

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bravo! C'est vremaa kamarade na ngai!
ReplyDeleteMkami ba na ngai, libala na ngai ya solo, ole kitya mape walo dada ee!! Kati ya bomoyi na ngaa, zambe nakumisio, mokote ya bali na yooo.
ReplyDeleteHingera sana Mkami yaani mara ya mwisho nilikuona ukwa mdgo kipindi kile mna kaa chang'ombe Na mzee Masero Mahende alikuwa major, sasa hivi una mume hongera sana mwasi kitoko!!
hongera mwana, mungu akujalie ndoa yenye mafanikio, bye local staff
ReplyDeletedada ni kabila gani wajameni????
ReplyDeletejina la kibantu aswaaaaa,nafahamishwe basi.
uyo annon wa kwanza mboni wachonga kizairwaaa??
afu maelezo ya picha ya kwanza mbona hayaeleweki wee michu,editor wako kalala au??
1:Hongereeni sana maharusi.
ReplyDelete2:Hii blog iko matawi ya juu.Binafsi naelewa Kilingala na Kifaransa,kwa hiyo jina la mke wako ni MKAMI KICHONGE MAHENDE MASERO?Kwa faida ya wengine Mwasi(msichana) Kitoko(Mzuri)=Msichana mzuri.Halafu bwana Felix unasema ni aka Coco Madimba Camarade Pamba(haileti maana sana)coco madimba ni majina ya kilingala.(COCO=french word=coconut) wanapewa sana watoto wa kike ingawa na wanaume wanayatumia.CAMARADE(French=Friend).PAMBA(siifahamu nadhani jina).kwa hiyo unasema wewe(Felix) ni aka Coco Madimba Rafiki Pamba?!Wanamuziki wa Congo wanapenda kuimba kwa kuchanganya kilingala na Kifaransa,kama hujui lugha hizi mbili unaweza kudhani wanatumia lugha moja!.Take care.
Hasa mdada mbona weye hujapunga mkono kwa bidii kuonyesha furaha kama ya mwenzio? Utafikiri shughuli ya bwana peke yake jamani?
ReplyDeleteWilly Kaijage, umependeza sana sana na mkeo, hongera mno. Nimefurahi sana kukuona. Mara ya mwisho nimekuona Dar, miaka karibu 13 iliyopita May, 1996!E bwana kichaa wangu bado unateremka ma third order differentials? Na ma quantum physics yanapanda bado? Duuh, I hope umebahatika kuwa sehemu ambapo unatumia kichwa yako ya namba.
ReplyDeleteOkay ndugu, kazi njema. Mungu akubariki na mkeo na mjaliwe familia kubwa.
KYOMA,naona hatimaye umefanikisha kuvuta jiko(mke).hongera kwa jambo kubwa kama hili. Kila la kheri kwenye maisha ya ndoa.
ReplyDeleteMdauz Japan
Ghati Mahende.. Chang'ombe enzi zileee.
ReplyDeleteThen Jangwani Secondary kama kawa..aaah!
Hongera sana mwenzangu kwa hapo ulipofikia.
Mwenzako bado sijapata wa kunioa.. yaani napigishwa msele tuu kila kukicha wakati umri nao ndo huooo unazidi kunisonga...
Nakuonea wivu sana mwenzangu ;(
Mzidi kubarikiwa na Bwana.. Mniombee na mimi pia.. Amen!!
Papaaa kaijage mutu ya kilo,
ReplyDeleteHongera sana muzee.All the best in the next level...!!!Mukulu Bilangaa.
Mosha D
Huyu dukwelo aliyesimama na mademu anaelekea kummendea demu aliyekuwanaye hapo karibu tumeshtuka lakini poa kiaina, unazuga fresh kiaina tunaiona.
ReplyDelete