Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bravo Kipanya.Mimi naongezea kidogo hiyo DIESI TIVII wabanwe tuwe tunalipa kama HUDUMA ZA SIMU AU UMEME WA LUKU.UKIWEKA DOLA 71-75 KWA MWEZI(so-called monthly subscription) WAWE WANACHAJI UNAPOTUMIA HUDUMA YAO.KWA SASA HIVI UKIWEKA 'MONTHLY SUBSCRIPTION'NA USIANGALIE HATA SIKU MOJA ETI BAADA YA SIKU 30 INAKATA AUTOMATICALLY!!SERIKALI IANGALIE HII.MLIO ULAYA WANAFANYAJE HUKO.NI KUKATA TU UWE UMEANGALIA UWE HUJAANGALIA?(monthly subscription)
ReplyDeleteWADAU....
ReplyDeleteUshauri kwa Baraka Shelukindo na uongozi mzima wa MULTICHOICE TANZANIA... Gharama za DSTV [PREMIUM)zipo juu saana hali halisi ya Mtanzania mwenye kwenda kazini kuanzia J3 hadi Ijumaa saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni!!!... Mfano nakaa Kijitonyama na ninafanya kazi mjini...Natoka nyumbani saa 12 na nusu alfajiri narudi saa 1 jioni muda huo nitaangalia habari ktk TBC 1 TV hadi saa 3 kisha nitaangalia Movie hadi saa 5 halafu naenda kulala kwa hiyo natumia masaa matano tuu kuangalia DSTV kwa cku ...pamoja na familia yangu ukizingatia familia yangu ina watoto wa shule kwa hiyo nime-wazuia kabisa kuangalia TV hadi weekend tena nawapa muda wa masaa mawili tu jioni kwa hiyo roughly kwa wiki natumia Masaa 43 kati ya 168 ambayo wanani-charge!!!! hapo nimewahi nyumbani sijapita ktkt Pub/Bar/Container/Stoo/Grocery etc... sijaenda kusalimia ndg. jamaa na marafiki Mgawo wa Umeme,Foleni ya Magari etc. kwanini msianzishe utaratibu wa kama wa TANESCO au DAWASCO??? Unalipia kile unachotumia LUKU au Meter???? Yaani...
WAY FORWARD....
Kuanzia Feb mwaka huu silipii tena hadi mimi au mke wangu...Niwe/awe likizo!!!! Dish litabaki kama Prestige/Pambo/White Elephant/Status etc. juu ya nyumba yangu.
Mdau Mpenda Keroro.
JAMANI KP NA WATOA MADA WENGINE MBONA MMEIVALIA NJUGA HII DSTV KWA GHAFLA SANA? AU SIKU ZA NYUMA DOLA ZILIKUA HAZIPANDI KAMA SASA, MAANA DU, ANYWAY HATA MIE NI MTEJA WAO KWA MIAKA 5 NALIPIA HIYO YA DOLA 74 OCTOBA NILILIPA 95,000. NOVEMBA NIKAALIPISHWA LAKI MOJA, ROHO ILINIUMA LAKINI NITAFANYAJE NA HOME UNA WATOTO NA WAMESHAZOEA DISNEY, DEC TENA LAKI, JAMANI TUTAFIKA KWELI? KP ULITAKIWA UANZE KAMPEINI ZAMANI SAIZI LABDA WANGESHANYOOKA, YAANI WANABOA SANA, ENDELEA KUWACHORA LABDA WATABADILIKA.
ReplyDeleteKp mbona kulipa kwa dola huko DiiStv kunakuuma sana; au bado bail plan ya ofisi yako haijatoka?
ReplyDeleteWewe kinakuuma kulipa kwa dola au kinakuuma wao kutolipa kodi kwa dola, au kinakuuma wao kutolipa kodi kabisa? Umesahau hii ni Tanzania, nchi ya waliwao? Tunatengeneza mazingira kwa wawekezaji waje wachume, warudi kwao na kutuacha mikono mitupu!
TAIFA LINALIWA SANA HILI, TATIZO KUBWA NI KUTANGULIZA MASLAHI BINAFSI MBELE; 10% NA BAHASHA ZISIZO NA ADDRESS.
Mdau Tarehe January 26, 2009 2:24 PM, hapa nilipo UK kuna service za aina mbili, kuna kama kina DIES TIVII kukata pesa tu uwe umeangalia au hujaangalia mfano SKY na VIRGIN MEDIA, lakini sasa hivi kuna watu washafikiria wakaanzisha BT television.... unalipa channel unazotaka kuangalia, usizoangalia hulipii. kwahiyo mteja "Unachagua Bega", swala la kulipia kwa mwezi nadhani lipo dunia nzima?? kwani kumonitor umeangalia au hujaangalia inawacost sana wenye kampuni... hivyo kuwa tu mdogo mtu wangu... Cha msingi wafanya biashara wafikirie kuwauzia FreeView Box zinazoweza kuonekana Bongo.. nina uhakika CHina mtu akiwapelekea dili la maana makapuni yatatokea mbio tenda sio kitoto...
ReplyDeleteAll the best
MDau UK
Mdau wa kwanza umetoa wazo zuri sana. Hopefully DSTV na GTV watalifanyia kazi.
ReplyDeleteWakinyuti (yaani kama wakiamua kuendelea kutuibia kwa kutuchaji hata pale tusipoangalia) basi ni fursa kwa wajasiriamali wengine kuingia kwenye soko.
Ni kweli Kp hapo umewaza jambo zuri tunaomba mamlaka husika iamke usingizini.
ReplyDeleteMdau
Hawa jamaa ni waizi kabisa kwani kama USA watu wanalikpa kutokana na Company unayotumia.Na sasa bei ni chini kwani wanashindana kupata au kuibiana wateja.Kwa mfano kuna Company ya Comcast, AT&T,Charter nk.Hizi ni baadhi ya makampuni mengi.Hawa AT&T wanatoza $44.99 kwa mwezi, na Charter wanatoza $69.99 kwa mwezi(Cable,telephone and High Speed Internet.).Hayo makampuni ya nyumbani ni waizi wakubwa tena inabidi waanze kuteremsha bei kwani vijana wengi wanakuja na huduma hizi hivi karibuni toka majuu.Sisi wenyewe masikini halafu wantaka watukamue kabisa KP usiwaache na wala usipumzike ongeza mwendo hadi watu waaze kuwatoka ndio watashika adabu.
ReplyDelete