Home
Unlabelled
dk. burian atembelea dampo a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani acheni ulimbukeni Arusha ni manispaa bado haijawa na hadhi ya jiji. Majiji yaliyopo tanzania ni Dar, Mwanza, Tanga na Mbeya. Full Stop mheshiwa mkuu wa wilaya waelimishe wenzio
ReplyDeleteBatilda ondoa hiyo nguo usoni. Inakufanya uonekane mzee sana. Please bado wewe ni kinda.
ReplyDeleteMheshimiwa waziri kapendeza sana, keep it up
ReplyDeleteNa nibora iendelee kuwa manispaa, idadi ndogo ya watu, magari na majumba, hali ya hewa nzuri, wakati huo huo high quality of life. Kuweza kujitosheleza kwa huduma za jamii kama maji na umeme na kutoa nafasi ya wakazi wake kuishi kwa nafasi.
ReplyDeleteWe anon wa January 02, 2009 7:16 PM, Udini hautakufikisha kokote. Una udini lakini unajificha chini ya kivuli cha urembo. Hukufunzwa uvumilivu chuo cha jumapili? Hakuna jinsi ya kufanya mabaibui yasiende shule!! Na tanzania mbona ni yetu soote? Hivi mtu akisema chuki za kidini zinakuwa nchini mtu atapinga? Ndio watapinga wengi hasa wadini halisia!!!!Na watakuita wewe mdini kujikinga!!!
ReplyDeleteMimi sidhani kama wewe ni mwana dini eti utapata ujira kwa Mungu kwa kuchukia watu wa dini nyingine.
Tudumishe amamni na upendo kwa waTanzania.
WEE MDAU tembea utoe tongotongo za macho hizo Arusha kuna high quality gani ya life wewe??kama umezaliwa na kuishi hapohapo maisha yako yote unayo haki ya kuona hivyo lkn kwa taarifa yako unachemka mno,naamini wakazi wengi wa bongo darisalama ukiwaleta arusha kwa muda wa week2 tu watajiona kama wako porini usiifagilie arusha kiasi hiko bado haijafikia hadhi hio,tena arusha kuna uhuni na ukatili wa kishamba sana watu disko wanaingia na sime bwana ndio nini sasa???TEMBEA UONE NDUGU na usiombe mvua ikanyesha hilo tope lake jeusi mweee!
ReplyDeletewee ndio mdini sasa hapo juu unachokilalamikia cha maana hata hamna,yeye kasema kweli mtu kajificha kama ninja bwana hata mm nashauri atoe huo uchafu unaomziba sura yake nzuri tusiione
ReplyDeleteAnon Jan 03 2:36pm
ReplyDeleteNshatembea TZ nzima, Dar tu ni mchanga wa bahari kama itakavyokuwa mikoa yote ya pwani ndio maana hakuna tope. Vitu vinavyonikera Dar kwanza joto kali, mbu wa ajabu ambao watapitiliza jeans na soksi hivyo mwendo wa vyandalua na malaria, halafu msongamano. Kama ni uswahilini shemu za kuishi au kwenye foleni ya magari. Hamna sababu ya kuondoka saa 12 kuwahi kazini saa 2.
Other people like city life and some of us are laid back. Kuna picha ya Kigoma mwisho wa reli ilitokea hapa na inapendeza.
Anon wa January 03, 2009 2:38 PM na wewe ni mdini tuu na kaburu mkubwa. Hujui kama mtu ana uhuru wa kuchagua nguo ya kuvaa. Kwani alivyopewa cheo hicho raisi alikuwa hajui. Usiingilie uhuru binafsi.
ReplyDeleteWe kama humuoni kanunue miwani, kisa umeshindwa uvumilivu wa kidini unasingizia humuoni, Mungu akujaaliye maisha marefu ili uishi katika uchungu wako huo muda mrefu.
Na wakati anavaa nguo hivyo alikuwa anajuwa kuna watu kama wewe wasieheshimu tofauti.
Respect differences or chuki za kidini zitatufikisha pabaya.
Mtoa maoni ya January 03, 2009 saa nane na dakika thelathini na nane (2:38 pm). Asante kwa ufafanuzi. Mimi nilisoma na Batilda ni mtoto mzuri sana. Sasa akivaa hilo vazi linaficha sura yake nzuri. Sikuwa na sababu nyingine yoyote ambayo ANON was tarehe January 03, 2009 2:09 AM, aliniwekea mdomoni kwangu. Asante sana.
ReplyDeletekama jeans zako chalii na soksi zikingĂ twa na mbu zinatoboka basi chalii wamekuinjika mdosho wa mtumba kibororoni kwenye mnada ile nextsunday iliopita ile chalii..lol....yaani kutembea unanitajia dodoma na dar ama kweli chalii nakuonea na ulikuwa sahihi kuona arusha heaven kwavile kiwanja chako kikali kuliko vyote utasema ni nairobi kisa kuna JAMII HULISHWA VYEMA NA BLUE BAND KWA MKATE hehe muone vile na meno yake ya chokuleti
ReplyDeleteAnon wa Jan 04 1:11am
ReplyDeleteInaonekana una chuki binafsi pia na watu wa kanda ya kaskazini. Haters will always exists no matter where you go. You might not like the place but at least respect the people.
We anon wa January 03, 2009 11:30 PM, usijidai hujui nguo hizo zimevaliwa kwa sababu gani. Na mbona usichunge mdomo maana mambo ya kidini yako sensitive mno. Bado unaonyesha una sababu ya kidini japo waificha usionekane mdini. Tambua kuanzia leo "MAVAZI NI CHAGUO LA MTU NA NI UHURU BINAFSI". Mwache avae apendavyo sio upendavyo. Maana hata wewe mavazi unayoyapenda una sababu, hata kama ni ya kidini.
ReplyDelete