ramadhan o. nassib akishangilia wakati anatangazwa mshindi wa nafasi ya makamu wa pili wa rais wa tff kwa kura 62 dhidi ya mpinzani wake ndumbaro aliyepata kura 45

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hawa watu wote ni wageni kwenye uongozi wa soka hivi akitokea yule mzamini wa ndondi malizi akishinda si ndiyo mpira basi.

    ReplyDelete
  2. Ramadhan Nassib ni kijana wa mjini kariakoo.amesoma mlimani.ni kijana mchapakazi ana anaujua mpira. amelelewa na kina peter tino.tutegemee makubwa kwa safu nzuri ya TFF chini ya Tenga.

    ReplyDelete
  3. nimesoma leo www.freemedia.co.tz kuwa Nassib anaipeleka UK TIMU YA TAIFA. KAMA KWELI KIJANA AMEINGIA NA KASI MPYA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...