

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wamependeza, but thats my kind of woman. umembembesha mumeo maua!!!Next thing, mwambie akubebee handbag.
ReplyDeletekumbe m/me akibeba maua inanoga?ha ha
ReplyDeleteDu jamaa kachemsha,lakini ndio hivyo kidogokidogo anaanza kufua nguo,kuosha vyombo na mama analala kitandani kupumzika hahaha ehehehe.
ReplyDeleteHongereeni sana maharusi.Msijali hizo comments za juu.Sisi ambao tumo kwenye ndoa tunawasaidia wake zetu.Usipanic bwana harusi hao ni vijana wanataka kukuchanganya.Unaweza kumnyoshea mkeo nguo,kumsaidia kubeba mtoto hata kama mpo barabarani.Hakuna tatizo lolote.
ReplyDeletechuo kikuu cha university od dar,,michuzi bwanaaa.
ReplyDeletedada umependeza sana sana nilijua tu mtakua wapendwa yan ni wachache sana siku izi sio ivo km nyie!!
nilijua utakua BA education unaonekana tu ni mwl mwema.
annons mnaoshangaa ati mwanaume afue,aoshe nk kwani kabla hajaoa nani alikua anamfanyia?akifanya anapunguza uanaume wake au?
mna matatizo sana nyie watu,shezni kweli