NURDIN BAKARI KAPIGA BAO LA PILI DAKIKA YA 67 HADI SASA BAO NI 2-1 STARS INAONGOZA NA SASA GEMU NI DAKIKA NI YA 72.
Home
Unlabelled
STARS YAPIGA LA PILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ivory Coast here we come!!
ReplyDeleteNdugu tunaomba uweke muda ambao wewe umetuma ujumbe wako. Ukisema mpira ni dakika ya 72 inategemea mtu kasoma muda gani ujumbe huu. Wengine tuko nje ya nchi.
ReplyDeletepm
Haya wakina Mziray, aah Maximo hafai, sababu hakumwita Kaseja, nilisema mwanzo huyu jamaa ni bonge wa kocha, angalia alivyokuwa anatafuta wachezaji wa kudumu, chipukizi kibao ndiyo wanacheza siku hizi, hongereni vijana, JK anawaandalia bonge la taafrija
ReplyDeleteHaya kikwete usimwachie maximo tff ndio wamlipe mshahara hao tff wote wezi kama unataka mpira ukue jukumu la walimu wote kutoka nje uliangalie mwenyewe au uwe na kamati tofauti na tff kuwalipa mishahara lakini sio hao tff.
ReplyDeleteBaada ya stars kufungwa mabao 2-1 na Sudan kwenye kombe la Challenge kwenye uwanja wa taifa wa zamani..baadhi ya wajuaji wa soka letu walikuwa wanazomea nje ya uwanja wakiimba "Maximo sio kocha..Maximo sio kocha"...lakini kwa jinsi wajuaji hao walivyo wanafiki, nina uhakika watakuwa wa kwanza kujitokeza kuipokea timu yetu ya taifa...na watamsifia sana Maximo!!!kitaalam kuandaa timu ya taifa imara inahitajika miaka zaidi ya mitano..lakini wajuaji wa kibongo wanafikiri soka la kisasa linachezwa ndani ya muda mfupi..kila la kheri vijana wetu huko Ivory Coast muendako.
ReplyDeleteweee annon wa pili toka juu!!!
ReplyDeleteacha ulimbukeni eti niko nje!!so what?ayo ni maswala yako bwana kwani nani hayuko nje??
wee umepewa taarifa chukua