sharon aron habash mie anti yako halima nakupongeza kwa kuwa mtoto mzuri hulii lii ovyo ila unaniudhi hupendi kulala. kwa nini lakini sweetie? nampongeza pia mummy and daddy wako stella na aron kwa kuwa na mtoto mzuri kama wewe. nakutakia makuzi mema

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Akilala sana atakuwa goi goi. Mpigigie zile hadithi na nyimbo ulizokuwa unapigiwa au kuimbiwa ulipokuwa na umri kama wake. Si ajabu kaiga kutoka kwa mmoja wa Wazazi au ndugu katika Ukoo. Sharon sio majina ya kulia lia.

    ReplyDelete
  2. The kid is sooooo qute. Congrats to the parents.

    ReplyDelete
  3. Adorable cute baby, lv ya Sharon usilale sana sweet utakuwa lazy

    ReplyDelete
  4. Mtoto mzuri hongera wazazi.

    ReplyDelete
  5. JAmani Mi huwa sielewi kabisa mtu anapopata mtoto mzuri mnampongeza mama na baba yake, Hivi wao ndio wamemuumba? mnaacha kumpongeza Mungu aliyetuumba sisi weto na kila kilichopo (tunavyoviona na tusivyoviona) mnabaki kuwapongeza wazazi? Jamani Kumbukeni kuna Leo na kesho.
    NB: Michuzi blog ni yako lakini salam hizi za mtoto na ujumbe wake Unamfikiaje wakati hajui kusoma wala kuandika, sikwambii kuwasha computer.. last time nimekutumia email ya kitu muhim sana kwa waafrika na dunia ya tatu ili wadau tulio na uwezo tuwasaidie wa nyumbani umekalia kimya.. kifupi ni hivi (kama utapost hii comment) wadau fungueni www.kiva.org muweze kuwainua kiuchumu direct wananchi walio dunia ya tatu kwa kuwakopesha ili waweze kujikwamua na maisha ya kila siku... kumbuka unasaidia, mkopo wako ni interest free..
    Mbarikiwe Daima.

    ReplyDelete
  6. BABY OH BABY YOU ARE SO BEAUTIFUL butter will not melt on your cheecks. MUNGU AKUBARIKI AFANYE ROHO YAKO IWE NZURI KAMA ALIVYO KUUMBA. MUNGU AKUPE KILA LA KHERI KWENYE MAISHA YAKO. Wazazi hapo kazi yenu ni kumlea vizuri. Hiyo ni zawadi yenu kutoka kwa MUNGU. Wazazi tunatakiwa kuwalea watoto wetu kwa mapendo kwasababu hiyo ndio zawadi No.1 kwa sisi kutoka kwa MUNGU.

    ReplyDelete
  7. Woooow,such a cute,adorable & healthy baby....cant wait to have my own.

    ReplyDelete
  8. Wooow, Just look at her, she is like an angle, all praise to ALL MIGHT GOD so she'll gt all the love she need frm her parents. mmmmmmmwa Sharon

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...