mdau bernard rwebandila kakuta taswira hii leo na kuibandika kwake kwenye
/2009/02/bot-yawaka-moto.html#comments

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Ni kweli au kiini macho? Siamini

    ReplyDelete
  2. We Mdau wa hapo Juu usochoamini ni nini?????????!!!


    Iliungua Ikulu, Itakua BOT?????!!!!


    Hao Jamaa wanapoteza ushahidi hapo, Mjini hapa,

    Shauri Lako

    ReplyDelete
  3. WANACHOMA USHAHIDI
    uwiiiiiiiiii dah!jamaa wana mbinu,,,afu utaskia eti ni kuchoma noti za zamani
    anyway lazima tutafika tu

    ReplyDelete
  4. Walikuwa wanachoma "karatasi", wanaogopa identity theft:-)

    ReplyDelete
  5. mmh hapa sasa hapana..bongo kwa kupoteza ushahidi..ila poa si wana electonic system..HDD haifi hata kwa dawa..tutawshika tu..

    ReplyDelete
  6. Wanapoteza ushahidi wa EPA nini??? Siamini! Michu leta habari kamili! Nina kiu ya ma news ya Bongo!

    ReplyDelete
  7. Yaah!
    Ushahidi uliokuwa umebaki umeungua moto wote leo hii.Jamaa wako huru!!

    ReplyDelete
  8. Wanaume washapoteza ushahidi...he he he...BONGO KWELI TAMBARARE!!!

    ReplyDelete
  9. Sasa kaka Misupu naona unaleta masihala, siwezi kuamini kama kweli watakuwa wameichoma BOT ili kuficha mazambi yao. Kama itakuwa hivyo basi naona sasa tutatiana mijeredi sasa hivi naamini hatuta pata amani bila kujua chanzo cha moto huo. Sasa tumechoka kudanganywa na kufanywa kama wandawazimu na SIRIKALI YA KIKWETE wakati wa mageuzi umefika wa TANZANIA wenzangu tufungue macho na tuone, hiki ni kiini macho au kwa mtoto tutaita kidalipoo. Tuwapatie upinzani nchi tuone wataweza kututatulia matatizo yetu ooohhh laahh. Kwani sasa tunaletewa ule mchezo wa sega dance.

    ReplyDelete
  10. I am thinking photoshop...... but then again I could be wrong coz anything is possible in bongo!

    ReplyDelete
  11. ata mkiandika kihindi,,,uo ni wivu tu unawasumbua sie tunaokula vinono BOT-waajiriwa
    izo ni noti za zamani tunachoma na karatasi zisizotakiwa,,eti ushahidi upi??looh mtakufa na roho zenu za kwanini!!
    NA BADO

    ReplyDelete
  12. HAPO NDIPO NINAPOWAONA WATANZANIA HUWA WAZUSHI SANA! HUO NI MOSHI WA JENERETA LA UMEME LIKIWAKA PALE BOT NDIO HUWA LINATOA MOSHI HUO MWANZONI LAKINI HUWA UNAPOTEA BAADA YA KAMA SEKUNDE 20 LIKISHASHIKA KASI. NAONA WATU BILA KUULIZA MNARUKIA NA KUDHANIA MAMBO YA AJABU AJABU!
    DUH KWELI WABONGO KWA KUZUSHA SINA HAMU NAO!!!!

    MZOZAJI

    ReplyDelete
  13. Michuzi, umesikia issue ya Dr. Slaa a.k.a mpambanaji kutegeshewa vinasa sauti na makachero kwenye kitanda huko Dodoma? Wamefanya vivyo hivyo na kwa Dr. Bilali.

    Waheshimiwa msiwe na hofu, wengi tuko nyuma yenu, na Mungu mbele yenu. Kazeni buti, the reward is there always!

    ReplyDelete
  14. Ingekuwa moto zimamoto wangeshafika!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...