usisahau kutembelea
wakati huu wa shangwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. sasa na wewe kaka michuzi hukumshauri vizuri designer wa hii blog!!! inakuwaje anaweka nembo ya dini zote (christianity, islamic, hindu, budha etc) lakini kumbe ni nyimbo za kikristo tu???. nadhani msalaba ulikuwa unatosha hapo juu

    ReplyDelete
  2. baniani na masingasinga pia wamo...ajabu!

    ReplyDelete
  3. Jamaa alitakiwa aseme nyimbo za kikristu/o au injili, kwa sababu hamna diversity kama anavyo-claim kwenye logo.

    ReplyDelete
  4. LABDA ANAMAANISHA NYINGINE SIO DINI

    ReplyDelete
  5. huyu jamaa anaweza kuwa ameweka alama za dini nyingi ili kuvutia watu wa dini zoote kusikiliza nyimbo za dini yake. si lazima iwe nyimbo za dini zoote zipo bali "dini zoote mnakaribishwa."

    ReplyDelete
  6. WATANZANIA ACHENI KUWA NA VICHWA VIZITO VYA KUTOELEWA MAMBO, THIS IS A BLOG ANYBODY CAN UPLOAD NYIMBO YA DINI YOYOTE ILE KAMA ANATAKA NDO MAANA KASEMA BLOG YA NYIMBO ZA DINI, SO FAR NYIMBO ZILIZOKUWA UPLOADED NI ZA DINI MOJA KAMA MNAVYOSEMA, MTU WA DINI INGINE HAKATAZWI KAMA UNATAKA KUTUNDIKA ZA KWAKO. THE WAY UNATUNDIKA STORY ZAKO KWA MICHUZI NI HUKO KWA NYIMBO NDO HIVYO HIVYO. COMMON ON DUDES.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...