WADAU WENGI WAMESHALIZWA BAADA YA KUPOKEA UJUMBE KAMA HUU NA KUUJIBU. GLOBU YA JAMII INATOA TAHADHARI KWA WADAU WOTE KWAMBA UPATAPO UJUMBE WA AINA HII TOKA POPOTE UJUE NI FEKI. UKIINGIA MKENGE NA KUTOA DETAILS ZAKO UJUE UMEJIUMIZA MWENYEWE. ACHANA NAO NA UPIGIE CHINI KWANI SI YAHOO WALA HUDUMA YOYOTE YA BARUA PEPE WENYE KUFANYA HIVYO!
Home
Unlabelled
TAHADHARI NA UJUMBE KAMA HUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Unless you don't know the world of internet, then you gonna reply it, how on earth are you gonna entertain it!! those things are normal and idiots are jumping in them blindly.
ReplyDeleteWa-Nigeria hao...wamewaliza wengi..hakuna cha bure ndugu zangu...hii siyo enzi ya Mwalimu (J.K) wa Butiama....watch out..!!
ReplyDelete