christian bella wa wazee wa masuti wa akudo akizindua albamu yake usiku huu new msasani club, dar. hakika amedhihirisha yeye ni muzee wa masauti kwa jinsi albamu hiyo ilivyopokewa
mashabiki wakimtuza christian bella kwa kazi nzuri
andrew sekidia akipapasa kinanda kwa pozi wakati wa uzinduzi huo

wakung'uta mipini wa akudo wakiwajibika katika kuzindua albamu ya christian bella
uzinduzi ulipambwa na shoo ya wazee wa mapikipiki
mgeni wa heshima alikuwa mbunge wa zamani wa mafia, mh. ayoub kimbau (kati) aliyesindikizwa na mwenyekiti wa chama cha muziki (chamudata) sajini mstaafu wa polisi na mkongwe wa muziki kassim mapili 'mkushi'.
mr blue na dully sykes walikuwepo kumpa taff christian bella

mr misifa dully sykes alitia fora katika uzinduzi huko kwa kibao chake cha 'hunifahamu, sikufahamu weee mamaa kwa nini leo unipakazie....'








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani hiyo nchi yetu si bora iitwe'united republic of ZAIN'manaake kitu ZAIN siku hizi!!!

    ReplyDelete
  2. ndio wenye hela na wako juuu ,sasa mmeanza na wivu wenu na choyo,waache wtambe ..mbona Tigo ilitamba sana miaka hiyo na hamkusema,sasa na anayeifanya iwike ndio aliyetoka kushoto kwenda kulia unategemea nini sasa katika kusikika kwao.

    ReplyDelete
  3. huyu Andrew Sekidia alisoma O level Tambaza miaka ya 1989-1992?

    ReplyDelete
  4. Sasa we anony mjinga mjinga wa juu ulitakaje? Pumbafu kabisa! nini point yako hapo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...