kaka na wadau wote,
habari za siku na heri ya mwaka mpya!
katika kuperuzi peruzi kwangu nimekutana na picha zilizo kwenye setalite, nimependa miundi mbinu ya mji wa tanga. si vibaya kuwaonyesha wadau wengine popote walipo duniani.
vinginevyo wape hii link
http://www.panoramio.com/photo/14395856
Ahsante
mdogo wako
Mdau wa Tanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Duh!! Sijui ni sehemu gani ama ukubwa gani wa Tanga uko hivyo, lakini angalau waona mji ulivyopangwa na waweza kutambua urahisishwaji wa huduma hapo. Ni rahisi kutawala maana kumepangika vema, ni rahisi kutandaza huduma mbalimbali maana kunagawanyika vema na ni rahisi kuaendeleza maana kumepangika vema. Natumai ni sehemu kubwa ya mji (kama sio yote) iko hivyo na wenye mamlaka wataweza kutumia urahisi huu wa mpangilio kupaboresha maana hapahitaji bomoabomoa kupanga mji.
    Safi zana.
    Blessings

    ReplyDelete
  2. Waja leo waondoka leo!!! Pamoja na mpangilio mzuri mikakati ifanyike ya kufufua viwanda na kuanzisha vipya. Wadigo wapunguze umwinyi wawajibike!!

    ReplyDelete
  3. Pamepangika vizuri mno

    Dar ni vurugu tupu!

    ReplyDelete
  4. Hivi mnaelewa maana ya miundo mbinu jamani? Sasa hapa kuna miundo mbinu gani jamani, sisi takataka tu hizo, ebu safarini kidogo msafishe macho nje ya nchi kabla hamjatoa hoja zenu. Nchi yetu miundo mbano bado ni mibovu kabisa isipokuwa kwa mikoa michache k.m Kilimanjaro ambapo nyumba zimejengwa kwa nafasi na mji ni msafi,barabara ni kubwa japo lami ni kidogo

    ReplyDelete
  5. Aliyesema wadigo wapunguze umwinyi ana maana gani?
    Kama wana umwinyi kungekua na mpangilio huo?

    Ila nikweli Tanga zamani ilikua na viwanda vingi sana, masikini sasa asilimia kama 80 vyote vimekufa.

    ReplyDelete
  6. Barabara ya ngapi hapo?

    ReplyDelete
  7. MPANGILIO HUO NI NYAKATI MAAFISA MIPANGO MIJI NA ARDHI ALIKUWA HAI,KABLA YA VIFO VYO,ENZI ZA NYERERE.
    MANDHARI NZURI NA MWONEKANO, KAMA VIGAE VILE JUU YA MAPAA,KUMBE NI BATI ZILIZOCHOKA NA KUTU.
    ARDHINI PALE, WAKAZI WAFANYE USAFI .

    ReplyDelete
  8. ndio, rectangular grid. acheni ukabila hapa, kwanini mwataja makabila wakati mji wa tnaga ni wa woote?

    ReplyDelete
  9. Watu wa Tanga Wamezubaa Sana. Huo mji ungewapa watu wa Moshi au wa bara. kila mtu angekimbilia huko. Lakini wa Tanga wamebaki tu kusubiri mtu aje kuwaendelezea mji huo. Wakoloni wameshawawekea mji safi unakila kitu hauna vichochoro wala nini lakini wao wamebakia waja leo waondoka leo. Inueni viwanda hivyo, bahari nzuri. Tanga could be one of the tourist attraction in Tanzania if not the whole Africa. Wakini ndio hivyo kwenye MITINI HAKUNA WAJENZI.

    ReplyDelete
  10. kupangika kumepangika ila walisahau open space, km bustani sehemu za kuchezea watoto kwa hiyo wakihitaji kufanya hivyo mimi naona bomoabomoa bado inahitajika

    ReplyDelete
  11. Namuunga mkono anonymous hapo juu, kwa kweli mji wa Tanga umepangika na uko tofauti na miji mingine niliyowahi kukaa au kutembelea ndani ya Bongo yetu.Cha muhimu ni ndugu zetu "Wadigo" wapunguze umwinyi na uswahili na kama tunavyoona maviwanda ndo hayoo yanafufuka tena (viwanda viwili vya saruji by 2010). Yana mambo yatakuwa swadakta, badala ya Waja leo wondoka leo, itakuwa waja leo kuondoka hujui!

    ReplyDelete
  12. Mambo ya Tanga hayo mwanangu!! Waja leo warudi leo sio mchezo baba. Ukienda Tanga kuna starehe zake bwana. Nakumbuka miaka kama mitatu iliyopita nilipokuwa Tanga mambo yalikuwa mazito. Nilitamani kula na kubeba hata chungu. Mambo ya mwambao wewe acha tu. Tanga hoyeeeeeeeeeeee!!!
    Mdauzzz

    ReplyDelete
  13. Mji umepangika vizuri sana tu. Kilichobakia ni ku up hizo nyumba basi. Nyumba ziwe za kisasa kidogo basi.

    Yaani mji wao ulianzishwa vizuri na wasikubali mafisadi kuja kununua nyumba zao na kubadili ramani.

    ReplyDelete
  14. Eee bwana wewe unayesifia hukokwenu kilimanjaro babaanguEee!!
    WEE MGENI NINI??? MAANA SIJAWAHI HATA SIKUMOJA KUSIKIA MIUNDO (MBANO)!!!!!
    DUUUUUUU!!!!
    WE LOVE SO MUCH TANZANIA YETU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    MICHUZI FAGILIA WAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. Eee bwana wa kilimanjaro, hiyo sentensi yako ni safarini au safirini.
    Alafu unaposema lami ni kidogo zikiwa nyingi utaziitaje????
    WEWE NI MGENI KABISA!! MAANA NUSU YA MAELZO YA SENTENSI ZAKO NI KUTOIZINGATIA LUGHA YAKO, LAKINI LUGHA NYINGINE MNAKUWA MAKINI.
    KISWAHILI NI LUGHA YETU NA TUITUMIE VIZURI KATIKA KUTOA MAONI HATA MLENGWA ATAYAPOKEA NDANI YA MSISITIZO.
    MUNGU AWABARIKI WOTE!!
    WE LOVE TANZANIA NA WATU WAKE!!!!! NA HERI YA MWAKA MPYA!!

    ReplyDelete
  16. mdau wa kilimanjaro umevumilia weee hadi ukashindwa ukaona uingize ukabila kama kawaida yenu vile watu wa huko,hapa hatushindani na hata hio tanga yenyewe bado inabidi ifanyiwe ukarabati mkubwa sana lkn watu hapa wamezungumzia mji kupangika,ni rahisi mji ukiwa ktk mpangilio kuuendeleza,acha ukabila mangi wewe ndio maana nyerere alisema hamfai watu wa kaskazini kuiongoza tanzania maana mmejaa ukabila ktk kila jambo mie nadhani mlipaswa muwe sehemu ya kenya nyie na sio tanzania mmefanana sana na wakenya kuliko sie wabongo,TANGA OYEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  17. Mjomba wa kilimanjaro mbona waleta ukabila ndugu yangu???mwaongea kama mwatoka msalani??na kweli ndio maana mwalimu JK aliona mbaliiii!!!!!ukabila hukohuko kwenu au hamieni kenya,burundi nk.sisi wajamaa bwana,barabara ya tano ndio nyumani,VIVA TANGA,VIVA TANZANIA NA WATU WAKE.by Msufini

    ReplyDelete
  18. nzeze mosia wa kiimanjaro hapa tanga sio wadigo peekee kuna wasambaa wabondei wazigua letu moja tu hatuna ukabila we achana kabisa na tanga yetu tumeridhika wala usipime nakupa pole hata kiswahili hujui sijui mangi gani wewe au may be mtani wetu wa jadi(mkenya) unataka kutuchonganisha na shemeji zetu manake tumeoa dada zao na wameoa pia sasa hatitaki uchokozi kabisa mswalie mtumeee tutakupiga juju weye wewe naona hujafika tanga na siku ukija tanga hutarudi kwenu tena tanga imeumbwa na tanga imeumbika kizuri sio mitaa tu hata dada zetu pia wameumbika na kwa mahaba wala usisemee muulize kaka yako atakuhadisia viva tanga line na kuh kutembea uliza watoto watanga kwa kusafiri wala usiseme wewe nina wasiwasi sio mbongo manake ungejua kuh wasafiri wa bongo wanatoka wapi manake kila kona ya ulimwengu watanga wapo arooo nitakuaresti wewe mie mtanga damu wala usipime kabisa naweza kuuza mbuzi kwa kesi ya sindano

    ReplyDelete
  19. wewe unayesema tanga kuna wanawake wenye kujua mapenzi ninakubaliana nawe kabisa. hicho ndio mlionacho tu. watu wa tanga ni wafivu sana na wanapenda kukaa kwenye mikeka toka asubuhi mpaka jioni wakipika domo tu. mswahili akikaa nje ya nyumba yake akaangalia juu akaone minasi yake na maembe anaona huo ni utajiri mkubwa sana. mchaga hiyo kwake is nothing. mchaga anapenda kuchuma na kufanya kazi kwa bidii. viva chagaland viva tanzania

    ReplyDelete
  20. Nyie wachaga hebu fungeni vijaluba vyenu hapa, kazi kujisifuuuu eti mwajua tafuta, ha mwatafutani na mwalia wapi, kama si kwa dada zetu watanga ? mwabaki eti MPORA MZURI EE hapo ujue mshachanganyikiwa, bakini hivyo hivyo mtafute kwa sana tuu huku kuinjoi ziro, hapo mmepata wivu kuona usawa wa majengo uko makini na mwataka msifiwe nyie tuuuu, na tutawaliza mpaka mpasuke, ubunifu kwenye sita kwa sita ndo mambo yote sasa katika libeneke la mapenzi sio unasoma gazeti na kusema ukimaliza funika, mtajifunza tuu na mtajiongeza tuu siku hizi mmejirekebisha kidogo nasikia na nyie mnajaribu jaribu kidogo ila muje kwa walimu wenu tuwape shule zaidi sio kutwa umo kwenye zizi la ng'ombe ukitoka mgombani ukirudi dukani ukija kitandani ushakuwa taabani so kuchoka kutupu ha ha ha haaaaaaa mtasema sana ila wagosi wa kaya hakijambo.

    ReplyDelete
  21. Mjomba hapo juu wa chagaland hivi wewe ni mtanzania??mbona hata hicho kiswahili hukijui unakuwa kama wadosi?toka lini mdomo ukapikwa??andikeni vitu vya maana sio kuleta ukabila aah.by msufini.

    ReplyDelete
  22. huo mji wa tanga parabara zimenyooka lakini kuna nyumba sa majani. nyie kalieni uswahili tu kama file mtakula hayo maneno yenu mengi. hata siku moja mchaga hawezi kumueshimu mswahili. mtasema mpaka mshoke.

    ReplyDelete
  23. mjomba usiemheshimu mswahili ila unamkubali mpemba, ha ha ha haaaaaaa, kazi kwelikweli, nyie na wao hamna tofauti kwa kuishi mahameni.wachaga kwa wivu, leo nimeamini, hata pa kutoa pongezi kidogo tu inakuwa issue, mbona wakionyesha moshi wote tunasifuuu wala hakuna mawaa? kwani ukipongeza hiyo picha inavyoonekana hapo utakuwa umewapa pesa hao wagosi acheni ubakhili wa mdomoni, ingekuwa ubakhili wa mfukoni ningeelewa kwani ni jadi yenu, sasa hata mdomoni ndugu zetuuuu hebu oneni soni kidogo walauuu.

    ReplyDelete
  24. mjomba usiemheshimu mswahili ila unamkubali mpemba, ha ha ha haaaaaaa, kazi kwelikweli, nyie na wao hamna tofauti kwa kuishi mahameni.wachaga kwa wivu, leo nimeamini, hata pa kutoa pongezi kidogo tu inakuwa issue, mbona wakionyesha moshi wote tunasifuuu wala hakuna mawaa? kwani ukipongeza hiyo picha inavyoonekana hapo utakuwa umewapa pesa hao wagosi acheni ubakhili wa mdomoni, ingekuwa ubakhili wa mfukoni ningeelewa kwani ni jadi yenu, sasa hata mdomoni ndugu zetuuuu hebu oneni soni kidogo walauuu.

    ReplyDelete
  25. TANGA OYEEEEE,ndo nipozaliwa mieee ati,,,yan kitanga-tangaaa!!!
    ai nyie mwaosema tanga ovyo hamjui raha yake pale ati,kwa raha zangu yan najivunia sana kuzaliwa tanga mana pamoja na xposure nilonayo bado ni-kitanga tanga yan kwa kunizikiza tuuu,na watu wana-admire kinoma yan.
    Bombo hospital,majani mapana,raskazoni,chumbageni,barabara ya 13
    sii mchezo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...