kama si vipofu basi wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani na wabunge wa eneo hili ni viziwi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. Kweli watawala wetu wako after "mshahara" u sidhani kama kuna wito wa kazi.
    Yetu macho......

    ReplyDelete
  2. Hali hii ndiyo inakatisha tamaa kurudi nyumbani.. Yaani hata usafi unatushinda!!!!Wacha tuendelee kudharaulika ugenini..We deserve the same!!

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli kwa mpango huu sasa hao wenyekiti wa mtaa wanashughuli gani? vupindupindu ndio maana haviishi, hapo ni magonjwa kibao ya mlipuko yaweza kuibukia hapo.

    ReplyDelete
  4. Hao viongozi wa serikali za mitaa eneo hilo siyo tu kwamba ni vipofu na viziwi nadhani watakuwa ni BRAIN DEAD pia

    ReplyDelete
  5. ....... ama mafisadi kaka michuzi ........!

    ReplyDelete
  6. Hiyo ni Bongo na Watanzania zaidi ya uwajuavyo..Inatisha. Hapo ni barabarani ambapo watu wanaona, Je huko ambako watu wengine hawaoni kukoje?. You people of media have to make a shout be4 it is getting late.Hao madiwani na viongozi wote wa mtaa inabidi waachie ngazi. This is 2 much!!!!Kwanza hao watu wa hapo walizuiwa kuuza mitumba hapo wakatimuliwa wote, nasikia wameanza kurudi taratibu.Wameona hiyo haitoshi wanataka kupageuza jalala.It's a shame!! hapo ndio sura na mlango wa jiji, kama hapatapigiwa kelele nchi itatia aibu.

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  7. Si vipofu wala viziwi, bali ni wajanja. hicho ni kivutio cha kumvutia JK kutembelea Manzese ili awape mhadhara juu ya usafi wa jiji!!!!! Kumbuka kuwa Manzese ni mojawapo ya mikoa ambayo JK hajatembelea toka aingie Ikulu.

    ReplyDelete
  8. Hongera bro Michu kwa kuleta mwangani yalogizani huenda wataamka!!
    Hakika safari ya Ustawi na maendeleo ya Wabongo chini ya uongozi huu ni kizungumkuti!! Bila shaka nao walisoma/kutoa taarifa ya mafanikio ya serikali ya JK kwa kipindi cha miaka mitatu kwa madaha na majigambo lukuki!!!
    Ndugu zangu Watanzania haya tunayaona na bahati uchaguzi wa serikali za mitaa ni mwaka huu na Wabunge na Madiwani mwakani, hebu tutumiie haki na fursa hiyo kuwaonyesha kuwa hawafai kuitwa viongozi katika zama hizi za ustaarabu!!
    Wanasubiri magonjwa kama kipindupindu yalipuke ndio waibuke na tai ndefu na suti za kifisadi kuhimiza usafi na kuzuia riziki za watu kwa kumwaga misosi ya mama na baba lishe!!
    Aibu kubwa sana kwa manispaa zetu, juzujuzi ndio wamekurupuka baada ya JK kuwashushua eti wanajidai kuondoa magari jangwani na gereji bubu mitaani, walikuwa wapi siku zote??
    Hawa ni mzigo kwa walipa kodi wa nchi yetu wanaoteseka kwa umaskini kwa sababu ya umbumbumbu na kukosa ubunifu kwa viongozi wetu.
    Ukifuatilia utaambiwa hapo kuna mtu ana tenda ya kuzoa taka na walalahoi huchangishwa kila mwezi ili alipwe!!
    Mdau Oslo, Norway

    ReplyDelete
  9. Bongo tambarare.

    ReplyDelete
  10. Wabongo tu-washenzi....yaani hatujastaarabika.

    ReplyDelete
  11. TANZANIA TAMBARARE, WAKO KWA AJILI YA MISHAHARA, RUSHWA, UONEZI NA POSHO ZA SEMINA TU HAWAJALI MAISHA YA WATU, NDO MAANA MAGONJWA KIBAO NA VIPINDUPINDI VINAUWA WATU, KWA MTAJI HUO UNATEGEMEA LIFE SPAN YA MTANZANIA KUONGEZEKA, WENGI TUTAKUFA BELOW 50, WAKATI WENZETU WENGI WAO WANAFUKA 80 KWA AJILI YA USAFI NA BIDII ZA VIONGOZI WAO

    ReplyDelete
  12. HIVI NDO VITU NYIE WAANDISHI WA HABARI WA TV, RADIO, MAGAZETI VYA KUVIONYESHA NA KUVIKEMEA TENA KWENYE PRIME AIR TIME, KITU KAMA WAKATI WA TAARIFA YA HABARI HIVI, IT NEWS TOSHA, BILA YA KUWASUKUMA HAWAFANYI KAZI ZAO, NDO MAANA TUNALIPA KODI NA TUNAWALIPA MISHAHARA, NI PESA YETU YA KODI.

    ReplyDelete
  13. Yesu na Maria weeeeee!
    "Viongozi."
    Wanaongozaga nini???????????

    ReplyDelete
  14. This is a joke!!!!!!!
    Tanzania bado tupo nyuma katika uwajibikaji! Huu uchafu haupaswi kuwepo hapo na ni sehemu muhimu kwa wapitaji. Naona viongozi wanasubiri mpaka Kikwete aseme ndo wanawajibika au wasikie kiongozi fulani anatembelea maeneo hayo ndo unaona wanachacharika. Ni aibu kwa viongozi wetu ndo maana wanahitajika angalau viongizi walio hudhuria madarasa.

    ReplyDelete
  15. Kama ulivyo wataja wako wengi,Inakua vigumu kila mmoja kutambua wajibu wake.

    ReplyDelete
  16. bila shaka tunasubiri wazungu waje watuambie madhara ya kuwa na uchafu kama huo mitaani. Halafu tunashangaa kwa nini magonjwa, ikiwapo na kipindupindu hayaishi.
    Nadhani tukubaliane tu kuwa huenda sisi wananchi na viongozi wetu tumelogwa,sijui na nani. Itawezekanaje tuwaachie tu wahusika waendelee kula hela yetu ya kodi kila mwezi huku hawafanyi kazi inayotakiwa ? Halafu tunategemea mazuri kutoka kwa watoto wetu kama sisi tunawapa mifano kama hiyo ??
    Tanzania tuna matatizo,makubwa, mpaka tutakapokubaliana na hilo tipo tutaweza kupiga hatua. Haiingii akili wapo wehu wachache ambao wanasema tuna maendeleo ya kutosha sasa na tunasherehekea na kufanya tafrija.Tuzidi kumuomba mola tu atuponye,maana ndilo tuwezalo na si vinginevyo.

    ReplyDelete
  17. whats going on in tanzania?


    As two opposition legislators detected spy gadgets in their hotel rooms in Dodoma this week, a lawyer who registered Kagoda company, is said to have been poisoned last week, casting a bleak future to where the country was heading as the war against corruption takes its pace.

    corruption takes its pace. A Dar es Salaam-based lawyer, whose law firm spearheaded the registration of Kagoda Agricultural Co Ltd and dozens of other companies that swindled money from the Central Bank`s External Payment Arrears (EPA) account, was allegedly poisoned last week.

    Bered Maregesi (31), a close associate of former Bank of Tanzania Governor Daudi Ballali and a man believed to have key clues about the ownership of Kagoda Company, was admitted to Mikocheni Hospital on January 26, just nine months after Ballali died mysteriously in US amid speculation that he had also been poisoned.

    ``Maregesi was brought here unconscious after thorough laboratory examination it was established that he was suffering from a poisonous substance,`` a doctor at the hospital who requested anonymity told The Guardian on Sunday.

    Hospital records show that Maregesi was discharged on Thursday, after spending 11 days at the hospital recovering from the illness.

    Doctors believe the poison must have been sprinkled in his food a few hours before he fell sick.

    A nurse who was attending to Maregesi but who declined to be named because he is not an official spokesperson, told this newspaper on Friday that his patient was constantly vomiting and complaining of general body malaise and fever.

    ``His state worried us greatly. He looked entirely helpless and the whole medical team at his care was jolted,`` the nurse said.

    ``We have had hopeless situations before, but this one smacked of something unusual.``

    A nursing officer added: ``A team of us (nurses) was keeping regular watch over this patient.

    not tell whether he ate some food that was poisoned or not.

    On the first days here it was all frustrating, but as days went by, he came to his senses, to our relief.``

    Medical ethics prohibit doctors and nurses from releasing medical records to the public, and because of this particular clause they declined to reveal further findings from the laboratory tests.

    ``We can`t disclose which kind of poison or any further findings detected during laboratory examination without his prior permission,`` said a senior nursing officer who also declined to be named.

    The doctor who did the diagnosis advised further laboratory tests to establish the extent to which the poison has spread in the patient`s system, although he prescribed medication that included anti-vomiting drugs, pain suppressing medicines and poison sucking agents.

    Contacted on Friday, Maregesi said that he is not accusing anybody of poisoning him yet, but he hasn`t ruled out the possibility of foul play.

    ``I am puzzled,`` he said. ``My health condition is deteriorating but I don`t know who did this to me.``
    ``It might be a natural cause, because all human beings are subject to get sick, but I am at the crossroads,`` Maregesi told The Guardian on Sunday.

    Maregesi said his doctors have advised him to seek further diagnosis abroad, but he can`t travel far because his passport is being held by the presidential taskforce formed to investigate the EPA scam.

    ``My doctor has told me that this is a complicated case that requires further medical examination abroad,`` he said. ``Hopefully I will make it soon, if God wishes.`

    ``I have submitted all evidence showing that I need to travel abroad for further treatment but I can’t travel without my passport."maregesi said.
    source sunday observer

    ReplyDelete
  18. DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUH KWELI BONGO TAMBARARE.

    ReplyDelete
  19. this tells alot not only about the place but tanzania as a country and its citizens.

    ReplyDelete
  20. Lets be realistic! Why should someone liter at such place? Hakuna cha viongozi wala nini ni wananchi wanahusika. Haiwezekani kila kitu viongozi.

    ReplyDelete
  21. THERE IS NO NEED OF BEING REALITIC, YOU KNOW COUNCIL DO TAKE TAX FROM PEOPLE FOR RUBBISH COLLECTION? OR LET SAY EVEN THERE WAS NO SUCH A TAX BUT IT IS THEIR RESPONSIBILITY TO SHOW Leadership on that, it is their duty, people alway need to be shown or to be led to do something positive that is why they choose leaders otherwise no need of electing leaders, we could just just like monkeys in the jungle, even monkeys have leaders

    ReplyDelete
  22. tunasubiri wafadhili.

    ReplyDelete
  23. hapo hao viongozi inawezekana mkawa mnawaonea bure.sawa viongozi we2 wengi kichwa kinafikiria mshahara 2 na si mambo mengine but ktk hilo,wananchi kwa nini waendelee kutupa uchafu hapo?
    na kuna uwezekano hao viongozi wa mitaa walishawahi kuonya juu ya sehemu ambazo si halali kutupa uchafu lkn kwa upande mwingine wa shilingi WANANCHI WENYEWE NDO WASHAZOEA UCHAFU.
    huwezi kumzuia INZI kuingia ktk vyoo vilee vya uswahilini so the same goes here.wote walio maeneo hayo wanapaswa kuhakikisha kunakuwa pa safi na si kusubiri hadi diwani,m/kiti wa mtaa au kiongozi yeyote yule aje aseme kuwa mtitupe taka hapa.
    waTZ wengi wa uswahilini vichwa ngumu.mara nyingi tumeona vibao vya matangazo kukemea jambo fulani lkn still wapo wanaoendelea kufanya hivyo.nina imani ukiweka tangazo hapo kuwa "USITUPE TAKA HAPA", next morning utaona lundo la uchafu,yani ndo kama umewawasha moto.
    kwa hiyo wadau,pamoja na kuwakosoa viongozi,pia wananchi wa maeneo hayo nao wana hatia.kila mmoja wao anapaswa kuwa makini kuwa mwenzio hatupi uchafu sehemu ambayo si halali.lkn imekuwa kinyume kwamba wa2 husubiri mmoja aanze then wengine watafuata kwa moto wa kasi kufanya kile kile kibaya.

    JE,WANAOHARIBU UWANJA MPYA WA MPIRA NI kosa la VIONGOZI? same BS goes everywhere.madereva kwa uzembe wao wanapoteza maisha ya abiria lkn utaambia barabara imepinda kidogo.whaat?why not being careful if you already know something wrong with the road??????

    YES,viongozi wengi mafisadi BUT still wananchi nao vichwa NGUMU SANA 2.

    ReplyDelete
  24. Pamoja na kuwarushia lawama viongozi wa eneo hilo kuhakikisha kuna kuwa na mikakati endelevu ya kuzuia uchafu usiweke popote pale, lakini wakazi wa eneo la Manzese ndiyo wa kwanza wa kubebeshwa lawama hizi. Hao wakazi wanaotupa takataka hapo ilibidi washtakiwe kwa mujibu sheria ndongondogo za Manispaa ya Kinondoni.

    Lakini siwa shangai sana wakazi wa 'Man they say' kwani wamewekewa daraja kwa ajili ya usalama wao lakini utakuta baadhi yao hawalitumii daraja hili na matokeo yake wanagongwa kila leo na hawajifunzi.

    dawa ni moja tu, sheria zifanyekazi.

    ReplyDelete
  25. Kila kitu ni viongozi.....If viongozi wetu can perhaps take time through media to educate wananchi...it would work...but our viongozi are after mabeparis' in kariakoo and manzese

    ReplyDelete
  26. KUMRADHI JAMANI HII INAMAANISHA KUWA VIONGOZI WANAOHUSIKA NI MA- INZI MAPENDAUCHAFU HAPO NDO WAMEFIKISHWA....VIONGOZI KAMA HAO WASIOSITUSHWA NA HUO UCHAFU JUWA HATA MUKUNDU YAO HAWACHAMBI..

    HONGERA SANA BWANA MICHUZI KWA KUMULIKA UOZO UNAOENDELEA TAFADHALI ENDELEA KUWEKA HAZARANI UOZO WA VIONGOZI WASIOWAJIBIKA.

    UJE UGOMBEE UBUNGE BASI , TUTAKUFAGILIA.
    MKEREKETWA .R.

    ReplyDelete
  27. Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni"MBONA HIZO TAKA NI VITU VIDOGO TU KWA HAPO MAHALI KUNA MENGI MAKUBWA TU TENA ZAIDI YA HAYO SANA, YANATOKEA DAILY, HAPO SIO MAHALI PAKUSEMA UPANDE ILI UVUKE UPANDE WA PILI KIGIZA KIKISHAANZA KUINGIA UTAKULA KABALI HIO NA NGUMI ZA MFULULIZO.HAPO MANZESE DARAJANI KWA KIFUPI PAMEKUWA NI FICHIO LA VIBAKA WATU WANALIZWA HAPO DAILY HAWAKUCHOMOLEI YAANI WANAKUPIGA NA KUKUNYANGĂ€NYA NA UKIJITIA KUSHINDANA NAO NDIO UNARUDI KWENU NA MAPENGO.MAENEO YA NDANINDANI HUKO MANZESE KUNA NYUMBA CHUNGUNZIMA ambazo gari haziwezi kufika,imagine vyoo vya hizo nyumba ambazo japo gari ndogo tu haziwezi kupita vikijaa wanafanyaje?zaidi ya kusubiri ka-mvua kadogo tu kanyeshe watu wapate kuvitapisha vyoo vyao kwahio ule uchafu wooooote wa vyooni unaji-mix na maji kisingizio maji ya mvua kumbe watu wanatapisha vyoo vyao.KWAHIO MICHEZO KAMA HIO YA TAKATAKA KWA MANZESE NI MIDOGO MNO NAFUU MUWAAMBIE JINGINE LABDA SIO HILO

    ReplyDelete
  28. Wananchi wajichukulie sheria mkononi wawaadabishe mameya, madiwani na wenyeviti serikali za mitaa!!!!Utakuta kuna kampuni ya taka ya ndugu yake na meya,au Diwani ambayo kila mwezi huchukua kitita cha fedha kwa ajili ya usafi.

    ReplyDelete
  29. Hiyo ndo maanayake kwa wale walozoea kusifia maendeleo ya Bongo na kuyaita tambarare baada tu ya kuona hoteli imejengwa au ghorofa limepandishwa! Naamini maendeleo ya watu yaanzie vichochoroni kama huko manzese na sehemu kama hizo! Pale Watanzania serikali yetu itakapowajali wananchi kwa kuimarisha usafi wa jiji, kuchimba mitaro na kujenga vyoo bora na kuimarisha huduma bora kwa mwananchi wa kawaida hapo ndo tutakapoweza kusifia, bongo tambarare, vinginevyo tunazidanganya nafsi zetu tu!

    ReplyDelete
  30. Michuzi, waambie "city fathers" wazungushie uzio hili daraja kama walivyozungushia uzio bustani ya mnazi mmoja..

    Ha ha haaaaa

    Tanzania tambarrrrrraaaarrrrrreee kwa saaana....

    Ha ha ha...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...