Rose Mungai ambaye ni Mchumi na Mtakwimu wa Bara la Afrika kutoka Benki ya Dunia akielezea kuhusu kitabu cha viashiria vya maendeleo barani Afrika 2008/09 wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa kituo cha mafunzo ya maendeleo ya Dunia jijini Dar es Salaam. Kulia ni Thomas Danielewitz ambaye ni afisa kutoa kitengo cha kuondoa umaskini na kukuza uchumi katika benki hiyo.
Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa kitabu cha viashiria vya maendeleo barani Afrika 2008/09 uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa kituo cha mafunzo ya maendeleo ya Dunia jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho ambacho kinaelezea tatizo la upatikanaji wa ajira kwa vijana barani Afrika kimetengenezwa na Benki ya Dunia. Picha na Anna Nkinda - Maelezo


kitabu cha viashiria vya umaskini Afrika???
ReplyDeletemkurugenzi wa kuondoa umaskini ktk benki iyo???
yan hainiingii akilini ata kidogo
mkimaanisha kitabu ambacho wakisoma umaskinini utaisha Afrika au vipi