Rose Mungai ambaye ni Mchumi na Mtakwimu wa Bara la Afrika kutoka Benki ya Dunia akielezea kuhusu kitabu cha viashiria vya maendeleo barani Afrika 2008/09 wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa kituo cha mafunzo ya maendeleo ya Dunia jijini Dar es Salaam. Kulia ni Thomas Danielewitz ambaye ni afisa kutoa kitengo cha kuondoa umaskini na kukuza uchumi katika benki hiyo.
Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa kitabu cha viashiria vya maendeleo barani Afrika 2008/09 uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa kituo cha mafunzo ya maendeleo ya Dunia jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho ambacho kinaelezea tatizo la upatikanaji wa ajira kwa vijana barani Afrika kimetengenezwa na Benki ya Dunia.
Picha na Anna Nkinda - Maelezo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kitabu cha viashiria vya umaskini Afrika???
    mkurugenzi wa kuondoa umaskini ktk benki iyo???
    yan hainiingii akilini ata kidogo
    mkimaanisha kitabu ambacho wakisoma umaskinini utaisha Afrika au vipi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...