Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Utamaduni Tanzania Rose Sayore ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa jarida la SOMA akiangalia vitabu mbalimbali katika maktaba ya Taasisi ya SOMA wakati wa uzinduzi wa Jarida hilo uliofanyika katika ofisi zao zilizopo Mikocheni jijini Dar
Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Utamaduni Tanzania Rose Sayore (kulia) pamoja na wakazi wengine wa Regent Estate (ambao majina yao hayakupatikana) wakijisomea vitabu katika maktaba ya Taasisi ya SOMA wakati wa uzinduzi wa Jarida la SOMA uliofanyika Mikocheni jijini Dar


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. huu ndio utamaduni mzuri sana,,,kujisomea vitabu vya akili na watoto wetu tuwapeleke apo wapate ujuzi
    sio kukaa home kutwa kucha video-games,mikatuni ya tom na jerry,mapepo ya harry potter nk nk
    good work SOMA lazima siku nije nicheki apo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...