habari bro michuzi,
na kukuta comments zao mbalimbali.
nimeshindwa kuwaelewa kwani nimekuta mabishano makubwa sana kuhusu migomo yao ya vyuo vikuu....yaani kumbe kuna siri kubwa katika hiyo migomo kwani sio wote wanaokubaliana na wanafahamu siri za hiyo migomo kuwa ni nani na nini kinachosababisha!!hivi wasomi wetu wana nini?? upambanuzi wao wa mambo ukoje??
naomba uweke hizi comments zangu na waambie wadau waitembelee hiyo blog nao waone na watoe maoni yao.tunakushukuru sana mdau wetu kwani unatuunganisha dunia nzima....!!
kwa sasa mimi nipo Poland!!
Idumu blog ya jamii.
Mdau,
Poland!!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...