule, nadhani wewe unazungumzia Tanganyika ya 1947,na Hii ni TZ mpya. Mbona unaongea kama Gitau Warigi, yule mwandishi Mkenya??? Tz ya sasa ina wasomi wengi sana. Hao wabeba maboksi wachache waliopo UK na US wafanyao DONKEY JOBS, hawatuwakilishi ki elimu watanzania wote. Sorry my brothers & sisters, watu wengine wanaudhi, inabidi tuongee kiukali kidogo.
Kuendesha Gari zuri sio kigezo cha mafanikio. Hata kama amenunua cash money, mkopo, au kakodisha sehemu. Hainibabaishi. Mimi nawajua wanigeria!! kwa misifa ndio wenyewe, huwa wanakodi magari kwenye car rentals, magari ya kifahari na kwenda nayo club au kwenye mapati. Sasa wakikutana na mtu kama wewe anon, unachanganyikiwa kabisa na kuwazimikia. Unafikiri jamaa mambo saaafi. Pole sana. Inaonyesha uwezo wako wa kuchambua vitu ni mdogo sana.
Ushauri,hatuoi au kuolewa kufuata Pesa na mali. Mara zote watu wakifanya hivi, ndoa huwa chungu badala ya raha.
Na kama unabisha mjadala uko wazi
mbona zomment zimebaniwa,we michuzi acha ushamba,unaungua na jua wanaigeria huwajui,utawapatia wapi bongo..ACHA MTU APEWE USHAURI.mi ndio maana i dont stop here that often,unafukuza watu michuzi,kua kama blogs zingine.na hii ibanie basi,zawadi yako ya xmas..mxi
ReplyDeletehivi watu mnaolewa kwa ajili ya hela au mapenzi?nigerians can donk..am gn marry a nigerian..all nigggght loooongggggggg
ReplyDeleteAno. December 24, 2008 9:07 AM,
ReplyDeleteI am feelin' u buddy that's very true siongezi wala sipunguzi waulize tufungue web... ya singles?? Damn atajik*** huyo
Londoner
Akila raha bongo (NYC ya East Africa) likizo tyme -:))))
glady mamy hongera na mungu atakutangulia kwenye ndoa yako dont be afraid hakuna kinachoshindikana and am so happy for you u guys u made it keep it up
ReplyDeleteNAKUPA HONGERA WEWE WA December 24, 2008 9:07 AM- UMETUMIA LUGHA KALI LAKINI NIMEKUELEWA VIZURI,UNAJUA DADA ZETU WENGI BADO KIZA KINENE,WEWE HUKUMBUKI ZAMANI BONGO ILIKUWA NDIO UJANJA KWA DADA ZETU KUCHUKULIWA NA WA ZAIRE? BASI HUKO UK NA US USHAMBA HUO BADO WANAO,HAO WAPOPO BASI KAMA NI ELIMU WENGI SHULE HAKUNA MI NISHAKUTANA NA ASILIMIA 90% NI MAMBUMBU TU UJANJA WAO NI HUO WIZI WIZI NA UTAPELI KILA LEO WANATOLEWA NISHAI KILA SIKU. ZIKO PROGRAM ZA TV HUWA WANAONYESHWA HUO WIZI WAO AMBAO WAO WANAUITA 419,UMEPITWA NA WAKATI.NDIO HAO KILA LEO UKIFUNGUA MAIL UTAONA WANAKUTUMIA OOO MIMI MTOTO WA MOBUTU,MI MENEJA WA BANK OOOH UMESHINDA LOTTO,,OOOH NINA CASH NYINGI NATAFUTA KUWEKEZA,NA UPUUZI KIBAO,SASA HUYO DADA ANAESEMA ETI HUO NI UJANJA NAOMBA AENDE SHULE KIDOGO MANAKE INAONEKANA NAE SHULE IMEKATAA KIAINA.
ReplyDeletehahahaha!,mi nicheke kidogo!,wa nigeria decent!!,hahaha!, duu, sijawahi kuona tapeli ambaye ni decent,hiyo kali!, well hii siyo stereotype jamani kuhusu wapopo!,they are well known duniani kwa utapeli na corruption,Kwa hiyo siyo kwama wansingiziwa maana kuna aki dada humu wananona kama hao wapopo wansingiziwa, lakini you can judge all the same at the same time ,cha msingi tu ni kuwa makini unapodili na mnigeria,which siyo ushauri mbaya kwa huyo dadaand it doesnt mean kwamba jamaa yake tapeli au la!,na kuhusu wanaume wa east africa puleeeze!!!!!!! huwezi ku compare mpopo na mbongo kwa uzuri au most of them they are UGLY!!,Well quote me right i said MOST OF THEM and NOT ALL OF THEM!,MU WEST NI MU-WEST TUUU!!!
ReplyDeleteSuala la ujanja wa kuiba i dont think ni sifa nzuri kama dada mmoja alivyokuwa akiwasifia hapo juu!,na unajua kwamba the end of story ya 'Maisha mazuri' ya wizi na hella nyingi ni nini?, ni kuingiliwa na FEDS au polisi na kuishia jela ,alwayz they end end be!,thats a moral of a story my sisters!! kama unapenda hiyo life thats fine.
Wanaume wa kitanzania mkiambiwa ukweli mnakasirika lakini ukweli ndio huo wanaume wa kinigeria wako juu kuliko wanaume wa kitanzania, niko tayari nichukuliwe hata na babu kizee wa kinigeria kuliko kuchukuliwa na mtanzania, wanigeria ni mahandsome,wana pesa, wanaendesha magari mazuri na maisha yao mazuri na wanajua kupenda.
ReplyDeleteNa ni kweli kila dada wa kitanzania anaomba usiku na mchana apate bwana wa kinigeria na hata wale ambao wameolewa na watanzania lazima pembeni wawe na wanigeria na ndio wanaowapa mapenzi ya kweli, huu ni ukweli kuanzia USA mpaka UK.
KWANZA HONGERA GLADY.....NA PILi WANaUME WA TANZANIA NI WAZEMBE COMPARED NA NIGERIA...HAWAWATHAMINI WANWAKE AND WANAPENDA KULELEWA ,HAWA PAMOJA NA WIZI AU SIFA YA UTAPELI KWA MAmBO YA UHUSIANO WAKO honest . na mjue kwamba kwa kila upande sio wnaume wote wako hivo so kuna exceptions!!! ila i hav learned wanaume wa tanzania ni mwishoo,na its only getting worse huku ughaibuni afadhali BONGO.
ReplyDeleteDUU!,HIYO KALI DADA WA HAPO JUU(ANON 7;18 DEC 24)....WELL I DONT BELIEVE KAMA HATA MADADA WALIOLEWA WNAKUWA NA WANAUME WA KI-NIGERIA PEMBENI KWA AJILI YA MAPENZI , THEN,WHATS UR VIEWS KUHUSU WANAWAKE WA KIBONGO?(NOT FAITHFUL)WHICH I DONT THINK SO, JUST SPEAK FOR URSELF,USIWAWEKE WANAWAKE WOTE WA KIBONGO KAMA WAKO HIVYO MACHO JUU KWA WA WEST KAMA TAMAA ZAKO NA ZIKI NA UPEO MDOGO KIMAWAZO NDIO UNAONA NI BORA U CHEAT KWA WA WEST THATS YOU, NA KWANZA HAO WA WEST UNAOWASEMA WANGEKUWA NA MAISHA BORA WANGEKUWA MATAPELI?,NEGRO PLEASE!,SINCE WHEN ULISHAONA TAPELI AKAWA NA STRONG FOUNDATIONS AND STEADY LIVING? THAN SHADY LIFE!
ReplyDeleteHongera kwa kupata mwenza. Wewe funga masikio na omba Mungu akuengezee neema na ndo yenu iwe na baraka that is all you want my dear.
ReplyDeleteMimi ni msichana na ninaishi USA na huyo anayesema ati wanawake wanagombania wanigeria sijui ametoa wapi huo uongo wake.
Yaani ina maana nao wanagombania wanawake wa kitanzania? Ina maana yupo mnigeria mmoja tu. Hapa ninapoishi, kanisani, kazini wapo wengi tu. Na hata kuna grocery store yao na night club yao. Ninajua wabongo watatu wa kiume tu hapa hivyo chance ya mimi kuishia nayo ni kubwa tu. Sijui mtaniita na mimi nagombania Mnigeria. Thanks God my long distance relationship is still kicking isingekua hivyo hata mimi ningekua na mmoja wao.
Kama mtu yupo anajiheshimu na mna pendana sioni kuwa hiyo ni kugombania au kuwa selective.
Juzi kwenye TV niliona show moja inasema kati ya wahamiajia wote hapa USA wanigeria ndio wanaongoza kwa elimu 75% wana elimu ya degree and up. Ila at the same time wanaongoza kwa utapeli na kudeportiwa. Hivyo ujue kuwa wako wengine wanaojiheshimu na wanamaisha yao mazuri tu na kuna wengine ni macrook tu. Kama una mkono mzuri utaengua mzuri na kama wewe ni gold digger 100% utaengua tapeli. Manake hata wao hawapendi mtu ambaye hayasoma na wazazi wao cha kwanza ni kuangalia elimu yako na maisha yako unayapangilia vipi. Sasa ukiona Mnigeria nafuata msichana asiye na mbele wala nyuma basi ujue naye ni kama huyo msichana tu.
The only thing I can't stand them ni kujisifia, maringo na kujiona kuwa wako juu kuliko mtu yeyote aliyetoka Africa. I always hear them saying "I am from the best country in Africa" agggggrrrrrrr Ila ukienda kwenye party zao ndio utajua hata wakiwa wenyewe pamoja wanatambiana sana tu. Na kila anayethrow a party lazima afanye the best one la sivyo atasemwa kama nini.
Ila hata wao wanasema stay away from IBO tribe na wazuri ni wa kabila la Yoruba
Wabongo bwana Demu wa watu mmemshikia bango....wachina wana msemo kwamba Paka ni paka bila kujali tofauti kati yao ili mradi anaweza kukamata panya......kwahiyo dada kachunguza na kuona huyu ndiye anayemfaha.
ReplyDeleteLakini bwana MPOPO NI MPOPO(Nago du ...na Tanzanian girl- self nago marry her, nago see....) du hao watu sikilizia mbali tu nyie watu hamuwajuhi wanageria wao bwana wana focuse life mambo ya kwetu ya kuoa mke ukaoa ukoo kwa mapopo hayo hakuna kwahiyo dada jihandae...
But i appreciate this people because they can struggle na hawana unafiki kama sisi wabongo kama Mhibo atamsaidia Mhibo mwezake hawana mambo yakibongo mzee,mzee kumbe watu wanakuchomea...halafu wako proud as national mnageria lazima atakueleza wacheza mpira na mastar wao wote..(ma man you know Kanu ...na nageria ma man...) siyo sisi mtu akifanikiwa wivu unaanza,mambo ya kiswahili humo humo ndiyo maana wakina dada zetu wanaamua kujilipua kwa mapopo ...halafu hao watu wako smart sana for dressing (WE ARE GIANT OF AFRICA )siyo sie wabongo kuishia kwenye za leo leo...
Kuhusu Hand some siyo kweli kwamba wanageria wako bora kulikoni sisi sema wao ni watu tough (warefu ,wana miili mikubwa-giant if you compare with my people Tanzanian) kwasura bwana wabongo tume ila kuji keep hatujuhi ndiyo maana tunaonekana wachovu.
Dada salamu zao Abuja...
Mdau wa Kamachumu.
wewe anony wa 7.18pm speak for yourself!! nipo UK muda mrefu na sijawahi kuwaza kuwa na mwanaume wa kinigeria and never will I.wewe kama unawapapatikia wapopo kimpango wako lakini usijifanye ku include every woman in the US and UK.my advice to you is: always speak for yourself or else get a life!!!
ReplyDeleteHONGERA GLADY HATA WASEME NINI WANAIGERIA NDO WENYEWE WANAJALI WANATHAMINI WANAWAKE WANAPENDA MAENDELEO WANAJIPENDA WANAJUA KUVAA NA SIKWAMBA KILA MNIGERIA NI TAPELI SI KWELI WANAJUHUDI YA KAZI WANGU NINA MIAKA MINGI HANA MAMBO YA UTATELI NAMJUA A TO Z.WANAUME WETU LOH SINA HAMU WANAPENDA UZINZI HEBU FIKIRIA WANIGERIA WAPO MILIONI 139 ASILIMIA YA WATU WENYE HIV IPO NDOGO KULINGANA NA SISI TUPO MILIONI 38 LAKINI ASILIMIA YA WATU WENYE HIV NI KUBWA KUSHINDA MIMI NAAMINI NINGEKUWA MIONGONI MWA WATU WENYE HIV COZ WANAUME WANGU WA KTZ KUTWA KUGOMBANA KUHUSU WANAWAKE UNAOGOPA HATA KUWEKA MSICHANA WA KAZI MAMBO GANI HAYO !!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletehongera dada i real like nigerian guys
ReplyDeleteMimi sitaki kuosha kinywa lakini nataka kusema machache tuuu, tena kiduchu.
ReplyDeleteMbona hata Tz kuna wavulana mahandsome kibao?
Hamuoni hata hio picha kwamba dada Glady amemfunika kabisa huyo mpopo wa watu? kweli ukipenda chongo utaita kengeza lakini sioni uzuri wowote kwa huyo mwanaume.
Namie nasema wanawake wengi wa Tanzania bara sio wazuri wa sura warembo wengi ni Zanzibar.
ReplyDeleteHuu ni upuuzii eti wanaume wa kipopo ndio majabali, nyie wanawake mnaosema hivyo kumbukeni baba zenu, na babu zenu waliowaleta sio wapopo. Kama umepigwa chini na mbongo, bite the bullet and move on. Acheni kukandia kandia mbona sisi hatuwalinganisha na wanawake wengine watamu tu kama "black americans".
Mdau, USA
The land of free, braves and Obama.
Wewe michuzi mbona unabana comment zangu kama mwaka sasa kila nikitoa coment unabana kwa nini?
ReplyDeletesasa huyo dada kapotea kama huyo mshikaji wake ni muibo! maana mimi nawajua kinoma hao jamaa mimi asia na naishinao kama miaka mitano hivi makabila mengine yapo poa lakini mu ibo don't play with him,nina mifano kama minne kuhusu mademu walioolewa na wapopo na mwisho wao ulivo kuwa.
Mmoja alikuwa ni demu wa kibongo alitoka nae yule mpopo toka bongo na alikuwa anatumia mkoba wa kibongo huyo mpopo walipo fika hapa wakapata kazi wakakichanga sana tu sasa kumbe hela zote walizosev zilikuwa zinakaa na yule mpopo, siku dem kaingia shift ya nait jamaa akafungasha virago na ule mshiko pamoja na pasipot ya dem akatimua, cha kushangaza yule mpopo akakimbilia bongo akamuacha hapa dem hana hata shilingi kumi na pass hana,
kuna mpopo mwingine alikuwa hapa akapata dem kwenye net huko malaysia ikafika siku ya siku wakaoana basi yule dem akamcukua yule mpopo mpaka malaysia alipo fika kule akazaa na dem na akapata mkoba wa kimaleshia kumbe wakati huohuo akawa anachati na dem mwengine kampata huko usa basi yule dem wa usa akamtumia mualiko akaenda usa alipo fika kule akamuoa yule wa usa sasa hivi jamaa yule jeshi la marekani baada ya hapo akapangiwa hapa asia akarudi tena hapa asia nilipo ndo akanipa mchezo alivo ufanya, na dem wa malays ndo hivo tena kabaki kujilaumu na wazazi wa dem walimkataza kabisa kuolewa na mshikaji.
na hapa nilipo jela za hawa jamaa kidogo zipo tofauti na sehem zingine wazawa hawachanganywi na wageni ukitaka kujua hawa jamaa ni noma watuweusi walioko jela hapa ni wapopo tu,na wapo kibao.
Ila madem wa kibongo akiwa hawana kama kuna mmoja hapo juu maana anaongea upuuzi tu hivi anawajua walivo kuwa waongo hawajamaa, kwa degree zao nyingi ni za mazabe,na kila mmoja atakwambia kwao kaacha nyumba ya gorofa tano, na ukimuuliza kwenu unaenda lini utasikia wakisema my broda na time will tell,
Kingine kama kwao ni njema mbona wao ndo wanaongoza kwa kuwa kwenye nchi za watu ina maana maisha ya huko kwao ni noma ndo maana wanakimbia, ninayomengi ya kusema kushusu hawa jamaa lakini basi kuna demu mmoja hapo juu kanichefua sana.
Dada zetu ni tamaa tu zimewajaa. Mfano wa haraka hata tulipokuwa sekondari na kwenye vyuo hamchukuliwi na wenzenu. Ni bora kwenda mtaani hata kama ni wahuni ili mradi wanaweza kuwa support. Ilikuwa ni lazima uwe popular kubahatisha relationship kama ni mwanaume. Na hapo ni lazima mtaani atakuwa na kitu wanachoita BUZI wa kumpatia mahitaji. Kwahiyo hakuna la ajabu hii trend itaendelea hata katika life wanigeria wana hela zaidi.
ReplyDeleteIkumbukwe wawest wengi hata Kenya generation unayoiona ni second or third wakati Tanzania ni first. Hapa nina maana wakati Taifa likiwa kwenye ujamaa no passport no kusafiri nje wenzetu walishaanza kuja miaka ya zamani sana. Maisha za zamani yalikuwa ni mazuri wazazi wao walishakuja siku nyingi wakaweza ku-settle kuwa na visomo, ajira na biashara zinazoeleweka. Watoto wao wanazaliwa citizens. Retired nigerians professors, lawyers, dentists kibao ughaibuni. So watoto wao na ndugu zao watakuwa na misaada na nafasi nzuri.
Wabongo wengi ndio kwanza tumefika mpaka uje ukamilike na vibali vya kazi ujisomeshe bado kuna ndugu wanakutegemea ni kibarua kigumu, Inahitaji kuvumiliana. Nina imani kuna wanaume wengi tu wakitanzania if given chance in love wanauwezo wa kufanya vizuri. La muhimu hapa ni kwenda kwa right men na siyo kupenda mtu kwasababu ya jina and popularity.
Wanaume wa kitanzania mkiambiwa ukweli mnakasirika lakini ukweli ndio huo wanaume wa kinigeria wako juu kuliko wanaume wa kitanzania, niko tayari nichukuliwe hata na babu kizee wa kinigeria kuliko kuchukuliwa na mtanzania, wanigeria ni mahandsome,wana pesa, wanaendesha magari mazuri na maisha yao mazuri na wanajua kupenda.
ReplyDeleteNa ni kweli kila dada wa kitanzania anaomba usiku na mchana apate bwana wa kinigeria na hata wale ambao wameolewa na watanzania lazima pembeni wawe na wanigeria na ndio wanaowapa mapenzi ya kweli, huu ni ukweli kuanzia USA mpaka UK.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
Wewe ndiyo umefilisika kweli kimawazo!!!! Sijui umetumia vigezo gani ili kuconclude kwamba Wanigeria wako juu kuliko wanaume wa Kitanzania. Hivi unajua kama wao wanaongoza kwa kuwa na degree za uwongo? Hivi unajua kama wao ni matapeli wa hali ya juu kuliko wahamiaji kutoka nchi yoyote duniani? Watanzania hawajui kupenda? unaweza kufafanua!!!?
Wanakupenda au wanakutapeli tu!!!!?
Unajua hayo magari mazuri wanayoendesha wameyapata kwa njia zipi!?
Jisemee peke yako wewe bado kuna wanawake wengi wa Kitanzania wameolewa na wanapata mapenzi ya kweli kutoka kwa Watanzania, labda wewe una kasoro zako ambazo wabongo wameshazistukia na kuamua kukutema. Na sijui hata kama unajua mapenzi ni kitu gani.
Usishangae kufikishwa mahakamani kwa kuficha mali ya wizi aliyoiba huyo Mnigeria wako.
Duh! Mimi niko US na mai waifu wangu na watoto. Napiga kazi kishikaji na vitu vidogo ninavyohitaji ninavyo. Nimesikitishwa na mawe ambayo Dada zetu wamerusha humu ndani kuhusu wanaume wakiTZ. Kwa kweli utadhani Baba zao na kaka zao si waTZ!! Dada zetu acheni kubabaika na vitu vidogo...Ooh wana magari mbona mimi ninagari nzuri tu lakini wala sina pesa hivyo? tafuta mchapa kazi, mvumilivu na mwenye upendo wa kweli, magari na other material things mtatafuta wote taratibu. Na huyo kijana kwanza mbona amekaa kama mtoto si rizki?
ReplyDeleteWanaume wa kibongo tuko poa ila wengi kati yetu inabidi kujifunza kupitia pitia Uvinza... Kina dada wakisema hatujui kupenda ndiyo hayo mambo wanayomaanisha au nakosea?
ReplyDeleteHa ha ha eti Wanigeria ni handsome kuliko Watanzania!!! Ukistaajabu ya Mussa...
ReplyDeleteWanaume wakibongo Oyee, wacha tujifagilie wenyewe wala hakuna haya ya kusononeka na maneno ya huyu mkosaji.
http://www.jamiiforums.com/international-forum/22241-cheki-mnigeria-akitishiwa-kurudishwa-kwao.html
Kupitia pitia uvinza siyo. Inawezekana ni tatizo ila kwa baadhi ta watanzania wenye ujuzi wao mbadala hilo si tatizo -- muulize yeyote aliyewahi kusikia "kagitech" aka "Kagera Tech". Well, well, ni ni mkono wako na kiungp kikuu husika si lazima kiungo cha kwa "mudomo"
ReplyDeletegorgeous couple! I really like the guy. mn,usa
ReplyDeleteAnon wa dec 24 7:18pm
ReplyDeleteNakunuu "niko tayari nichukuliwe hata na babu kizee wa kinigeria kuliko kuchukuliwa na mtanzania"
Kuishi kwingi ni kuona mengi. Baada ya muda utaona tena ni bora kuchukuliwa na babu kizee wa kizungu kuliko mnigeria. Haitaishia hapo utaona tena ni bora kuchukuliwa na mwanamke mwenzako kuliko mwanaume yoyote yule. Halafu utaona tena ni bora kukaa single kuliko kuwa na relationship na mtu yoyote. Na complete 360 itakamilika wakati watoto wako uliozaa na mnigeria watakapo oa/olewa na mtanzania. Halafu utamchukia mkwe wako maanake hayuko katika standard zako lakini utaishia tu kufa na pressure.
SHUMIZI??tobaaa! hahaha@ duh kwlei kaka kanumba sura siku izi imependeza vichuping vimeisha kabisa hongera sana u look so mwah! na ulipendeza bwana wabongo acheni kuponda ivi mnajua joto la bongo nyie?mko marekani kazi kupayuka kwa raarifa yenu bongo kuna joto sana ndo mana wanaume wanatinga vishumizi.
ReplyDeletemichuzi kaka yangu freedom of speech ndio maana inaitwa blog . kwanini huposti comment zetu . wewe watu wanakufa na kufungwa na wanigeria sio utani nakwambia . watu wamepoteza maisha haya
ReplyDeletekaka michuzi mimi nina boyfriend wangu mnigeria na ananitimizia haja zangu na ananipenda sana na sio tapeli mtaftaji. nimejitahidi na watz nimeshidwa wanaume wa kitz msiwe na wivu kubalini ushidnani mfanye juhudi na nyie. wapopo oyeee!
ReplyDeleteMboni Mohamed Mhita.(mdau in masaki bongo)
MTOA MAONI 25,2008 11:19 PM
ReplyDeleteKWANI NI BIG DEAL MTU KURUDISHWA,KUNA MTU ANAPENDA KUAA AFRIKA KATIKA MAISHA YA KUBABAISHA NDO MAANA WA TZ HATUENDELEI WENZETU WAKIRUDISHWA WANAFANYA JUU NCHINI KUMSAIDIA MTU ANAYERUDISHA NA SI KAMA SISI UNAMCHEKA MTU ANAYERUDISHWA NA KUMFANYIA MAJUNGU,NA KUNA WA TZ WANGEPENDA KUENDA NJE KWA NJIA YEYOTE ILE ILI MRADI TU WAINGIE NATAMANI NINGEKUWA NA UWEZO WAKUWASAIDIA WATU KAMA HAO LAKINI SI KUCHEKA WIVU TU UNA LOLOTE SI AJABU HATA MAONI UNATOA KUPITIA INTERNET CAFE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Katika sehemu zetu za kazi nilishawahi shuhudia ugomvi wa kupigana wa wanawake wa kinageria. Mmoja mke wa mtu na mwingine mke wa mtu wanamgombania jamaa ambaye naye alikuwa ni mume wa mtu. Hivyo ulikuwa ni ugomvi wa wezi watatu.
ReplyDeletePia mbona hujiulizi kulikoni hao wanaume wa kinigeria kupapatikia waTZ? Ni kwamba wanawake wao pia wanawaona hawafai. Uki-date mwanamke wa kiwest atakuona wewe kama diamond na atakungangania. Kwasababu wanaume zao ni kama wanugu ni vichaa.
Wanawake wa mataifa wengine wakiwaona wanawaogopa na kushikilia wanaume zao maanake wanawaona eti wanawake wa kitanzania wako loose.
ReplyDeleteMimi ni mjumbe nimesikia mwenyewe wakisema hivyo. Ni uchungu unaouma maanake tuna mama zetu, dada, shangazi na tunajitahidi kutetea
Usia wa mwisho uwe mwaminifu uki-cheat you are subjected to be stoned! Tofauti na bongo unaweza hata zaa mtoto wa kihindi au kiarabu na watu wanapeta tu.
ReplyDeleteWanigeria wengi ni manesi na kama ni malawyer wanafanya immigration pratctice. Biashara zipi zinafanywa na Wanaigeria ambazo wABONGO HAWAZIWEZI? Mashindano ya maendeleo ni kichwa cha mtu na plan za mtu.Kma amademu wanajipeleka kokote huo ni udhaifu wao na familia zao.Wanawake wa KiEthiopia na Kihindi nao wanawapenda Wanigeria?
ReplyDeleteJamani wabongo mbona kuna stereotypes nyingi namna hii kuhusu wanigeria. For your info just the way we have chagga's Nyakyusa's,pare's Haya's na wanaume wa makabila mengine ndivyo na wanigeria walivyo. what is different is that all nigerians who decide to marry foreigners treat them like queens and by the way when a Nigerian man decides to marry he means it!! GENUINE OOOOh-no strings attached! Niko Abuja i know these guys more than anything wapo matapeli but its not representative, the guys wana mapenzi yale ya mababu zetu-FROM THE HEART!!
ReplyDeleteMay u be blessed Girl, whatever your reason for marrying is-go firm! Nigerian men are the way to go!!! Watanzania mpaka achunguzwe babu yako alikuwaje sijui familia yenu wana uwezo gani sijui nini Nigerians love comes first the resty kapuni!!!Mama S
Matatu ya msingi katika falsafa ya Shaaban Robert:
ReplyDelete1. Cha msingi ni kupima VVU, bila mupo salama. Kama mko salama, ni mwanzo mzuri.
2. Pili, jamaa kama si kiranja wa 419,
3. tatu, kama moyo wako umeridhia:
hongera sana
Mfuasi wa falsafa ya S.Robert
ibo nigeria kitu gani ?mi ni klm tz fast money, cash money toka babu mpaka wazee tuna dili na mafia wa kifrenzi, kirusi,jepu please respect hacha na dola kadhaa town nzima fujo mabishororo na thugs wa kinaija tunawaribia na wanatulia kimbiza pesa bilioni kadhaa alafu kimya ,so dont talk kuhusu d hustlers sema amani kwa demu wa kibongo na mpopo wake uptown respect bongo
ReplyDeleteTunajua dada zetu wengi wa kiTz,wanapenda sana magari na hawa jamaa washajua hiyo kitu kwahiyo wanachukuaga magari ya kukodi self-driving.Basi dada zetu wakiona hivo huchanganyikiwa na kujikuta kajirahisisha akilipiwa na rent mwezi mmoja ndo basi amemalizwa.Lakini ni wachache tu wenye upeo mdogo kwahiyo msiwajali sana,sema ndo wanadhalilisha sometimes kwa kashfa zao.Utasikia jamaa wanacare sana kumbe kalipiwa rent!!
ReplyDeleteHongera..DADA YANGU..
ReplyDeletewe're all proud of you..
Ignore the haters.
what matters is that ur happy..
...