Mjomba Michuzi,
ngoja kwanza nikupe info kama hukuwa nazo,hizi zimeanguka leo , kwamba Sheikh Mohammed bin Rashid al-Maktoum kachomoa Kuinunua tumu yenu
football/premier_league/liverpool/article5304123.ece

kwahiyo bwawa la maini Hoi, wanahaha kutafuta mnunuzi.... kwana sheikh ndio hivyo.. na Mna Bonge la DENI kutoka kwa RBS ambalo linatakiwa kulipwa kabla ya July this yr.Kila la kheri..
Ushauri wa Bure, Ukiona mwenzio ananyolewa We tia maji, Juzi ulitucheka sana tulipofinishi mkataba wa kutangaza na AIG, sasa leo nyie hamna kabisa mwenye timu.. balaa hilo... na Banitez ashapiga mkwala Hasign mkataba mpya mpaka awe na mamlaka ya juu hukusu Soka....
Kila la kheri..Mdau UK.
----------------------------------
Ah, mmanga kaishiwa huyo, pamoja na recession yote anataka kuleta visababu. we ngoja kidogo utasikia mambo karibuni. We Neva Wok Aloni..
MM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka MM,
    Naomba umstue Bakhresa kwamba timu ndo inuzwa tena hii,aokoe jahazi !
    Jezi za Liverpuu ziwe na matangazo ya sharbati ya Ukwaju
    Kaima

    ReplyDelete
  2. kwanza matusi! huyo si mmanga msichanganye makabila ya watu ni kama kumuita mzaramo ati yeye ni JALUO! wamanga ni wenye asili ya Oman TU!

    ReplyDelete
  3. We anon January 24, 2009 1:06 PM acha kujifanya unajua na kujifanya unapenda uarabu... wamanga wote Waarabu, hakuna cha omani wala bahrain, hicho ndio kiswahili cha mtaani tunachojua, kwa taarifa yako hayo ya kuwaita waarabu wamanga ni kejeli tu na kuwatania hakuna uhusiano wowote wa kihistoria, kikabila wala kidini kwamba waoman ndio Wamanga... Au ndio nyie shombe shombe wa pemba ,unguja,mafia,tanga,bagamoyo, lamu, pete, mombasa nk... mnaojifanya waarabu na mkienda Oman na Yemen mnaitwa MUWALAD???? unajua maana ya MUWALAD LAKINI??? Pole weee....

    NB: Misupu msikilize mtoa maoni wa kwanza eti anasema bakhresa anunue BWAWA LA MAINI... tehe tehe tehe.. kwa hela gani?? za kuuza ukwaju na kalimati?? bakhresa ni tajiri wa madafi, akiingia kwenye exchange rate anachekesha... kwa taarifa tu Africa nzima kuna mabilionea wa Dola wawili tu... mmoja mpopa (kutoka nigeria) mungine Msouz... kwa mzee zuma....
    We have a long way to go ili tuwe na mabilionea wa $$$$$ kama India, china na russia....

    ReplyDelete
  4. Nakubaliana na Jamaa uliongea hapo kuhusu wa manga ndio hawa kama makondakta majuzi nawahi Bus mie mchaga sababu mweupe kidogo kaanza kunita mpemba. MAkhtoum ni wa Dubai amejitowa kutokana na hasira za wamarekani ila wale ni washabiki wa Liverpoolfc kama Nasser al Kharafi ambaye kajitokeza Juzi kuitaka liverpool Jamaa kasoma college liverpool na nimshabiki wa liverpool sio tu kutaka bishara yake iende.

    http://www.liverpoolecho.co.uk/liverpool-news/local-news/2009/01/23/arabs-in-as-liverpool-fc-go-up-for-sale-again-100252-22761407/

    Michuzi kazi kwako wadondoshee kwanza mie sioni kununuliwa kwa timu ndio maendeleo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...