mamaa dotnata akimkabidhi zawadi mdua harith nassor ambaye ni mwakilishi wa mdau wa milllioni 5 wa tovuti ya global publishers mchana wa leo kwenye duka la vipodozi la arise beauty supply ambao ndio wadhamini wa shindano hilo ambapo wametoa simu mpya ya blackberry. sherehe hizo fupi zilishuhudiwa pia na balozi wa nanihii na fulanazzz yake
bosi wa global publishers abdallah mrisho akimwelekeza namna ya kutumia blackberry huku mgeni rasmi mamaa dotnata na wafanyakazi wa duka la vipodozi la arise beauty supply wakisikiliza




Mshindi amekabidhiwa kweli zawadi yake hongera sana..lkn naomba jibu kuna blog mbili tu ambazo zinatembelewa kwa wingi siku za hivi karibu nikiwa na maana za wabongo wanaongea kiswahili ya hii yetu ya wananchi na ile ya akinanhii wa kijiramba hivi ni ipi inatembelewa na watu wengi zaidi?
ReplyDeleteMi naomba kuuliza jamani, hivi hawa kina-dada wanapojipaka hizo rangi kwenye sura hawaoni kuwa wanakuwa kama vinyago jamani. Hivi hamna jinsi ya kufanya hizo rangi zifanane na ngozi yao.
ReplyDeletesasa ebu check huyo mgeni rasmi, rangi ya sura na shingo ni tofauti.
Mdau
mdau, sio kujipaka tu rangi usoni, bali pia kuvaa nywele bandia alimradi ukaribie zaidi kuonekana kama 'mzungu'!!!! wabantu mungu alitulaani.
ReplyDeleteHuyo ndiyo mama Dotnata mama wa mapoudouuuuuuuuuz huyo na Maimatha wa Jesse wako tayari washinde njaa ila mradi tu waingie S.H Amon!!!
ReplyDeleteteh teh the
nyie inawahusu nini na mapoudazz yao?wake zenu wako natural wapaka rays,,,
ReplyDelete------na roho zenu za kwanini!mtakufa vibudu