Habari za leo bwana michuzi,
Mimi mdau wa London- Uk ningependa unisaidie kulifikisha jambo moja linalonitatiza:Nimekuwa naona websites nyingi za wabongo wakitutangazia kuwa tusikilize nyimbo za kibongo mtandaoni.
Swali langu ni hili: Kwanini wasitupe nafasi ya kudownload pia. Maana kusikiliza muziki fulani especially wakati bado upo sokoni na unauzwa ni rahisi kwa waliopo hapo bongo kununua lakini kwa sisi tuliopo mbali ni vigumu sana labda tukija vekesheni.
Sasa basi hatakama itamaanisha tulipie kudownload wengi wetu tupo tayari kufanya hivyo. Najua kuna watu wananunua software ya kuwawezesha kudownload nyimbo toka ktk websites hizo,lakini kukuza na kuendeleza vipaji vya wasanii wetu wa hapo bongo na kwingineko inatubidi tuwa-support.
Basi ni hayo tu mzee.
Siku njema.
Mdau London, Ukerewe


we mjomba jaribu kuuliza vizuri...najua kuna wadau SLOUGH wanauza nyimbo za kibongo na mavitu mengine..ulizia website yao.
ReplyDeletemie pia nipo ughaibuni,lakini naunga mkono kubana miziki hii,kwani ukitaka kusikiliza miziki hiyo inakupasa kuingis glob husika,lakini ukishadaunilodi, si utaikimbia blogi kabisa hiyo moja. pia kumbuka hao mabloger nao wanfanya biashara,ukitaka miziki hiyo watumie chochote,watakuachia, pia ikibaniwa inatia hamasa ya kujisikia kurudi bongo kuliko kung'ang'ania huku utumwani, wabongo huku wanaishi maisha duni ya kujihisi mno.inasikitisha.
ReplyDeleteTafadhari tufikishie hii
ReplyDeleteTunaomba www.IPPMedia.com wajaribu kucheck website yao .Maaana sasa imekuwa tatizo,sisi tulio ugaibuni tunaingia kwenye website za magazeti ya bongo, kusoma magazeti ya nyumbani cha kushangaza unaona Title nzuri na unataka kujua kilichojili, ukitaka kusoma habari zaidi.ukipress tu THE PAGE CANNOT BE FOUND.
Utasema ngoja nisubiri huenda mambo ya umeme Bongo ukija baadae mambo yale yale kesho ukisema ujaribu kuangalia kama ile habari ipo wameshabadili unakuta habari MPYA za siku hiyo ukipress kuisoma pia yale yale ni mara chache sana utakuta inafunguka.Mbona wenzenu globalpublisherstz.website haina shida.
napenda kuwakilisha
SEMENI
Anon Tarehe January 26, 2009 11:59 PM, GET YOUR LIFE. Eti watu wanaishi kidhalili....Dhalili baba zenu wanaowafanya raia kuishi maisha ya chini kwa kuwaibia kidogo walichonacho na kuwaleta ulaya nyie watoto wao.
ReplyDeleteUBINAFSI TU UMEWAJAA.
Hakuna mijitu inaniudhi kama inayosema TURUDI BONGO..TAMBARAREEE, MMetulipia NAULI AU KUTULETA>>!!! Hamtujui Hatuwajui.... GET YOUR LIFE MAN.
Kwa unayetaka ku-download muziki...kuna njia ya ku-download ktk site hizo hizo za kibongo unazokwenda..ila suala ni kujua ni vipi...siwezi sema hapa ktk mtandao ni vipi ila kama una nyenzo zinazotakiwa na ufahamu kidogo unaweza...zitaje hapa ni site gani unazokwenda na weka contacts zako nitakuonyesha how.Nawakilisha na najua linakuja suala la copy rights...lakini utasaidiwa ukitaka...
ReplyDeleteMdau kutoka Ukerewe. Mie mdau wa Ughaibuni. Naomba tuwasiliane kuhusu kudownload nyimbo za kibongo. Inawezekana mshikaji. E-mail yangu ni kewos@hotmail.com.
ReplyDeleteThanks, MDAU-UGHAIBUNI
YAANI UNATAKA MUZIKI WA FREE NA WENZIO WALE WAPI, KWA BALOZI? WA-TZ MMEZIDI KUPENDA VYA DEZO, U R SUPPOSE TO SUPPORT EACH OTHER, MWENZIO HUO NDO MTAJI HALAFU WEWE UNATAKA BURE, C'MON NOW! LETS SUPPORT WANAMUZIKI WETU
ReplyDeleteOUT OF TOPIC:Nyie wadau wa UK,naomba kuuliza swali dogo la kijinga.Mwishoni mwa mwaka jana nili-apply kazi huko UK kupitia kwa recruiting agent.Nikajibiwa kwamba wanaweza kunitafutia kazi kama tu nina viza ya kufanya kazi UK,wakanitumia na website jinsi ya kuomba visa(I think Visa4Uk),wakanishauri niombe Tier 1 visa ambayo nilipokuja kusoma nikakuta ni for skilled workers.Nikawa na wasiwasi kwamba niombe visa kabla ya kazi?Nisipopata hiyo kazi je?Nikauliza kwanini nisifanye interview kwanza nikifaulu nikapata offer ndiyo ni- apply for visa wakawa wanakataa hiyo option yangu.Nikaamua kuachana nao manake UK kwenyewe sipafahamu,visa ni expensive vile vile.Tafadhalini
ReplyDeletemteremko kama kawa!!
ReplyDeletendo shida ya life la kubeba box,ishini kama john mashaka yu folks!!
annon apo juu naku-support watu nje ni zig-zag tu..
ila tutafika tuuu
1.wanajilipua
2.kwa pesa za wazazi wao mafisadi toka nyerere
3.mijamaa ya kithungu(unamganda jamaa adi uzae chotara/uoe thungu)
4.kuzamia
5.kualikwa na kuzamia
6.shule za kasheshe:degree sijui za nini
7.green card
8.USAFIS:dream to work &live in USA
9.nk nk teh teh uwiiiiiiiii
****wachache saaaana wameenda kwa halali na kufanya vitu vya maana