Mratibu wa Mahusiano wa Vodacom, Mwamvua Mlangwa akizungumza na baadhi ya makamanda wa Jeshi la Polisi waliotembelea katika ofisi za makao makuu ya Vodacom jijini Dar leo kujifunza mambo mbalimbali kuhusu masuala ya uongozi. Maofisa hao wako katika kozi yao kwenye Chuo Maofisa wa Jeshi la Polisi Kurasini jijini humo.
Mmoja wa makanda wa jeshi la polisi waliotembelea ofisi za makao makuu ya Vodacom jijini Dar leo, Kamishna Msadizi wa Polisi (ACP)Elice Mapunda, akizungumza wakati wa ziara yao iliyokuwa na nia ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu masuala ya uongozi. Maofisa hao wanaendelea na kozi yao kwenye Chuo Maofisa wa Polisi Kurasini jijini humo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Bongo tambarare..polisi kujifunza uongozi Vodacom?
    Duuhh..nchini hapa kila kitu kinawezekana. Labda mkuu wa wilaya..hiyo ziara ilikuwa na madhumuni mengine..lakini la kujifunza uongozi? Mhhhh...

    ReplyDelete
  2. Sasa mbona ukienda Vodacom unakuta staff wanalalamika kuwa hakuna uongozi mzuri kwenye kampuni lao!

    Kweli wewe ukiuliza cha nini wenzio wanauliza watakipata lini

    ReplyDelete
  3. Sasa mbona ukienda Vodacom unakuta staff wanalalamika kuwa hakuna uongozi mzuri kwenye kampuni lao!

    Kweli wewe ukiuliza cha nini wenzio wanauliza watakipata lini.

    ReplyDelete
  4. Voda kweli matawi ya juu mpaka mwera wanaenda kujifunzia hapo?Bonge ya commercial

    ReplyDelete
  5. Hapo hata mimi sijaelewa vyema, why did they choose Vodacom? Kuna sehemu yeyote inayoonyesha that they are good in that reference iliyotumiwa na polisi ni nini? ningeelewa kama wangeenda kutupwa wote mzumbe! au ndio mambo ya field work?

    ReplyDelete
  6. he kilasa mtambalike upo voda umezidi kuwa handsome bahati yako umeoa lakini mwenzio nakutamani ingawa najua huwezi kunipata maana nasikia unampenda sana mkeo.ntakutafuta lakini.

    ReplyDelete
  7. Ok,nimekumbuka mbali sana,pale Morogoro- SUA- tulipaanzisha TAHLISO,nami nikiwa moja wa waanzilishi pamoja na huyo Dada Mwananvua Mlangwa akiwa Rais wa CBE,dada huyo alikuwa very powerful and tough ,nadhani siku za mbele ataweza kugombea nafasi nyeti.Mie sikujua kama yupo Vodacom.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...