Hi bro michuzi!!!
Napenda kuwapa pole mashabiki wote wa liverpool maana nimeona mmeanza kutusafishia njia ya ubingwa. Naona wote kimyaaaaaaaa kaka michuzi mmenywea kabisaa, subirini muone tunavyotwaa vikombe 5 kwa mpigo. kaka michuzi naomba usinibanie ujumbe wangu huu p'se urushe hewani.
Mdau jacob,
London.
-----------------------------------
haya mdau, umefurahi sasa???
Acha uchokozi na utulie dawa yenu inachemuka nyie mashetani
ReplyDeleteMwaka huu ni mwaka wa Bwawa la Maini, lazima wachukue japo vikombe 3 kwa uchache. Ho ho ho ho ho ho ho ho ho ho ho ..... hi hi hi hi hi hi hi hi hi hi hi hi ..... ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa!
ReplyDeleteMichuzi pole sana, maana uliwahi kusema kwamba Man U amekaa juu ya meza kwa muda tu. Msimamo wa ligi unaonyesha level seat ya games ambazo zimepigwa, bado game 12 (6 ugenini na 6 nyumbani). Man U hajapoteza game nyumbani, Bwawa kapiga sare za kumwaga nyumbani na hivyo uwezekano wa mwendelezo wa sare ni mkubwa. Ombeeni Gerrald aponae haraka maana pengo lake linaonekana wazi hakuna kiungo mshambuliaji wa kumsogezea Torres ili afanye mambo yake huko mbele. Sasa kijana Torres imebidi awe anarudi kati ama aende winga kwa ajili ya kumimina majalo na hapo kati hakuna wa kumalizia. Gerrald akichelewa kupona andikeni maumivu makali na ndiyo maana Rafa anasita kuongeza mkataba maana inaweza kuwa aibu aongeze mkataba na atimuliwe immediately.
Michuzi YOU WILL NEVER WALK ALONE ... Man U wako nyuma yako wanakusindikiza kupokea Ubingwa!
ManUtd Pira la Dunia, hao Liverpool hawana lolote na mpira wao wa Kihindi! Ngojeni kesho sasa na hao Inter tunavyowapoteza, ManUtd SUMU TUPU! Aiiiiiiiiiiiiiiih, Ahaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteRed Devils CULTURE TUPU
Kamakawa Kibajaj cha 2stroke hapa!
nyie MAN U hamna lolote kazi kubebwa tu..yaaani mirefa ya UK kazi yao kuibeba MAN TU..HAWAJUI KINGINE..RONALDO JUZI ALISTAHILI KULIMWA KADI NYEKUNDU LAKINI KWAKUWA REFA ALIISHAAGIZWA NA FA YA UK KUWA MAN LAZMA AWE BINGWA AKAACHIA HIVI HIVI..ANGELIMWA ILE KADI HATA GOLI ASINGEFUNGA NYAU YULE..SASA NGOJA KESHO MKUTANE NA VIDUME VYA ITALY NDO MTAONA MPIRA KENGE NYIE..AFU RIO AMEZEEKA KUKIMBIA HAWEZI ANASINDIKIZA MTU AKAFUNGE..JE AKIKUMBANA NA ZLATAN IBRAHOMOVIC IBRACADABRA KESHO..WALAI kesho man msipolambwa ntatoa tigo kwa wapenzi wote wa man..tena mabeki wenu wote wagonjwa wengine wana mikadi yaani sijui mtaponea wapi nyau nyie
ReplyDeletemzee wa liva...chama dume
Sisi tunajuwa nguvu ya Mancs - na hili jambo si geni - watoto wazuri wa Mancs na babayao Ferguson wanabebwa na juzi tu tumeona wakati penalti ya Balckburn ilivyokataliwa waziwazi. Jana wewe si uliona richard Dunne alivyukamata mpira na Liverpool hawakupewa Penalti? Sikilizeni nyinyi matajiri wapata leo - liverpool ni bahari haiwezi kumalizika hata unywe vipi maji yake. You will never walk alone. na nyinyi wote ni artificial supporters mnafata bendera tu.
ReplyDeleteUkweli ni kwwamba Man u tunajua kucheza, semeni weeeeeeeeeeeeeeeee mwisho wa siku tunachukua ubingwa, maana tunaona kitu live ohoooooooo marefa wanapendelea mnadhani michezo yenu ya bongo hapa mnapeana zamu za kushinda kule unaona kitu live na watoto wa fergie wanavyojituma, jitumeni jamani sio maneno kama mlivyozoea nchini kwenu maneno tu mkiambiwa mfanye kazi hamtaki sasa maendeleo yatatoka wapi.
ReplyDeleteFirst Lady wa Man u
Please;
ReplyDeleteIf you read the contents of these contribution you'll identify the minds of the writers....discuss the issue of how well you played and technical content not issues which are discussed in primary schools of what should have been !!
William UK uko wapiiiii ???
Manchester United for Life.
enough said.
Liverfoooooool hanyaaaaaau! Bwawa la maini limeingia nyongo sasa. Michuzi usiibanie hii hata kama na wewe ni mnazi hili lipo wazi.
ReplyDelete