Home
Unlabelled
maafande watembelea vodacom dar katika kujinoa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo tambarare..polisi kujifunza uongozi Vodacom?
ReplyDeleteDuuhh..nchini hapa kila kitu kinawezekana. Labda mkuu wa wilaya..hiyo ziara ilikuwa na madhumuni mengine..lakini la kujifunza uongozi? Mhhhh...
Sasa mbona ukienda Vodacom unakuta staff wanalalamika kuwa hakuna uongozi mzuri kwenye kampuni lao!
ReplyDeleteKweli wewe ukiuliza cha nini wenzio wanauliza watakipata lini
Sasa mbona ukienda Vodacom unakuta staff wanalalamika kuwa hakuna uongozi mzuri kwenye kampuni lao!
ReplyDeleteKweli wewe ukiuliza cha nini wenzio wanauliza watakipata lini.
Voda kweli matawi ya juu mpaka mwera wanaenda kujifunzia hapo?Bonge ya commercial
ReplyDeleteHapo hata mimi sijaelewa vyema, why did they choose Vodacom? Kuna sehemu yeyote inayoonyesha that they are good in that reference iliyotumiwa na polisi ni nini? ningeelewa kama wangeenda kutupwa wote mzumbe! au ndio mambo ya field work?
ReplyDeletehe kilasa mtambalike upo voda umezidi kuwa handsome bahati yako umeoa lakini mwenzio nakutamani ingawa najua huwezi kunipata maana nasikia unampenda sana mkeo.ntakutafuta lakini.
ReplyDeleteOk,nimekumbuka mbali sana,pale Morogoro- SUA- tulipaanzisha TAHLISO,nami nikiwa moja wa waanzilishi pamoja na huyo Dada Mwananvua Mlangwa akiwa Rais wa CBE,dada huyo alikuwa very powerful and tough ,nadhani siku za mbele ataweza kugombea nafasi nyeti.Mie sikujua kama yupo Vodacom.
ReplyDelete