tid a.k.a prison voice akiwa na bendi yake ya top band akighani usiku huu stereo bar ya kinondoni hananasifu alikoandaa bash la mwaka mpya. hapo anaimba kibao chake kipya kiitwacho 'usijifanye kidume, utaswekwa jela' kinachoelezea ubaya ya ubabe na uzuri wa kuendeleza tabia njema katika jamii. anaongezea kuwa yeye ameshaonja jela na amenyooka na sasa amekuwa mtoto mzuri na atatumia muda wake kuelimisha jamii tabia njema. angalia video yake kwa kubofya hapa
wadau wa uswazi kibao walishuhudia bash hili la tid na top band
palikuwa hapatoshi tid na vijana wake wa top band ulingoni kwenye mkesha wa mwaka mpya usiku huu
wadau wa uswazi kibao walishuhudia bash hili la tid na top band
palikuwa hapatoshi tid na vijana wake wa top band ulingoni kwenye mkesha wa mwaka mpya usiku huu
Home sweet home....hii ndio inanifanya nimiss bongo....hebu ona picha ya tatu. watu wako freely wanachenza nje tu bila shida.....Yaani sisi huko nje ni baridi ya kukata na shoka, na pia snow imeyeyuka maji kila mahali.. Nilikua niende kuangalia wakishusjha ball lao times square lakini ilinibidi nibaki tu ndani niangalie kwenye TV. Kupanga foleni toka saa moja usiku na baridi hii sio jambo jema kabisa na baridi na upepo ulioko huko nje.....lakini sasa niko ndani nako ni toooooooooo boring.....nimesoma blog hii na comment zote leo
ReplyDeleteHappy new year
Usijifanye kidume!! kweli TID umejua kwamba hasira hasara
ReplyDeletealileta mchezo kumbe kakanyaga pa moto,,mtoto wa kigogo ivi dah!!pole sana
ReplyDeleteheshima ni bure kwa kila mtu haijalishi,,,usiangalie mwonekano wa nje ukamdharau mtu weeee hujui ni nani uyo!!!au yuko ofisi gani wal'hahi