Home
Unlabelled
castle premium lager yaja na nembo mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duu! mate yan'toka!!!!!!!!!
ReplyDeleteWatu wengi wamekuwa wakiisoma hiyo kama KASTO, Balozi wa Zein naomba nitofautiane nao hiyo inasomeka kama KASO. Kwa hiyo hata ile timu ya kwa bibi ni Kaso, washabiki wa mpri utwasikia wansema kasto imechapwa mabao mawili na Man, sio sahihi waseme Kaso.
ReplyDeletemr Mbongela kwahio ni sawa kusema KASO imeichapa liverpool bao mbili bila???
ReplyDeleteAAAH miee nataka utamu wa ndani picha sina hata muda wa kuicheki
ReplyDeleteMBOGERA, HUONDO UTUMWA WA AKILI, ANAVYOTAMKA MWINGEREZA BASI NAWE,UTAIGA SANA, LAKINI NDO TUNAVYOTAMKA NA TUTAENDELEA KUTAMKA HIVYO.WEWE SI UPO UINGEREZA,TAMHA KAMA WAO.
ReplyDeleteUKIITA KESTO, KASTO, NI SAWA TU, LAKINI SIO KASO.TANZANIAN ENGLISH.
HIYO BIA UKINYWA INAONGEZA NGUVU YA MAMBO FULANI, NAFIKIRI HAWAJABADILI KILICHOMO.
JAMANI NISAIDIENI,MBONA KILA NIKISOMA MAMENEJA WA MAKAPUNI HAYA MAKUBWA YA BIASHARA HUWA KAMA WAMETOKEA MKOA MMOJA??AUNI MIMI TU NAONA HIVYO?!KUNA TATIZO GANI HAPA?
ReplyDeleteUongozi wa TBL Moshi unanata sana na wana uchoyo wa kufa mtu
ReplyDeleteMbona zinduzi kama hizi hatuzioni huku??