1964: Malcom X alipokutana na aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wakati huo,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mdau hii pic imenitouch sana, ingawa sikuwepo ila huyu jamaa Alhaj Malick Al Shabaaz ndo idol wangu, Autobiography yake nimeshaisoma hadi naona nitaikariri, hainiishi hamu. kama vipi niforwardie hii pic mkuu

    ReplyDelete
  2. i am not gonna lie to you and i know that i will cause sontroversy but i am against MALCOLM X..very strongly. this person was nothing but a racist and a terrorist. when john f kennedy died, all he said is 'those are chickens that are taken to roost'..akimaanisha hao ni kuku wanaopelekwa kuchinjwa.. he had no mercy whatsoever..alikua akiwaita wazungu majina ya ajabu..na alikua na itikadi za kiterrorist. i am a black man, but i oppose malcolm x na ndio maana alifukuzwa kwenye uislamu wa black americans kwa roho yake mbaya..may you rest in peace..but i wish you lived to this day so that we could have convinced you to change.

    r.i.p to martin luther king jr who was a true fighter

    ReplyDelete
  3. Anon 2:54 Get a life. Nothing worse than being miss informed or having little information. Endelea kusoma magazeti ya udaku maana naona that is upeo wako ....

    ReplyDelete
  4. Marehem Komred Abdulrahaman Babu alikuwa mwana mapinduzi halisi aliyekuwa na mawasiliano na wanamapinduzi wengine katika kila kona duniani,na ndiye aliyekuwa Engineer wa mapinduzi ya Zanzibar 1964,Pia alielekeza Tanzania katika
    uwanja wa Ujamaa,lakini bahati mbaya sasa jina lake linasaulika hata katika historia ya wanamapinduzi wa nchi!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. mdau wa hapo juu naona kweli anasoma magazeti ya udaku,malcolm x hajafukuzwa black muslim bali alitokamwenyewe baada ya kugungua black muslim ilikuwa ni oganaization na sio dini,baada malcom x kusoma dini aligundua black muslim ni potofu,na wakati akimtukana john kenedy kuwa na sera za black muslim,malcom x ndo chanzo cha wamarekani weusi kuondolewa ubaguzi,baada yakutoka saudia aliyasema maneno yaha,NIMETEMBEA NA NIKAONA,NISOMA NA KUJIFUNZA,WATU WOTE NI NDUGU,HAIJALISHI RANGI,NIEKUTAKANA NA WATU WA KILA RANGI NA WOTE WALINIITA BROTHER.after that yeye ndo alowashtua watu weusi hawawezi kuacha kubaguliwa ikiwa wenyewe wanajibagua,wajichanganye enye vyombo vya serikali na ubaguzi utaondoka kwa haraka,ndo maana unaona leo polisi ya marekani imeshikiliwa na watu weusi.MALCOLM X your the proud of frican american.

    ReplyDelete
  6. Anon 2:54 Umejizaraulisha tu kijana pole lakini ukikuwa na kuelewa utajuwa.

    ReplyDelete
  7. we kichwa 2:54 Kennedy mzuri kwa watu weupe tu nenda fanya documentary yako kawaulize weusi walioteseka marekani kama ukipata asilimia kubwa ya waliomsifu njoo tuwekee video tuone mtu mweupe akiambiwa ukweli hapendi. wao tu yao ndio right ila hapa hapa duniani tu. hata mandela aliitwa Terorist na mandela anampenda malcolm X zaidi ya DR king.

    ReplyDelete
  8. we 2.54 unamjua malcolm au unajiandikia tu.hebu tafuta vitabu vyake vikufungue akili,usiwe na western propaganda,mzungu kila adui ni terro,wakati bush ndo terror.kaa ukumbuke malcom ni half mzungu ndo maana akiwatukana wazungu anajua anachokisema.

    ReplyDelete
  9. NI KWELI ANONY WA 2:54 KAKURUPUKA,HUJUI LOLOTE KUHUSU HICHO KICHWA ALHAJ MALICK AL SHABAAZ A.K.A MALCOM X,SOMA AUTOBIAGRAPHY YAKE NA JITAHIDI KUTOKREMU UTAMWELEWA VIZURI MALCOM LA SIVYO KAMA UNASOMA YA UDAKU KAMA WALIVYOSEMA WADUA BASI YOU WILL STRONGLY BE MISINFORMED.HUYU JAMAA ANAHESHIMIKA HAPA US HATA HAO WAZUNGU WAKO WANAMHESHIMU SANA KWANI LICHA YAKUTOMWOGOPA MTU ALISAIDIA SANA KUWANYOOSHA HAO WAZUNGU WAKO.KUMBUKA SURA YAKE ULIWEKWA HATA KWENYE POSTAL STAMP IKIONYESHA KWAMBA ANAKUBALIKA NA MCHANGO WAKE UNAKUMBWA.MIMI BINAFSI HE'S MY IDOL NAMPENDA HUYU JAMAA NISHASOMA SANA VITABU MBALIMBALI KUHUSU YY NA VILE VILE NIMECHEKI DOCUMENTARY ZAKE ....A TRU BLACK MAN WHO WAS PROUD TO B BLACK

    ReplyDelete
  10. anon 2:54 niko pamoja na wewe huyu bwana nimesoma habari zake nipo katikati bado sijazimaliza lakini sioni special alichokifanya nakuunga mkono %nyingi kuliko hawa wachangiaji wanaopenda kukurupuka ovyo ovyo kwa kufuata mkumbo kisa walishaona picha zake kwenye tshirt huko basi MALCOM X MALCOM X...nakataaa huyu jamaa kuwa anastahili kuigwa NEVER

    ReplyDelete
  11. Malcolm haiandikwi "Malcom."

    Halafu Babu alikuwa ameshatoka uwaziri wa mambo ya nje siku ya ile ziara.

    ReplyDelete
  12. Hapo Abdulrahman babu alikua tayari katika serikali ya Muungano akiwa Waziri wa uchumi na mipango na baadae kuwa Waziri anayehusika na masuala ya Muungano. Ni kule Zanzibar alikoteuliwa Waziri wa kwanza wa mambo ya nchi za nje baada ya Mapinduzi kabla ya Muungano 1964.Babu ndiye aliyeandaa ziara ya kwanza ya Mwalimu Nyerere nchini China na kukutana na Chairman Mao Tse-Tung. Ujenziwa reli ya Tazara ulitokana pia na ziara hiyo kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya Babu na viongozi wa China waliokiunga mkono chama chake cha UMMA kilichokua kikifuata nadhari ya Marx na Mao.Ni mwana mapinduzi aliyepigania heshima ya muafrika akiwa na miamba mingine kama Joshua Nkomo wa Zimbabwe wa Malawi,Tom Mboya kule Kenya Kanyama Chiume,Samuel Kabwebwe wa Zambia na wengineo. Marehemu babu alikua sio tu karibu sana na Malcolm X pale hata mwanamapinduzi wa Cuba Arnesto Che Guevara.Bahati mbaya Afrika inahistoria ya kutowaenzi mashujaa wake.
    Mkufunzi

    ReplyDelete
  13. Naweza kusema proudly kwamba nilimpigia kura Mzee Babu uchaguzi wa 1995. Malcolm X was one of the most important public figures of the 20th century. Kuna speech yake moja aliiota around 1964, ukiisikiliza utadhani anaongea in 2008/2009, nadhani Mr. Michuzi akiniruhusu nitakuja kuipost.

    ReplyDelete
  14. If u' don't know much about Malcom X please stop say about him, he was hero,ni bora wanaompinga kwa jambo lolote wakasoma kwanza history yake kwa undani ndio wakachukua maamuzi ya kuandika, Malcom X, Mumia Abuu Jumaa,Jeronimo Jijaga,Martin Luter and Peter O'NELLY soma vitabu vya hawa watu utakua na cha kuandika juu ya Malcom.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...