karimjee hall palikuwa moto usiku wa leo katika sherehe za mwaka mpya
dj meb wa enzi za africana disco enzi hizo akimpa taffu waziri ally wa njenje
mdau wa florida tulikuwa naye njenje
kama kawaida yake nyota na trupu zima la wana-njenje waliwasha moto hepi nyuuu yiaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeee






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Naona Mzee Magessa unakula raha.
    Niletee Africafe na konyagi ukirudi.
    Heri ya mwaka mpya toka Arkansas.

    ReplyDelete
  2. Magessa aka Mzee Ole tehe tehe tehe kutesa kwa zamu.

    ReplyDelete
  3. Naona cousin Magessa unatesa kwa kwenda mbele ,yaani please naomba uniletee kanda ya njenje.
    Your sister.
    Dallas.

    ReplyDelete
  4. Blaza Michuzi hivi saivi Wana njenje kijiwe chao permanent cha weekend ni kipi? toka watoke Ambassador Plaza nimekuwa nashindwa kujua kiwanja cha nyumbani ni kipi, mara nasikia Msasani Club mara Oysterbay Police Mess. Ukweli ni upi?

    ReplyDelete
  5. uncle michuzi sasa huyo jamaa hapo kwa meza kazungukwa na maji tuu atashushavipi mikono wakati kalazwa??"mzee GOLD LABLE!!!!heri za mwaka mpya wazalendo.mdau msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...