KAKA MICHUZI,

POLE NA KAZI NZITO ZA KILA SIKUHAPA LEO TUNAYE KIJANA MTANZANIA MWENZETU AMBAYE ANAKIPAJI CHA MUZIKI TANGU UTOTONIANAITWA BENNY KAGUO almaarufu kama NGEK MASTER AMBAYE KWA SASA YUPO NCHINI MAREKANI-USA CALIFORNIA AKISOMA HUKU AKIENDELEZA LIBENEKE KATIKA KIPAJI CHAKE CHA MUZIKI.


KWA SASA YUPO KWENYE SHINDANO LA KUMTAFUTA "FRESHEST MC'S" LILILOANDALIWA NA MWANAMUZIKI PIA PRODUCER NA MUIGIZAJI MAARUFU JERMAINE DUPRI "JD" WA AMBAYE NDIYE MMILIKI WA LABEL YA SoSo DEF.


HATA HIVYO NGEK MASTER AMEWEZA KUONYESHA USHUJAA WAKE KAMA MBOGO KUTOKA MBUGA ZETU KWA KUWAGALAGAZA ZAIDI YA WASHIRIKI 100,00 KUTOKA PANDE ZOTE DUNIANI NA KUONGOZA KWA KURA MPAKA SASA.


WADU HUU NI WAKATI MUAFAKA KWA WATANZANIA KUJIUNGA KWA PAMOJA KUONYESHA USHIRIKIANO WETU KAMA ILIVYO DESTURI YETU TUMPIGIE KURA BENNY KAGUO a.k.a NGEK MASTER AWEZE KUPATA USHINDI KWA KISHINDO


KUPATA DETAILS ZA ZIADA ANGALIA (WEBSITE)TOVUTI YAKE HII www.myspace.com/ngekmasterafricanboy


PIA UNAWEZA KUMTUMIA BARUA PEPE YAANI EMAIL KUPITIA bennyproducer@yahoo.com


PIA UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO YAKE INAYOMPA KURA ZA USHINDI KUPITIA http://vids.myspace.com/index.cfm?fuseaction=vids.individual&videoid=48068413


JINSI YA KUPIGA KURAFUNGUA HII TOVUTI YA www.myspace.com/tagrecordings

HALAFU FUATA MAELEKEZO BAADA YA KUJIUNGA NA TAG RECORDING BURE ILI UMPIGIE KURA KUPITIA

MDAU KUTOKA UGHAIBUNI

KAKA BIJO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. ni vizuri akiwakilisha tanzania kwenye masuala kama hayo

    ReplyDelete
  2. boy big up , tz up,dont scare keep represent hommie walivyobana kule....kumbe sio mwisho keep rolling , drive fast hommie till when u ......

    ReplyDelete
  3. Ma Boy Kaguo make it happen pande izo, we appreciate u toka Tabora Boys hadi unyamwezini na mzeiya Dupri,,,,, u rock

    ReplyDelete
  4. ENDAPO WANGEKUWEMO WATANZANIA WAWILI KWENYE SHINDANO HILO SIJUI MNGETUSHAURI TUMPIGIE KURA KABILA GANI? NA ENDAPO WOTE INGETOKEA KUWA KABILA MOJA SIJUI MNGETUSHAURI YUMPIGIE KURA ALIYE MFUPI AU MREFU KULIKO WOTE? TUJIFUNZE KUONA AU KUSIKIA UMAHIRI WA MTU KWANZA NDIPO TUMPIGIE KURA NA SI KWA KUTUMIA UTAIFA AU UKABILA.

    ReplyDelete
  5. Wewee anonymous hapo juu unayeongelea ukabila au rangi. Mtoa tangazo alikuwa anamaanisha utaifa. Kumpa support mwenzetu kama mtanzania na sio kabila lake au kimo. Mbona watu mnakuwa wagumu wa kuelewa mambo? Au ndio mkishajilipua huko Ulaya mnaanza kuwa na assumption za kizungu??????????. Utabakia mtanzania mpaka kufa kwako. Labda ukabadilishe rangi na sura kama ya Maiko Jackson na uukane U-Africa na U-Tanzania wako.
    Mdauzzzzzzzz

    ReplyDelete
  6. Hivi GPA yako ni ngapi, maana wazazi wako walikupeleka kusoma.

    ReplyDelete
  7. naamini atakuwa anawapote hata class, huyo dogo toka dom sec mpaka mzumbe na mziki kama kawa.,., big up man

    ReplyDelete
  8. WEWE 3:48 PM UMEAMBIWA UMPIGIE KURA NA SI UMPE SUPPORT KAMA UNAVYODAI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...