Home
Unlabelled
ka 'technologial' ka mdau hemed juma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Marufuku Mwanamme Kuendesha!
ReplyDeleteBarrick: Tunasafirisha mizigo kupitia Kenya, bandari Dar wanachelewesha
ReplyDelete2009-01-29 10:07:16
Na Anceth Nyahore, Shinyanga
Moja ya sababu inayosababisha baadhi ya wawekezaji hapa nchini kusafirisha mizigo yao kwa kutumia bandari ya Mombasa badala ya Dar es Salaam ni huduma ya haraka ya kusafirisha shehena na mizigo yao inayotolewa na siyo ukwepaji wa gharama kama inavyodhaniwa.
Kampuni ya Barrick imebainisha hilo ilipofanya mahojiano na mwandishi wa habari hizi jana wakati alipododosa suala zima la uendeshaji wa shughuli za migodi ya dhahabu iliyoko Kanda ya Ziwa, hususani, wilayani Kahama.
Mwandishi alitaka kujua inakuwaje mizigo kadhaa ya kampuni hiyo inapitia nchi jirani ya Kenya na kisha kusafirishwa kwa njia ya barabara hadi Kahama, badala ya kupitia bandari ya Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Barrick Tanzania, Teweli Teweli, alisema bidhaa na shehena zinazoagizwa nchi za nje na kampuni hiyo, zimekuwa zikichelewa sana kutokana na urasimu pale kwenye bandari ya Dar es Salaam, hali ambayo imeilazimisha kampuni yao kuamua kutumia bandari na barabara za nchi jirani ya Kenya.
Akitoa mfano, Teweli alisema, kusafirisha mizigo kwa barabara kupitia Kenya huigharimu Barrick dola za Marekani 4,000 kufika katika mgodi wa Bulyanhulu Gold Mine Limited (BGML) ulioko Kakola wilayani Kahama, lakini ni dola za Marekani 2,500 tu kama shehena ikisafiri kwa njia ya reli kutoka jijini Dar es Salaam, lakini ni bora wapitie Kenya kwenye gharama kubwa kwa sababu mzigo wao hauchelewi.
SOURCE: Nipashe
mi naona ni bonge la ubunifu.
ReplyDeletepili kingekuwa kiatu cha kiume we anon wa kwanza ungesema marufuku mwanamke kuendesha?
jinsia mbona bado ishu sana?
Pamoja na ubunifu huo, lakini naona spidi yake itakuwa ni ndogo sana, au wese lake litakuwa linanyweka haraka sana kutoka na pure aerodynamic. Ukiangalia kwa makini utaona kuwa inapotembea itakuwa inachota upepo sana.
ReplyDeleteINAONEKANA USALAMA WA DEREVA NI MDOGO SANA MANA SIONI SAITI MILA AU NAZO NIZA DIGITO? ILA IKO KALI MNO.
ReplyDeletePOA SANA HIYO TECH KIBONGOBONGO INATUTOA SNA KWANI WESE NAONA HAITAKUWA HAILI KWA SANA
ReplyDeletePOLENI WADAU, HIYO IDEA YA KUTENGENEZA GARI KWA MFANO WA KIATU ILIFANYWA NA PEGEOT MIAKA 10 ILIYOPITA USA. JAMAA WALITENGENEZA GARI NYEUSI MFANO WA BUTI ILIKUIPROMOTE Co.NI SAWA NA H-BABA ALIVYOIMBA MPENZI BUBU THEN Z-ANTO AKAJA NA KIZIWI, MWINGINE ATAKUJA NA KIPOFU...
ReplyDeleteduniani kuna mambo!!
ReplyDelete